×

Celebrities

Ex wa Ben Pol: Wabongo Wananiita Bibi Kizee

ALIYEKUWA mke wa staa wa RnB Bongo, Ben Pol, Anerlisa Muigai amewalalamikia Wabongo juu ya umri wake na tabia zao...

READ MORE

Vera Sidika Aogopa Uchungu wa Leba

SOSHOLAITI maarufu Afrika Mashariki Vera Sidika kutoka nchi jirani ya Kenya amesisitiza kwamba atajifungua kwa njia ya upasuaji na siyo...

READ MORE

Whitemoney Ashinda Tuzo ya Big Brother Nigeria

Hazel Oyeye (29) maarufu kama Whitemoney kutoka mji wa Enugu ametangazwa kuwa mshindi wa kwanza wa tuzo za Big Brother...

READ MORE

Imfikie Mobeto; Rick Ross Majanga Huko

WIKI kadhaa baada ya rapa wa kiwango cha dunia, Rick Ross kukiri kwamba ana koneksheni na mwanamitindo Hamisa Mobeto wa...

READ MORE

Tanasha Amtolea Nje Diamond

KUNA stori imevuja kwamba, Diamond Platnumz alipanga kumtumia mmoja wa ma-baby mama wake, Tanasha Donna kama video vixen (muuza sura)...

READ MORE

Aggness wa Mahari Milioni 500 Kuziba Pengo la Mdee

MSANII wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Aggness Suleiman almaarufu Aggy Baby anasema kuwa, anajipanga kunako gemu kwa ajili ya...

READ MORE

Exclusive… Usichokijua Kuhusu Pauline Zongo na Hukumu za Wabongo

NAMFAHAMU Pauline Zongo tangu enzi za East Coast Team akiwa kama First Lady wa kundi hilo akiwa na wasanii wengine...

READ MORE

Leopard Poemz Kutua kwa Rayvanny

MAMBO yamekuwa mambo kwa msanii mwingine mkali kunako Bongo Fleva, Leopard Luhanga almaarufu Poemz; staa anayetrendi kwa sasa kutokana na...

READ MORE

Kama Huna Pesa Kaa Mbali na Lyyn

SHOSHOLITI matata Bongo ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Irene Louis ‘Lyyn’ anasema kuwa, kwenye maisha yake hapendi mwanaume...

READ MORE

Uwoya: Bado Kwenda Mbinguni Tu

KWENYE haya maisha, mtu anaweza kufanya kila kitu hadi akafikia hatua ya kutamani kwenda mbinguni! Hicho ndicho kinachotokea kwa supastaa...

READ MORE

King Kiba Adaiwa Kuuza Silaha

MIONGONI mwa habari kubwa kwenye muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, ni tangazo la Mfalme Ali Saleh Kiba au King...

READ MORE

Uwoya Afanya Kufuru Harusi ya Kwisa- Video

QUEEN kutoka kiwanda cha Bongo Movie, Irene Uwoya usiku wa kuamkia leo Octoba 3, amefanya kufuru kwa mara nyingine  kwenye...

READ MORE

Harmo Amfanyia Umafia Mondi Marekani

KIBAO kimegeuka! Ndivyo wasemavyo wananzengo baada ya msanii wa muziki nchini Tanzania, Abdul Rajab au Harmonize kudaiwa kumfanyia umafia aliyekuwa...

READ MORE

Masha Love: Nioneni Tahira tu, Lakini…

UKIMUONA alivyo na wenge naamini utakuwa unajiuliza maswali mengi mno kichwani. Utajiuliza amekosa nini hadi anajiachia kiasi hicho. Kujichetua kwake...

READ MORE

Vanessa Amfariji Wema Sepetu

VANESSA Mdee ndiye mama mpya mjini! Nddiyo, siku chache baada ya kutangaza ujauzito wake mkubwa, ni rasmi sasa kwamba amejifungua...

READ MORE

Fahyma Amsifia Tena Rayvanny

MREMBO Fahyma ‘Fahyvanny‘ anasema bado anaendelea kumsifia baba mtoto wake Rayvanny kwa sababu ni mtu aliyekamilika na muhimu sana kwa...

READ MORE

R Kelly: Staa Mkongwe Anayekwenda Kumalizia Maisha Yake Gerezani-Video

MWANAMUZIKI mkubwa kutoka nchini Marekani, Robert Sylvester Kelly almaarufu R. Kelly, amekutwa na hatia katika mashtaka 9 ya udhalilishaji wa...

READ MORE

Will Smith & Mkewe Wanunua Mjengo wa Bil. 26

STAA wa Filamu nchini Marekani,  Will Smith na mkewe  Jada Smith wamenunua mjengo wa kifahari kwa thamani ya Dola za...

READ MORE

Alikiba Amuimbia Wema ‘Happy Birthday Bichwa’ – Video

STAA wa Bongo Fleva, Alikiba amemuimbia msanii mwenzake wa Bongo Movies, Wema Sepetu kumtakia heri ya kuzaliwa #happybirthday huku akisema...

READ MORE

Rayvanny Ashindwa Kumtambulisha Paula Ukweni

MIONGONI mwa maswali yanaulizwa kwenye vilinge vya ubuyu mtamu ni kwa nini Rayvanny amekwenda nyumbani kwao jijini Mbeya bila kwenda...

