The House of Favourite Newspapers

Amber Rutty Yamkuta Tena, Aburuzwa na Polisi Akiwa Mtupu – Video

0

AKIWA bado anakabiliwa na kesi mahakamani, msanii Amber rutty, amekutwa na mazito baada ya aliekuwa mpenzi wake, Said Mtopali akiwa na ofisa mmoja wa jeshi la polisi kumkamata msanii huyo mchana kweupe kwa madai kuwa amemtapeli baadhi ya mali zake likiwemo gari aina ya Toyota IST.

 

Katika tukio hilo lililoibua sintofahamu miongoni mwa watu waliokuwepo eneo hilo, Amber Rutty alionekana akiburuzwa na askari huyo wa kiume mpaka kwenye gari huku mdada huyo nguo zikimdondoka na kuachwa mtupu.

 

TAZAMA TUKIO ZIMA HAPA

Leave A Reply