Maajabu ya Dunia: Hii Ndo Mimea 7 Inayokula Nyama na Wadudu
Mimea mingine hukua mahali ambapo haiwezi kupata virutubisho vyote vinavyohitaji kutoka kwenye mchanga. Ili kuhakikishi mimea hii inapata madini hayo bila kupungua, mimia hiyo hutega, kukamata na kisha kuwala wadudu.
Mtego wa kukamata…