The House of Favourite Newspapers

Basi la Sharon Lapinduka, Wawili Wafariki Dunia

0
WATU wawili wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi mali ya Kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha, kuacha njia na kupinduka eneo la mabanzini mjini Babati.
Majeruhi wa ajarili hiyo wamepelekwa hospitali ya Mrara mjini Babati.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara akizungumza juu ya ajali hiyo alisema kondakta na mtoto mdogo ndiyo walifariki.
Taarifa zaidi kuhusu tukio hilo tutakutaarifu kadri tutakavyozipata.
Leave A Reply