×

Celebrities

Apple Music yaja na Isgubhu, Dansi ya Kiafrika

APPLE Music imezindua Isgubhu, ikiwa ni hatua ya kukamilisha taswira halisi ya kile kiitwacho Africa’s Dance and Electronic Music, kwa...

READ MORE

T.I na Mkewe Mbioni Kupandishwa Kizimbani

RAPA T.I. na mkewe Tiny Harris sasa huwenda wakaburuzwa mahakamani kufuatia tuhuma za unyanyasaji wa kingono kwa wanawake, tuhuma ambazo...

READ MORE

Lulu Diva: Ningekuwa Mdangaji, Ningezeeka

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa kama angekuwa mdangaji kama watu wanavyosema basi angeshazeeka siku nyingi...

READ MORE

Ushosti wa Tanasha, Mobeto Wafika Ukingoni

KIMEWAKA? Taarifa ikufikie kwamba, ule ushosti wa wazazi wenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hamisa Mobeto...

READ MORE

Mama Kiba Aanika Ukweli Ndoa ya Kiba na Amina ‘Kuvunjika’

  MASHABIKI wengi wa msanii wa Bongo Fleva, Alikiba wamekuwa wakitamani  kusikia kauli ya msanii huyo kuhusu tetesi za ndoa...

READ MORE

Harmonize Akiri Kajala ni Mpenzi Wake!

WENYE mapenzi yao wanasema umri ni namba tu kwani si kigezo kikubwa cha kuzingatia linapokuja suala la mapenzi ya dhati...

READ MORE

Max Rioba Awaomba Radhi Wanawake Wanaomtukana – Video

  KUMEKUWA na maoni mengi kuhusu mtazamo wa Max Rioba baada ya video yake kusambaa mitandaoni akisema wanawake wanatakiwa wajitume...

READ MORE

Wastara: Wanatumia Ulemavu Wangu Kuniumiza Kimapenzi

WASTARA Juma Kilowoko ni mmoja wa mastaa wa fi lamu hapa nchini waliopitia changamoto nyingi katika maisha yake tangu utotoni...

READ MORE

Tuzo za MTV Zaahirishwa

  Tuzo za MTV za muziki wa Afrika ‘MTV Africa Music Awards (MAMAs)’, ambazo zilikuwa zimepangwa kufanyika mjini Kampala mwezi...

READ MORE

Sio Rayvanny Tu, Diamond, Harmonize Walidondoka Stejini

WIKENDI iliyopita kulikuwa na sherehe tamasha la Tumewasha na Tigo, lililokuwa limeandaliwa na Wasafi Media. Tamasha hilo lililofanyika katika uwanja...

READ MORE

Apple Music Yamtangaza Amaarae Msanii Bora!

  MSANII wa muziki kutoka Ghana, Ama Serwah Genfi ‘Amaarae’ amepata shavu baada ya kutangazwa kuwa msanii bora katika mpango...

READ MORE

Rihanna Azua Balaa India, Internet Yakatwa

INDIA imeshutumu ”raia wa kigeni” na watu maarufu kwa ujumbe waliotoa mtandaoni baada ya mwanamuziki Rihanna, kutangaza kuwaunga mkono wakulima...

READ MORE

Rosa Ree Atoa Somo Kwa Wanaokata Tamaa

ROSA Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini, Rasary Robert ‘Rosa Ree’, amewapa somo badhi ya watu wanaokatishwa tamaa ya...

READ MORE

Cheza Mchezo wa Aviator, Kupitia Meridianbet Pekee

Aviator – Faida Kubwa Iliyohalisi Michezo ya kasino inaboreshwa kila siku. Hatuzungumzii sloti ambayo inaubunifu mkubwa kila muda. Michezo inabadilika...

READ MORE

Lulu Diva: Nitakuwa Smati Hata Kama Nauguza!

SEX lady kunako gemu ya muziki wa Bongo Fleva Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amesema kuwa ni kweli mama yake anaumwa...

READ MORE

Fahamu Mambo Muhimu 11 Unayopaswa Kumwambia Mpenzi Usiku

  KUTENGENEZA uhusiano wenye nguvu ni moja ya mambo yenye changamoto kubwa. Japo hakuna maelekezo maalum, kuna mambo machache na...

READ MORE

EPL Kumenoga! Wolves vs Arsenal Kukiwasha leo

Ungwe ya pili kunako msimu wa soka 2020/21 inaendelea kuchanja mbuga. EPL Kumenoga! Msimamo wa ligi unabadilika kila baada ya...

READ MORE

Albam ya Kwanza ya Rayvanny Yatoka Rasmi

MSANII wa muziki kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’,  Februari 1, 2021,  ameachia rasmi albam yake...

READ MORE

Rayvanny Ft Nasty C – Bebe (Official Audio)

 Rayvanny Ft Nasty C – Bebe (

READ MORE

Q Chief Achafukwa, Amporomoshea Matusi Diamond

MSANII nguli wa muziki wa kizazi kipya, Abubakar Katwila, maarufu kama Q Chief, ameamua kuvunja ukimya na kuulaumu uongozi wa...

READ MORE

Bonge la Ngoma: Scopion Kings X Tresor (Official Video – Funu)

MASTAA wa kundi la muziki la Scopion Kings,  DJ Maphorisa na Kabza De Small kwa kushirikiana na mkali wa Afro...

READ MORE

Zuchu: Sijasababisha Sukari Ipande Bei

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva Zuchu amesema kuwa hakutegemea mapokezi aliyoyapata kutoka kwa Watanzanai kwani lengo lake lilikuwa labda...

READ MORE

T.I Ajibu Tuhuma za Kudhalilisha Wanawake Kingono

MWANAMUZIKI Mmarekani T.I. (jina lake halisi ni Clifford Joseph Harris Jr) na mkewe wamevunja ukimya, wameibuka na kukanusha tuhuma za...

READ MORE

Liundi: Mama Alitunywesha Sumu, Wadogo Zangu Wakafariki

Mtangazaji nguli nchini, Taji Liundi, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi na mchango wake katika tasnia ya muziki. Taji aka Master...

READ MORE

50 Cent Ataka Kuzichapa na Mayweather

RAPA nguli nchini Marekani, Curtis James Jackson maarufu kama ’50 Cent’ amesema anataka kuingia ulingoni kuzichapa na bondia bingwa wa...

READ MORE

Full Show: Zuchu Aacha Historia Uwanja wa Uhuru, Afanya Shoo Ya Kibabe

  SECOND lady kutoka lebo kubwa ya muziki Bongo, Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Zuhura Othman ‘Zuchu’ kwenye TAMASHA la Wasafi...

READ MORE

Shoo Ya Diamond, Aingia Kifalme Uwanjani, Aandika Historia -Video

 TAMASHA la Wasafi Tumewasha na TiGo limefanyika usiku wa kuamkia leo Januari 31, 2021 katika Uwanja wa Uhuru jijini...

READ MORE

Babu Tale – Marehemu Mke Wangu Aliniambia Nisioe

MBUNGE wa Morogoro Kusini Mashariki, Mhe. Hamisi Taletale ‘Babu Tale’, ambaye alifiwa na mkewe, Shamsa Kombo ‘Shammy’, Juni 26, 2020,...

READ MORE

Zuchu – Sukari (Official Music Video)

 SECOND lady kutoka lebo kubwa ya muziki Bongo, Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Zuhura Othman ‘Zuchu’ leo Januari 30, 2021...

READ MORE

Breaking: Ishu ya Polisi Kusitisha Tamasha la Wasafi Dar

  Kamanda wa polisi Mkoa wa Temeke, Amon Kakwale amekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba limesitisha tamasha la...

READ MORE

Nandy Apewa Vyombo Baada ya Vichambo – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Fausta Charles ‘Nandy’ amepewa zawadi ya vyombo na mtangazaji Dina Marius baada ya kupokea vichambo kutoka...

READ MORE

T.I, Mkewe Watuhumiwa Kuwafanyia Ukatili Wanawake 25

WANAWAKE zaidi ya 25 wamejitokeza na kudai kuwahi kufanyiwa vitendo vya kikatili na rapa Mmarekani, T.I. pamoja na mkewe Tiny...

READ MORE

Sukari ya Zuchu Yamfunika Nandy

  SECOND lady kutoka lebo kubwa ya muziki Bongo, Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Zuhura Othman ‘Zuchu’ anazidi kutisha kisanaa.Taarifa ikufikie...

READ MORE

Diamond Amtaja Baba Yake Mzazi, Fungua Hapa Kumjua

MSANII nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz, leo Januari 28, 2021 kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu...

READ MORE

Agness Amkana Uchebe Kweupe!

MSANII wa Bongo Muvi, Agness Suleiman kwa mara ya kwanza amefunguka madai ya kuhusishwa kimapenzi na aliyewahi kuwa mume wa...

READ MORE

Lady Jay Dee: Sikumbuki Idadi Za Kolabo Nilizofanya

MSANII mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ amesema kuwa mpaka sasa hakumbuki idadi kamili za...

READ MORE

Maua Sama ft Aslay – Wivu (Official Music Video)

 MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama ametoa video ya ngoma yake mpya ya Wivu akimshirikisha msanii Aslay....

READ MORE

Jide Afunguka: Sina Mpango wa Kufungua Record Label – Video

  MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu ya Bongo Fleva, Lady Jay Dee, ametinga ndani ya studio za Global Radio kwenye kipindi...

READ MORE

Mazito Yaibuka Watoto Wa Diamond Platnumz

MJI mzito! Mambo kila siku yanaibuka mapya, lile suala la mama yake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ kutamka...

READ MORE