The House of Favourite Newspapers

Ahmedi Afunguka Kutolewa Figo India-Video

0

Ahmed Albaity (37), Mtanzania aliyepooza mwili wake, kuanzia shingoni hadi miguuni, baada ya kujigonga kwenye shingo wakati akiogelea kule mkoani Tanga miaka 13 iliyopita, amezungumza na Global TV kuelezea hali yake ya kiafya ilivyo sasa.

 

Ahmed Albaity amesema Maisha yake kwa zaidi ya Miaka 13 yamekuwa ni ya kitandani, pia alipokwenda kwenye matibabu india madaktari wamemshauri ale vyakula ambavyo vitamsaidia kupata choo laini kutokana na operesheni aliyofanyiwa tumboni kuondoa figo moja.

Leave A Reply