×

Global TV Online

Ali Kamwe Atema Nyongo: “Unyonge Hatujazaliwa Nao Yanga”- Video

Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ali Kamwe amefunguka kupitia Global TV na kueleza sababu mbili zilizopelekea klabu yao...

READ MORE

Hemed Phd Alivyomrarua Lulu Diva Kisa Shepu – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini, Hemed Suleiman @hemedyphd amesema kuwa hana tatizo lolote na @luludivatz na kuweka wazi kuwa...

READ MORE

Mchekeshaji Anko Nzala “Mimi Simba, Nahonga Sana Hela” – Video

Mchekeshaji Anko Nzala amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa kwa sasa yupo na miaka 21 japokuwa ana umbo dogo.

READ MORE

Black Pass Kiziwi: Rafiki Yake Apata Ukimwi Kwa Mume Wa Mtu Baada Ya Kuachana Na Boyfriend Maskini! – Video

Mchekeshaji Black Pass amesema suala la kupangwa kwenye ‘scene’ za mapenzi huwa halimsumbui kwa sababu yupo kwenye mapenzi na mtu...

READ MORE

Amos Makalla: Chadema Wanavurugana Hawajajipa – Video

Katibu uenezi walichama Chama cha Mapinduzi (CCM) taifa, Amos Makalla, amewashauri viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kumaliza...

READ MORE

Abbas Tarimba Ajivunia Kumaliza Mafuriko Kinondoni – Video

Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba amefunguka na kueleza kwamba moja kati ya matatizo sugu yaliyopatiwa ufumbuzi Kinondoni katika kipindi chake...

READ MORE

Shombo za Ahmed Ally “Yanga Wamefungashwa, Kule Siyo Kufungwa -Video

Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ahmed Ally  leo Novemba 8, 2024 ameamkia kwenye kijiwe cha Kahawa Posta baada...

READ MORE

Injinia Afunguka Kutembea Na Risasi Mwilini “Aliyenipiga Amepigwa Faini Ya Mil. 2 Tu” – Video

Februari 18, 2023, ni siku iliyobadilisha kabisa maisha ya kijana Gerdat Mfyoa. Yeye na ndugu zake, walikuwa wametoka ‘out’, wakati...

READ MORE

Nayce Moshi: Ndoa Inakuja, Nilitukanwa Na Abiria Nikamfunga Polisi – Video

Mwanadada mrembo aliyejipatia umaarufu kupitia kazi yake ya ukondakta kwenye mabasi ya mikoani, Nice Moshi @naycemoshi, amesema kuwa hapendezwi kabisa...

READ MORE

Eric Shigongo Afika Msibani Kumuaga Mwili wa marehemu Grace Mapunda – Video

Eric Shigongo, Mbunge wa Buchosa, ni miongoni mwa waombolezaji waliohudhuria kwenye shughuli ya kuagwa kwa mwili wa marehemu Grace Mapunda....

READ MORE

Live: Jeneza Lenye Mwili Wa Tessa Lawaliza Mastaa viwanja vya Leaders Dar

Mwili wa Grace Mapunda leo Novemba 4, 2024 unaagwa katika viwanja vya Leaders, Kinondoni – Dar es salaam kwa ajili...

READ MORE

Steve Nyerere Atoa Povu, ”Wasanii Wa Bongo Fleva Hawatokei Msibani” – Video

Mchekeshaji maarufu na staa wa filamu, Steve Nyerere amewashukia wasanii wa Bongo Fleva kwa madai kwamba wengi wao hawaendi kwenye...

READ MORE

Chuchu Hansy Afichua Mshtuko Aliopata Tessa Kusikia Chuchu Ana Ujauzito Wa Ray Kigosi – Video

Staa maarufu wa Bongo Muvi, Chuchu Hansy amefunguka kuwa marehemu Grace Mapunda ‘Tesa’ alikuwa msiri wake na hata aliposhika ujauzito...

READ MORE

RC Chalamila: Nikifa Nizikwe Kama Waislam, Yesu Alipozikwa Sikuona Sanduku, Taomba Maandiko – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa...

READ MORE

Miezi 2 Iliyopita Tessa Alifichua Waliomtabiria Kifo – ”Presha NA Sukari Yamteketeza” – Video

Miongoni mwa mambo ambayo marehemu Grace Mapunda almaarufu Tesa alikuwa akilisema waziwazi, ni kwamba tangu alipoanza kuigiza filamu miaka mingi...

READ MORE

Mary wa ‘Namba Unayopiga Haipatikani’ – ”Nilipata Hela Nyingi” – Video

Mwanadada Mary Chizi amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa kwa sasa sauti yake ni maarufu zaidi ya yeye binafsi....

READ MORE

Mkasa Wa Kweli: Miaka 10 Ndani Ya Ndoa, Shoga’ake Akampeleka Kwa Mganga – Video

Mwanadada Rosemary amefunguka kupitia kipindi cha Kontena ya Global TV na kueleza kuwa mojawapo ya sababu zilizopelekea kuvunjika kwa ndoa...

READ MORE

Kwa Mara Ya Kwanza Tuzo za Trace 2025 Kufanyika Zanzibar – Video

Tuzo za Trace Music Awards zinatarajiwa kufanyika Visiwani Zanzibar, Akizungumza na waandishi wa habari visiwani Zanzibar leo, mmoja kati ya...

READ MORE

Mbunge Nape Amuuliza Swali Gumu Waziri Mkuu Majaliwa Kuhusu Uchaguzi Serikali Za Mitaa – Video

ALIYEKUWA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amefika bungeni Jijini Dodoma kwa mara ya kwanza tangu...

READ MORE

Serikali Kuunda Chombo Maalum Kushughulikia Tatizo la Afya ya Akili – Video

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge, wakati wa kikao cha tatu cha Mkutano wa Kumi na Saba wa...

READ MORE

Amuua Mkewe Baada Ya Kulewa, Mashuhuda Waeleza – Video

Mwanamke mmoja kazi wa Mtaa wa shule, kata ya Kiloleni mkoani Tabora aliyejulikana kwa Jina la hawa Juma amekutwa ameuwawa...

READ MORE

Mzee Hiza Aliyepewa Mil 50 Na Rais Samia ”Vitoto Vya 2000 Havinisumbui” – Video

Masihara ya Mzee Hizza aliyeimba Tanzania Yetu na mkewe baada ya kupewa shilingi milioni 50 na Rais Samia Suluhu Hassan,...

READ MORE

Waziri Ndejembi Atoa Ujumbe Mzito Kwa Watumishi Wasiokuwa Weledi – Video

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...

READ MORE

Wolper Aongea Kwa Uchungu Msibani – Ombeni Alikuwa Mtu Wa Mungu… – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Jacqueline Wolper amehudhuria mazishi ya marehemu Ombeni Phiri ambapo amesema watu wakipata nafasi wajifunze...

READ MORE

Lulu Diva Ashindwa Kuvumilia Amlilia Ombeni, Atoa Machozi Kama Mtoto – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Lulu Diva amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa wakati Ombeni anaumwa alikuwa anafahamu....

READ MORE

Babu Tale Asimulia Usiyoyajua Kifo Cha Ombeni ‘’Alijisogeza Kwa Mungu Mapema’’ – Video

Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Hamisi Taletale anaejulikana kwa jina maarufu Babu tale amehudhuria mazishi ya marehemu Ombeni na kusema...

READ MORE

Taharuki! Ajinyonga Kwa Chandarua Hadi Kufa, Majirani Na Ndugu Wafunguka – Video

Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Emilian Makala mwenye umri wa miaka 46 Mkazi wa Bigwa Barabarani kata ya Bigwa...

