×

Global TV Online

Mbowe Ataja Mambo Matatu Aliyozungumza na Rais Samia – Video

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametaja mambo matatu waliyozungumza na Rais Samia Suluhu Hassan walipokutana Machi 4, 2022 baada ya...

READ MORE

Katibu Mkuu Wa CCM Anazungumza Muda Huu, Mwaka 1 Wa Rais Samia-Video

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo Leo Ijumaa Machi 18, 2022, amezungumza na Waandishi wa Habari kwenye...

READ MORE

Mwaka 1 Wa Rais Samia Atoa Ya Moyoni Kifo Cha Magufuli-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…...

READ MORE

Mwandishi Mwingine Auawa Ukraine Akiripoti – Video

Mwandishi wa habari na mpiga picha wa kituo cha Fox News, Pierre Zakrzewski aliyekuwa na umri wa miaka 55, ambaye...

READ MORE

Video: Mfumo Wa Elimu Tanzania Haufai? Ufumuliwe Upya?

Hoja kwa hoja leo inakukutanisha na Waziri Kivuli wa Elimu, Riziki Mgwali ambaye ameuchambua mfumo wetu wa elimu nchini.  ...

READ MORE

Sakata La Makonda, Gsm, Haponi Mtu, Rais Samia Polepole Kuteta Kirefu | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu (Picha +Video)

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Machi 15, 2022 amewaapisha viongozi wawili aliowateua hapo jana, ambao ni Humphrey Polepole aliyeteuliwa kuwa...

READ MORE

Kiwanda Cha GSM Chaungua Moto – Video

 TAARIFA zilizotufikia hivi punde asubuhi ya leo Machi 13, ni kwamba Kiwanda cha GSM Industrial Park cha kutengeneza magodoro...

READ MORE

Imebainika! Eneo Analogombania Makonda Ni Mali Halali Ya GSM-Video

LEO Machi 12, 2022 Mwanasheria wa mmiliki wa makampuni ya GSM amezungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata linaloendelea kati...

READ MORE

Shaka Hamdu Shaka Aongea Na Waandishi Wa Habari- Video

KATIBU wa NEC itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi ndugu Shaka Hamdu Shaka anaongea na waandishi wa habari katika...

READ MORE

Familia Yatolewa Nje Kimafia Arusha, Kisa Milioni 50 Za Kuazima

Familia ya Mr Fulujesi ya Jijini Arusha imelalamika kutolewa nje ya nyumba ya kwa kile wanaochodai kuonewa na mtu aliyewaazima...

READ MORE

Mateso Yaliyopitiliza: Miaka 2 Hawezi Kujigeuza, Hasimami Wala Kutembea -Video

 Zainab Mohamed (27) Mkazi wa Tanga ambaye anasumbuliwa na Kansa ya Titi hali iliyosababisha kwa sasa hana uwezo wa...

READ MORE

Kijana Anasa Katikati Ya Barabara Arusha, Uchawi Watajwa – Video

 Katika hali isiyokuwa ya kawaida kijana ambaye jina lake halijafahamika mara moja ameonekana amesimama katikati ya Barabara maeneo ya...

READ MORE

RC Kafulila Afunguka Sakata La Vita Vya Russia Na Ukraine | Hoja Kwa Hoja

 Kipindi kipya kutoka Global Tv cha Hoja kwa Hoja, kimefanya mahojiano na David Kafulila, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu....

READ MORE

Video: Dada Aliyenyongwa Na Mganga Wa Kienyeji, Mfanyakazi Wake Aanika Ukweli

 MOJA kati ya matukio ambayo yalitawaliwa na utata mzito hivi karibuni ni pamoja na tukio la kifo cha Bi...

READ MORE

Mbowe Afichua Mazito, Ccm Waanza Chokochoko -Video

KARIBU kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…...

READ MORE

Mbowe Afunguka Alichozungumza na Rais Samia – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, leo Machi 08, amehutubia kwa mara ya kwanza kwenye hafla...

READ MORE

Rais Samia: Hakuna Kuulizana Dini Wakati wa Sensa – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema hakuna mtu atakayeulizwa dini yake wakati wa sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti...

READ MORE

Video: Mayele wa Moto nje ndani, Rekodi zake zzinatisha, Mastaa Simba waongeza mzuka CAF

 KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi..

READ MORE

Shigongo Atuma Salamu, Wapigaji Fedha Za Rais Samia-Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa Eric Shigongo ametembelea zahanati na shule zinazoendelea kujengwa katika jimbo hilo ambapo ametoa salamu kwa...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Shule Ya Benjamini Mkapa – Dar es salaam-Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametembelea Shule ya Sekondari Benjamini Mkapa, Kariakoo Jijini Dar es...

