×

Habari

Penzi la Kiredio na Vee Dollarz Lavunjika Tena, Madai Mazito Yaibuka

Mtangazaji na muandaaji wa maudhui, Vicent Njau maarufu kama Kiredio, inasemekana kuwa amepigwa tukio na watu wenye pesa baada ya...

READ MORE

Ariana Grande na Ex Wake Wazua Gumzo Kubwa, Penzi Lao Limefufuka

Mwimbaji maarufu wa Marekani, Ariana Grande, anaonekana kuanza tena uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wake wa zamani, Ricky Alvarez, baada...

READ MORE

Fahamu Faida na Hasara za Kutumia Gesi Kwenye Gari Kabla Hujafunga Mfumo

Matumizi ya gesi kwenye magari yanaendelea kuongezeka kutokana na gharama nafuu za uendeshaji na jitihada za kupunguza matumizi ya mafuta...

READ MORE

Steve Barker Akiri Makosa Baada ya Simba Kupoteza kwa Yanga

Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amekiri kuwa kuna mambo yaliyohitaji kufanyiwa kazi baada ya kikosi chake kupoteza kwa...

READ MORE

Presha ya Mashabiki Yamfanya Cardi B Kutaka Kupumzika

Rapa maarufu wa Marekani, Cardi B, amezua gumzo baada ya kusema anataka kuchukua mapumziko ya muda kwenye muziki kutokana na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 14, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Nafasi za Kazi Wezesha Mzawa Microfinance – Loan Officer, Mwisho wa Maombi Agosti 31, 2026

We are seeking a motivated, experienced Loan officer/ Credit officer to join our growing company. In this position, you will...

READ MORE

Mkesha wa Mwenge Buchosa, Polisi Sengerema Watoa Uhakika wa Usalama – Video

BUCHOSA, MWANZA — Jeshi la Polisi Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, limewahakikishia wananchi wa Buchosa kuwa litasimamia kikamilifu usalama...

READ MORE

Rais Samia Azindua Mradi wa Maji Kuelekea Kilele cha Tamasha la Kizimkazi

KIZIMKAZI, ZANZIBAR — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Mradi wa Maji Kizimkazi, ikiwa...

READ MORE

The Heaven Quality Band – Haya Njooni (Official Music Video)

Kama unapenda nyimbo za Injili zenye ujumbe, sauti nzuri na zinazokufanya umsifu Mungu kwa moyo wote, basi huu ni wimbo...

READ MORE

Mamilioni Wajitokeza Kushuhudia Maajabu ya Kupatwa kwa Jua – Picha

MADRID, Hispania — Mamilioni ya watu katika maeneo mbalimbali ya Dunia walielekeza macho yao angani Jumatano, Agosti 12, 2026, kushuhudia...

READ MORE

Yanga, Simba na Azam Zaanza Safari ya Ligi Kuu kwa Mikikimikiki

DAR ES SALAAM: Mabingwa watetezi wa NBC Premier League, Yanga SC, watafungua kampeni ya msimu wa 2026/27 kwa mchezo mgumu...

READ MORE

Karoline Aondoka White House, Aendelea Kuwa Mshauri wa Trump

Washington, D.C. — Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kwamba Karoline Leavitt ataondoka katika nafasi yake ya Katibu wa Habari...

READ MORE

Azam FC Yajibu Tetesi za Fei Toto Kuhamia Yanga au Simba

DAR ES SALAAM: Azam FC imesisitiza kuwa kiungo wake nyota, Feisal “Fei Toto” Salum, ataendelea kuwa sehemu ya kikosi cha...

READ MORE

Trey Songz Atua Dar Kuandika Historia Tamasha la IMBEJU Sauti Moja Kesho

DAR ES SALAAM: Mwimbaji maarufu wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz, amewasili nchini Tanzania kwa ajili ya kutumbuiza...

READ MORE

Unatafuta Kazi? Nafasi Ya Marketing & Advertising Officer Dar, Full-time

📍 Dar es Salaam | Full-time Tunatafuta Marketing & Advertising Officer mwenye uwezo, ubunifu na uzoefu katika Advertising Sales, hasa...

READ MORE

Kama Unapenda Sinema, Hizi Ndizo Filamu 7 Usizopaswa Kukosa 2026

MWAKA 2026 umeendelea kuwapa mashabiki wa filamu kazi zenye ubunifu mkubwa kutoka kwa waongozaji mahiri duniani. Kuanzia drama za kihistoria,...

READ MORE

Uchawi wa Hadithi za Ireland Waingia Kwenye Dunia ya Kasino

Dunia ya michezo ya kasino imepata ladha mpya kupitia Meridian Leprechaun Wish, mchezo unaochota msukumo kutoka kwenye simulizi maarufu za...

READ MORE

Madai Mapya Yaibua Sakata la Jina la Kate Ndani ya Familia ya Kifalme

Prince William anadaiwa kuwahi kukasirika baada ya King Charles III na Queen Camilla kumtaka mkewe, Kate Middleton, kubadili namna jina...

READ MORE

Jeff Bezos Avamia Soka England, Liverpool Yatajwa Kwenye Dili la trilioni

Bilionea na mwanzilishi wa Amazon, Jeff Bezos, anakaribia kuwa mmoja wa wamiliki wa Liverpool FC, baada ya kuhusishwa na muungano...