READ MORE

Vituo 525 Vitatumika Kupiga Kura Nachingwea – Msimamizi Uchaguzi Afunguka – Video

Msimamizi wa Uchanguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wilaya ya Nachingwea mhandisi Chionda Kawawa ametangaza rasmi jumla ya...

READ MORE

Softena, Harmonize Kimeumana, Video Zake Anayemrekodi Ni Mumewe – Video

Mtangazaji Softena amefunguka kuwa, idadi kubwa ya watu wamejitokeza wakitaka kumkutanisha na Harmonize, ikiwa ni siku chache baada ya msanii...

READ MORE

Mzee Wasira Avunja Ukimya, Awachana Chadema “Waliomba Maridhiano” – Video

Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wassira amesema katika chaguzi zote za serikali za kitaa, uchaguzi pekee unaolamamikiwa ni wa 2019 ambao...

READ MORE

Saleh Jembe Amshusha Vyeo Chama “Hakuna Free Kick Kali Pale” – Video

Mchambuzi mkongwe wa soka nchini Saleh Jembe, amefunguka kupitia Global TV, ameonyeshwa kutopendezwa na maamuzi mabovu yaliyofanywa na mwamuzi Ramadhani...

READ MORE

Pembe Azikwa Na Mastaa Wenzake, Joti, Bambo, Senga Na Wengine – Video

 Aliyekuwa mchekeshaji nguli nchini, Pembe aliyefariki dunia jana, amezikwa leo katika Makaburi ya Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.

READ MORE

Ummy Atoa Mashine Ya Photocopy Kwa CCM Wilaya Ya Tanga, Afunguka – (Picha+Video)

Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Mwalimu Oktoba 20, 2024 amekabidhi Mashine kubwa ya Photocopy aina ya CANON kwa...

READ MORE

Orodha Ya Washindi wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2024 – Video

TUZO za Muziki Tanzania (TMA) zimeendelea kuwa sehemu muhimu ya tasnia ya muziki nchini, zikitoa jukwaa kwa wasanii kuonyesha ubunifu...

READ MORE

Comedy Za Ommy Dimpoz Kwa Zuchu Hadi Watu Wakacheka ”Maisha Umeyapatia Shemeji”- Video

Msanii wa Muziki wa Bongofleva nchini Zuchu ametwaa tuzo ya Msanii bora wa kike katika usiku wa tuzo za TMA...

READ MORE

Watu 14 Wafariki Kwenye Ajali Mbaya Kilimanjaro – Coaster Na Lori Zagongana Darajani – Video

Watu 14 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya kutokea kwa ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo, katika daraja la...

READ MORE

Jeshi la Polisi lapiga marufuku mashabiki kuingia Uwanja Mkapa leo wakiwa na silaha – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku mashabiki kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mechi ya...

READ MORE

Ahmed Ally: Kesho Yanga Tutawapiga Mapigo Matatu Makubwa ‘Tripple Frontier’- Video

Afisa habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally mefunguka na kueleza kuwa mchezo wa dabi ya Kariakoo wanakwenda kushinda. “Jumamosi...

READ MORE

Kipingu Ataja Kinachoua Vipaji Vya Michezo, ”Watoto Wanakaririsha Wapate Division 1 Hawachezi”- Video

Mdau mkubwa wa michezo nchini aliyefanikiwa kuibua na kukuza vipaji kibao, Kanali Mstaafu Idd Kipingu amefunguka kuhusu sababu zinazofanya kuwe...

READ MORE

Kutoka Oman: Je, Ni Kweli Watanzania Wanaofariki Oman Hawazikwi Kwa Heshima? Ziyuni Afunguka – Video

Wakala wa Wafanyakazi nchini Ziun Mohamed amefunguka kupitia Global TV kutokea nchini Oman na kueleza kuwa Wafanyakazi wanaosafirishwa kwenda Oman...

READ MORE