READ MORE

Harmonize Ashuka na Lifti Stejini Tabata Dar – (Picha + Video)

Staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul au Harmonize amefungua show yake alfajiri ya kuamkia leo Machi 6, 2021 Tabata jijini...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Ufunguzi Wa Makao Makuu Benki Ya CRDB-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Leo Machi 05, 2022 ameshiriki ufunguzi wa makao makuu mpya ya CRDB,...

READ MORE

Mbowe Na Wenzake Kuachiwa Huru, Sheria Inasemaje -Video

 MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, leo Machi 04, 2022 ameachiwa huru baada ya DPP kuwasilisha mahakamani hati ya kutokuwa...

READ MORE

Unyama: Baba Amuua Mwanae Kwa Kumrushia Shoka – Video

 Polisi Mkoani Kagera wanamshikilia Anderson Clemence (35) Mkazi wa Kitongoji cha Ihema, Kijiji cha Kafunjo Wilayani Karagwe Mkoani Kagera...

READ MORE

Video: Mama Kanumba Afunguka Alivyoona Mandondocha Kanisani

 Global TV imefunga safari hadi Kimara Temboni, Jijini Dar es saalam nyumbani kwa Mama Kanumba na kuzungumza nae mambo...

READ MORE

Siri Nzito Chadema, Mkakati Wa Kuwang’oa Mdee Na Wenzake- Front Page

KARIBU kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini...

READ MORE

Video: Rais Joe – ”Marekani Tunasimama Na Ukraine, Putin Ametengwa”

Rais Joe Biden wa Marekani amesema madikteta ambao hawawajibishwi kutokana na uchokozi wao ndio wanaosababisha machafuko zaidi duniani.   Rais...

READ MORE

Video: Rais wa Ukraine Akataliwa Kujiunga Umoja wa Ulaya

 Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, mchana wa leo Jumanne Machi 01, 2022 amezungunza kwa hisia kali na Bunge la...

READ MORE

Video: Rubani Mdogo Mtanzania Anayerusha Ndege Afunguka

 Hivi karibuni tulikuletea simulizi ya Ndege ya kivita ya Ukraine, MiG-29 Fulcrum inayoongozwa na rubani aliyebatizwa jina la The...

READ MORE

Rekodi Ujenzi Wa Mkongo Wa Taifa-Video

WIZARA ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeweka rekodi ujenzi wa Mkongo wa Taifa , ambapo kwa mwaka mmoja...

READ MORE

Kutoka Ukraine: Mtanzania Aliyepo Huko Azungumza -Video

 Mtanzania aliyepo Nchini Ukraine kimasomo, amezungumza akiwa kwenye handaki na chombo cha habari cha nchini Marekani, VOA ambapo ameeleza...

READ MORE

Wengine Watatu Watoweka Dar – Video

   Vijana watatu ambao ni marafiki, Abdallah Kawambwa, Jackson Mkwetu na Omary Hamdan, wakazi wa Kitunda jijini Dar es...

READ MORE

Video; Lulu Diva Amwaga Machozi Akisimulia Kifo Cha Mama Yake

 GLOBAL TV tumefanya mahojiano na Mwanamuziki Lulu Diva, ikiwa ni miezi michache baada ya kifo cha mama yake mzazi....

READ MORE

Rais Samia Azindua Shule Ya Uongozi Ya Mwalimu Julius Nyerere-Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kufunguliwa kwa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichopo Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani,...

READ MORE

Rais Samia: Sio Tabia Yangu Kupenda Kutukuzwa – Video

RAIS  Samia leo Jumanne Februari 22, 2022 amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi kuwa...

READ MORE

Jina Lako Lina Umuhimu Gani Kimaisha? Sasa Fahamu Hapa | Hard Talk

Ama kweli duniani kuna mengi na usipoyajua YATAKUSUMBUA…Jina lako lina umuhimu gani duniani? La mama yako je? This is HARD...

READ MORE

Mnyukano Wa Kufa, Kupona Kesi Ya Mbowe, Jaji Apingwa-Video

KARIBU kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Mapokezi Ya Rais Samia Akitokea Ubelgiji (Picha +Video)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anawasili nchini kutoka Ubelgiji, Leo Februari 20, 2022 baada ya...

READ MORE

Mwili Wa Dkt. Mwele Malecela Waagwa Dar Es Salaam-Video

MWILI wa Dkt. Mwele Malecela umeagwa leo katika viwanja vya Karimjee  jijini Dar es salaam, alizaliwa 26 machi 1963 na...

READ MORE