The House of Favourite Newspapers

Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislam, Naitwa Rashid

0

MGOMBEA ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima, amesema ana jina la Kiislamu ambalo ni Rashid Gwajima.

 

Alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo Waislamu ndiyo waliomsomesha katika miaka yake ya awali.

 

Kutokana na suala hilo, alipata sababu ya kuusaidia Uislamu; hata alipokwenda Dar es Salaam aliwasaidia kuchimba visima vya maji.

 

Ameyasema hayo alipokuwa kwenye mahafali ya darasa la saba ya shule ya Al Irshaad jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply