The House of Favourite Newspapers

Bilali Mashauzi Afariki Dunia, Kuzikwa Leo Upanga Dar

Bilal Mashauzi wakati wa uhai wake alipokuwa anaonyesha madoido katika kumbi mbalimbali.

MWIMBAJI wa muziki wa taarab wa kundi la  Mashauzi Classic, Bilal Mashauzi, amefariki  jana na atazikwa leo Upanga jijini Dar es Salaam.

Familia yao imeishi kwa miaka mingi, Upanga mtaa wa Wibu  hadi  na baadaye waliposhindwana na mwenye nyumba miezi ya karibuni na wakahamia Mwananyamala ambapo yeye ndiye alikuwa kichwa cha familia.

Bilal akiwa ameshika mkoba wa kike.

Bilal Mashauzi enzi za uhai wake alikumbwa na kashfa ya kujihusisha na vitendo vya ushoga.

Wakati Isha Mashauzi anaanzisha Mashauzi Classic alimuomba Bilal hilo jina la Mashauzi na marehemu akaridhia ndipo kundi hilo lilipotambulishwa kwa jina la Mashauzi Classic.

Bilal amezaliwa na kukulia mitaa ya Togo, Kinondoni na Wibu, Upanga.

 

Baadi ya nyimbo alizoimba marehemu ziko hapa chini:

Comments are closed.