The House of Favourite Newspapers

Carina Bado Usaha Unatoka Tumboni, Haamini Hadi Leo Yupo Hai, Aomba Kusadiwa – Video

0

Muigizaji wa Bongo Muvi, Carolinahawa Hussein “Carina” @officialcarolinhawa ambaye takribani miaka mitano yuko ndani akisumbuliwa na tatizo la tumbo, ambapo mara nyingi lipo wazi kutoka na kufanyawa upasuaji zaidi ya mara 18, amesema kuwa hai mpaka leo ni Mungu.

Carina alifunguka hayo, alipokuwa akihojiwa na @globaltvonline kupitia mtangazaji wake @imeldamtema alisema kuwa anamshukuru sana Mungu, mpaka alipo hivi sasa japokuwa bado anakamuliwa usaa kila siku, ila angalau hali yake inaridhisha kwa sasa.

” Niko vizuri angalau tofauti na mwanzo ila kwa sasa nakamuliwa usaa kila siku,na siamini mpaka leo niko hai,na ninasafishwa kidonda kila siku elfu 60, lakini Mungu ni mwema sana” alisema Carina, watakaoguswa na kumchangia chochote waweza kutuma kwa namba zake hapo chini.

0769990045 M-PESA carolinhawa Hussein Ebrahim bounin

0789095858 Airtel money
Carolinhawa Hussein Ebrahim bounin

0712595858 tigopesa
Carolinhawa Hussein Ebrahim bounin

Leave A Reply