The House of Favourite Newspapers

Basata Yamfutia Usajili Dudubaya

0

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) la mfutia usajili msanii wa muziki wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini maarufu kama Dudu Baya kuanzia jana April 16, 2020.

Hatua imetokana na kitendo cha msanii huyo kutumia lugha za matusi kwa wadau wa sanaa kupitia akaunti yake ya Instagram huku akitambua fika kuwa yeye ni msanii aliyesajiliwa na BASATA.

Leave A Reply