The House of Favourite Newspapers

Bella Kuwadi wa Jack Pemba?

0

 

Miss Ruvuma wa mwaka 2008, Isabella Mpanda ‘Bella’.

Dar es Salaam: Miss Ruvuma wa mwaka 2008, Isabella Mpanda ‘Bella’ amefungukia ishu ya kusemekana kwamba hajawahi kutoka kimapenzi na Pedeshee wa Kibongo, Jack Pemba zaidi ya kutumika kama kuwadi kwa jamaa huyo.

Pedeshee wa Kibongo, Jack Pemba.

Gazeti la Amani lilizungumza na Bella ambaye alisema kuwa, hajawahi kutembea na Jack Pemba ingawa alishalala naye chumba kimoja zaidi ya mara tatu.

“Mimi na Jack ni washkaji wa ukweli na wala sijawahi kudeti naye zaidi ya kulala chumba kimoja na si kweli kwamba mimi huwa natumika kumtafutia wanawake, sijawahi kufanya hiyo kazi,” alisema Bella.

Leave A Reply