READ MORE

Hizi Hapa Sababu 7 Zinazofanya Mazda Verisa Kuwa Bora Zaidi ya IST

Katika miaka ya karibuni, Mazda Verisa imekuwa moja ya magari yanayouzwa kwa kasi kwenye soko la magari yaliyotumika nchini Tanzania....

READ MORE

Jinsi ya Kujua Kama Betri ya Simu Yako Ni Original Unaponunua Simu Mpya

Unaponunua simu mpya, moja ya sehemu muhimu zaidi ni betri. Betri halisi ni uhakika wa maisha marefu ya simu, utendaji...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 13, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

UDSM Yatangaza Nafasi 33 za Tutorial Assistant, Maombi Mwisho Agosti 18, 2026

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimetangaza nafasi 33 za ajira kwa Watanzania wenye sifa, kwa ajili ya kujaza...

READ MORE

Yanga Yatwaa Ngao ya Jamii 2026 Baada ya Kuichapa Simba 1-0

ZANZIBAR: Young Africans SC (Yanga) wameanza msimu mpya kwa kishindo baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya...

READ MORE

Sakata la Bando: Shigongo Apeleka Malalamiko TCRA, Atoa Siku 90, Mahakama Yatajwa

DAR ES SALAAM: Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema amewasilisha rasmi malalamiko katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu suala...

READ MORE

Kisa cha Kusikitisha: Mwanamke Afanya Mauaji Kisa Wivu wa Mapenzi, Afungwa Maisha

Tamarac, Florida, Marekani — Mahakama nchini Marekani ilimhukumu, Sakiyna Thompson mwenye umri wa miaka 31 kifungo cha maisha jela bila...

READ MORE

Depú Arejea Petro de Luanda kwa Dau la TSh Bilioni 1.3!

Petro de Luanda imetangaza rasmi kumsajili tena mshambuliaji wa Kimataifa wa Angola, Laurindo Dilson Maria Aurélio ‘Depú’, kutoka Yanga, kuelekea...

READ MORE

Biashara Tanzania-China Yarahisishwa, Stanbic Yazindua Malipo ya Yuan Moja kwa Moja

DAR ES SALAAM, Tanzania — Benki ya Stanbic Tanzania imekuwa benki ya kwanza nchini kuzindua huduma ya Malipo ya Moja...

READ MORE

Dunia Kushuhudia Tukio Adimu la Kupatwa Kwa Jua leo

DUNIA: Dunia leo, Jumatano Agosti 12, 2026, itashuhudia tukio la nadra la kupatwa kwa Jua kwa jumla, ambapo Mwezi unapita...

READ MORE

Video: Jamhuri Yaomba Ahirisho, Kesi ya Lissu Yahairishwa Hadi Kesho

Kesi inayomkabili Tundu Lissu imeahirishwa hadi kesho, Alhamisi Agosti 13, 2026 baada ya upande wa Jamhuri kuomba muda zaidi kwa...

READ MORE

Mahakama Ya Syria Yamuhukumu Kifo Rais Wa Zamani Bashar Al-Assad

DAMASCUS, SYRIA: Mahakama nchini Syria imemhukumu aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, adhabu ya kifo baada ya kupatikana na...

READ MORE

Kesho ni Siku ya Maamuzi Zambia, Hichilema Akabiliwa na Mtihani Mzito Katika Uchaguzi Mkuu

LUSAKA, ZAMBIA: Zambia iko tayari kwa uchaguzi mkuu unaofanyika kesho, Alhamisi, Agosti 13, 2026, ambapo wananchi watapiga kura kumchagua Rais,...

READ MORE

Bass Cash 1000 Yatinga Meridianbet: Uzoefu Mpya wa Slot Waanza

Meridianbet imefungua milango ya kipekee kwa wapenzi wa kasino mtandaoni kupitia Bass Cash 1000, mchezo mpya wa sloti unaopatikana kwa...

READ MORE

Trump Afichua Siri ya Kubadilisha Ndege Baada ya Tishio la Kuuawa Uturuki

Rais wa Marekani Donald Trump amesema alilazimika kubadilisha ndege kwa siri nchini Uturuki mwezi uliopita kufuatia maelekezo kutoka kwa Secret...

READ MORE

Ronaldo na Georgina Wafunga Ndoa Baada ya Miaka 10 ya Mapenzi

DUBAI: Nyota wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, na mpenzi wake wa muda mrefu, Georgina Rodriguez, wamefunga ndoa baada ya kuwa kwenye...

READ MORE

Yanga Yakataa Ofa ya Tsh bilioni 1.8 kwa Allan Okello

Yanga wanadaiwa kukataa ofa ya dola 700,000, sawa na takribani Tsh bilioni 1.8, kutoka FAR Rabat ya Morocco kwa ajili...

READ MORE

Terrano Yarudi na Muonekano wa Kisasa na Uimara Mkubwa

Nissan imerejesha jina maarufu la Nissan Terrano kwa kuzindua concept ya SUV mpya ya plug-in hybrid, inayolenga kushindana na magari...

READ MORE

Rihanna Awarudisha Watoto Wake Kwenye Mtaa Aliokulia

Msanii maarufu wa muziki na mfanyabiashara wa urembo, Rihanna, ameshiriki picha adimu akiwa pamoja na watoto wake wote watatu alipowapeleka...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 12, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE