The House of Favourite Newspapers

Asimulia Alivyomwagiwa Maji ya Moto na Mumewe – Video

0


MARIAM msafiri ni mama wa watoto watatu ambaye hivi karibuni alipata majanga baada ya kujeruhiwa na mume wake kwa kumwagiwa maji ya moto mwilini  kufuatia ugomvi kutokea kati yao.

Akizungumza na Global TV Online amesema kuwa kumekuwa na mvutano mkubwa baina yake na mumewe baada ya mume kubainisha kuwa anataka kuoa mke mwingine huku akionesha hali ya kutomuhitaji tena yeye.

Mengi zaidi fuatilia video hii ili kufahamu kwa undani mkasa mzima mpaka kumwagiwa maji ya moto.

 

Leave A Reply