MWANDISHI wa habari na mtangazaji wa kituo cha televisheni cha ITV, Agnes Almas, amefariki dunia ghafla mchana wa leo Alhamisi,...
READ MOREBasi la Kampuni ya Ally’s linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limeteketea kwa moto eneo la...
READ MOREWATU kadhaa wanahofiwa kufariki dunia kwa kubanwa ndani ya gari baada ya lori kuliangukia basi dogo la abiria (coaster) katika...
READ MORERAIS John Magufuli leo Agosti 14, 2020, amepewa tuzo maalum ya heshima na Baraza Kuu la Kanisa la Tanzania Assemblies...
READ MORETTEMEKO la ardhi lenye kipimo cha richter 5.9, limepita katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania na kudumu kwa sekunde kadhaa,...
READ MORERais wa Chama cha Wanamuziki wa Injili Tanzania, Dkt. Donald Kisanga amefariki dunia kwa ajali ya gari Jijini Dodoma...
READ MOREWATU 10 wamefariki dunia na wengine 87 wakiokolewa, baada ya boti iliyokuwa ikitokea maeneo ya Sibosa kupigwa na dhoruba kisha...
READ MORERais Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani Luteni Kanali Sawala anachukua...
READ MORE Rais Magufuli akiambatana na Mkewe Mama Janeth jioni ya leo Julai 25, 2020 amefika nyumbani kwa marehemu Benjamin William...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Rais Mstaafu...
READ MOREMBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga...
READ MORERais John Magufuli ameahirisha sherehe za mashujaa zilizokuwa ziganyike Julai 25 mwaka huu jijini Dodoma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
READ MORERais Dkt. John Magufuli amemteua Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar akichukua nafasi ya Paul Makonda. Kabla ya...
READ MOREBinti wa mwisho wa hayati aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Madiba Mandela, Zindzi Mandela amefariki dunia jijini...
READ MOREWATU watatu wamefariki dunia akiwemo Katibu Tawala (DAS) wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Mwalimu Boniface Maiga Jumaa baada ya...
READ MOREMKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa umemsamehe Katibu Mkuu Mstaafu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, na...
READ MOREMKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, leo Ijumaa, Julai 10, 2020, kwa kauli moja umempitisha ...
READ MOREMKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa umemteua Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mgombea urais wa Serikali...
READ MOREALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amejiunga na Chama Cha Mapinduzi...
READ MOREKAMATI Maalum ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Taifa Zanzibar jana Julai 4, 2020 imependekeza majina matano ya makada...
READ MORESerikali imesitisha leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020 kwa kukithiri, kujirudia makosa...
READ MORERais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu...
READ MOREWAZIRI Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi...
READ MORERAIS John Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) asubuhi leo Jumatano ya Juni, 17, 2020, amechukua fomu...
READ MOREMbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kwa jina la Bwege ametangaza kukihama Chama Cha Wananchi Cuf...
READ MOREALIYEKUWA Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki Dunia kwa kile kinachodaiwa kuwa ni shambulio la moyo leo Juni 9,...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe,...
READ MORETaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) leo Juni 2, 2020 inamshikilia aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Mei 29, 2020 imemuachia huru Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kwa...
READ MOREMOTO mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeibuka usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Mei 23, 2020, katika Kisiwa cha...
READ MORE#BREAKINGNEWS: Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Joyce Sokombi na Sussane Masele wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha...
READ MORERais Uhuru Kenyatta ametangaza kufungwa kwa mipaka yake na Mataifa ya Tanzania na Somalia kuanzia usiku wa kwa siku 30...
READ MOREJeshi la Polisi leo Mei 14, 2020 limemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuripoti kituo cha Polisi Oyster Bay ikiwa...
READ MOREWATU watano wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Coaster kuligonga lori la mizigo...
READ MOREMhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Dkt. Job Asheri Chaula amefariki dunia leo Ijumaa, Mei 8, 2020, asubuhi katika...
READ MOREMKUU wa Wilaya ya Nyang’wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 majira ya saa 5:00...
READ MOREKIWANDA cha kukoboa kahawa cha Kharim Amri kilichopo Mgakorongo wilayani Karagwe, kimeungua moto. Taarifa za awali zinadai kuwa mashine na...
READ MOREMWANZUONI nguli wa Tanzania na Afrika Mashariki, Sheikh Suleiman Amran Kilemile, amefariki usiku wa kuamkia leo, May 06, 2020, katika...
READ MOREMWANASIASA na mwanasheria mkongwe, Dkt. Masumbuko Lamwai amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 5, 2020. Dkt. Lamwai aliwahi...
READ MOREMchungaji Dkt. Peter Mitimingi amefariki usiku wa kuamkia leo Mei 4, 2020 jijini Aruaha alikuwa ni kiongozi wa Kanisa la...
READ MORE