Breaking News: Hoteli ya White Sand Dar, Yateketea kwa Moto – Video
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kwamba Hoteli ya White Sands and Beach Resort iliyopo Mbezi Beach Barabara ya Africana jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto jioni hii ya Ijumaa, Agosti 31, 2018 huku chanzo cha moto huokikiwa bado hakijafahamika.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia #GlobalHabariUpdares kupitia mitandao yetu.
Comments are closed.