The House of Favourite Newspapers

Ben Pol Abadili Dini, Awa Muislam

0


MSANII maarufu wa miondoko ya RnB nchini, Ben Pol, jana Ijumaa, Oktoba 23, 2020 ametangaza kubadili itikadi ya dini kitoka Ukristo na kuwa Muislamu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mkali huyo wa Bongo Fleva ameposti  picha  zilizoambatana na nakala ya cheti cha kubadilisha dini.

Awali Ben Pol alikuwa akitumia jina la Bernard Paul na sasa anatambulika kama Behnam.

Leave A Reply