The House of Favourite Newspapers

Aunt Ezekiel Afunguka Kupenda Pombe na Biashara Yake ya Bar – Video

0

Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa biashara yake ni ya Bar, ni ngumu kuiacha kwa sababu yeye mwenyewe anapenda pombe, hivyo anapofanya hiyo biashara mambo yanaenda vizuri tu.

” Ni hivi hii biashara yangu ya vipodozi ipo na ninaendelea nayo lakini biashara yangu ya Bar, ni ngumu sana kuiacha kwa sababu kwanza mwenyewe napenda pombe, na ni biashara ambayo hata watoto wangu wakikua watakuja kuiendeleza” alisema @auntyezekiel alipokuwa akifanya mahojiano na @globaltvonline kupitia mtangazaji wake @imeldamtema

Leave A Reply