READ MORE

Alikiba Atangaza Albamu Yake Mpya – Video

MFALME wa Bongo Fleva, Alikiba ama mwenyewe anapenda kujiita King Kiba amezindua rasmi albamu yake ambayo ameipa jina la THE...

READ MORE

Kanye West Ampiga Chini Mazima Chris Brown

RAPA maarufu duniani, Kanye West amefanya mabadiliko machache kwenye album yake “DONDA” ambayo ilitoka August 29 mwaka huu. Kanye amemuondoa...

READ MORE

Safari ya Maisha ya Fredy Vunjabei na Frank Knows

KUPITIA ukurasa wa Instagram tajiri kijana anayemiliki maduka ya nguo Dar es Salaam na mikoa yote, ameshare story yake na...

READ MORE

Zola D… Mtaalam Aliyewafua Diamiond & Harmonize – Video

MFAHAMU mtaalam wa mazoezi, Zola D amefunguka kuhusu alivyowafundisha mastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Rajabu Abdul ‘Harmonize’...

READ MORE

Usyk Apokelewa Kishujaa Baada ya Kumtwanga Anthony Joshua

Bondia Oleksandr Usyk amepokewa kishujaa nyumbani kwao Ukraine baada ya kufanikiwa kumtwanga Anthony Joshua katika pambano lililofanyika usiku wa Jumamosi...

READ MORE

Dully Sykes Afunguka Ishu Yake na Harmo

Legend wa BongoFlava Dully Sykes ‘Brotherman’ anasema Harmonize ni kijana wake kama walivyo vijana wake wengine na hana tatizo naye...

READ MORE

Gumzo Harmo Kumkimbia Rayvanny

WIKIENDI iliyopita kulipaswa kuwa na matukio mawili makubwa; moja Harmonize au Konde Boy Mjeshi alitangaza kumtambulisha msanii wake, Cheed ambaye...

READ MORE

Nani Amemtupia Jini Wastara?

  WASTARA Juma ni mwanamama anayetia huruma mno na huwa hakosi mambo ya kuhuzunisha kwa mashabiki wake kila uchwao.  ...

READ MORE

Diamond Apiga Kwenye Mshono kwa Zari

DIAMOND amepiga kwenye mshono! Ndivyo walivyosikika mahasimu wa mwanamama Zari The Boss Lady.   Kwani ilikuwaje? Septemba 23 ni siku...

READ MORE

Amber Lulu Arudisha Majeshi kwa Prezzo

PENZI ni kikohozi hivyo kulificha huwezi! Ni msemo wa Wahenga lakini sasa unafanya kazi kwani sio siri tena kwamba, msanii...

READ MORE

Wolper na Ishu ya Mwanaye Kuwa Staa

STAA wa Bongo Movies, Jacquiline Wolper maarufu (Mama P) ameongeza kuwa kwa sasa anashindwa kumtambua mtoto wake atakaa kwenye sekta...

READ MORE

Joh Makini Awazodoa Mashabiki Wake

RAPA maarufu anayewakilisha pande za Weusi, Joh Makini amedai shabiki yake hana nafasi kwenye maisha yake binafsi na hawezi fuata...

READ MORE

Kiba: Blue Ndio Alinihamasisha Kuingia Kwenye Muziki

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amesema alipata hamasa ya kuingia kwenye Bongofleva baada ya kuwaona Mr. Blue na...

READ MORE

Kimeumana! Mondi, Harmo, Barna Boy, Wizkid & Davido

WAANDAAJI wa Tuzo za All Music Award (AFRIMA 2021), Septemba 23, mwaka huu, wametaja listi ya majina ya wasanii, Ma-DJ,...

READ MORE

Uwoya Atawatoa Roho Watoto wa Watu

HABARI ikufikie kwamba, supastaa wa Bongo Movies mwenye maisha yake Bongo, Irene Uwoya ipo siku atawatoa watoto wa watu roho...

READ MORE

Madini Mondi Yagharimu Nyumba 3 Za Kifahari

DIAMOND Platnumz; mwamba anayemiliki vitu vya bei mbaya ikiwemo mijengo ya thamani Tanzania na Afrika Kusini, hoteli ya kifahari, lebo...

READ MORE

Mastaa 10 Bongo Wanavuta Mkwanja wa Kutisha

KWA sasa muziki ni biashara kubwa mno na wateja wa biashara hii ni wasikilizaji na watazamaji kutoka kila pembe ya...

READ MORE

Sababu Harmonize Kufuta Shoo Majuu

MSANII mwingine mkali anayeiwakilisha Bongo Kimataifa, Harmonize au Konde Boy Mjeshi amelazimika kufuta na kuahirisha ziara yake ya muziki katika...

READ MORE

Huu Ndo’ Msoto wa Irene Paul

JINA la Irene Paul siyo geni kunako fani ya uigizaji Bongo almaarufu Bongo Movies. Mwanadada huyu ana sifa za kuwa...

READ MORE

Sangoma wa Hamisa ni Kiboko

SANGOMA wa Hamisa ni kiboko! Hizo ndizo kauli zinazotolewa na baadhi ya mashabiki wa mwanamitindo Hamisa Mobeto wakimaanisha kwamba huwenda...

READ MORE