The House of Favourite Newspapers

Baba Haji adai anasakwa auawe!

0

BABA_HAJIMwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’.

Mwandishi wetu
Roho mkononi! Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’ ameviomba vyombo vya dola, TCRA na Rais John Pombe Magufuli kumsaidia akidai kwamba anasakwa auawe na kundi lisilojulikana.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu akiwa mafichoni, Baba Haji alifunguka kuwa amekoswakoswa mara kadhaa kutiwa mikononi na watu hao wanaoonekana kuwa na nia mbaya wakiwa na lengo la kumuua bila sababu hivyo kwa sasa anatembea na RB.

Leave A Reply