The House of Favourite Newspapers

Binti Kiziwi Ameshapata Mpenzi, Afungukia Kunyongwa – Video

0

GLOBAL TV Online imepiga stori exclusive na muuza nyago kwenye video za Bongo, Sandra maarufu kama Binti Kiziwi, ambaye amerejea nchini miezi michache iliyopita akitokea jela nchini Hong Kong alikukuwa amefungwa jela kwa zaidi ya miaka 7 kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya.

Leave A Reply