The House of Favourite Newspapers

Albam ya P Funk Imekamilika, Soon Inaingia Sokoni

0

HATIMAYE mtayarishaji nguli wa muziki wa Bongo Fleva, Paul Matthysse maarufu kama P Funk Majani, ametangaza rasmi ujio wa albam yake mpya itakayoitwa jina lake maarufu la kazi ‘Majani’.

P Funk kupitia ukurasa wake wa Twitter ameposti ujumbe wenye taarifa kwa ufupi kuhusu ujio wa albam hiyo;

“Album yangu ‘#MAJANI‘ imekamilika kwa takribani asilimia 80, mwenyezi Mungu akipenda nitaiachia Machi 30, 2022,” ameandika P Funk.

Leave A Reply