×

Habari

Trump Apongeza Maongezi ya Iran na Marekani, Asema Mazungumzo Yanaendelea Vizuri Qatar

Rais wa Marekani Donald Trump amepongeza maendeleo ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Marekani na Iran yaliyofanyika...

READ MORE

Fahamu Njia Sahihi ya Kupaki Gari la Automatic, Linda Gearbox Yako

Wataalamu wa magari wameeleza kuwa kuna utaratibu muhimu unaoshauriwa kufuatwa wakati wa kupaki gari aina ya automatic ili kulinda mfumo...

READ MORE

Mkutano Mkuu wa 53 wa TBL Wathibitisha Mgao wa Muda kwa Wanahisa

Wanahisa wa Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL Plc) wamepitisha Ripoti ya Wakurugenzi, Ripoti ya Wakaguzi wa Hesabu pamoja na...

READ MORE

Usiyoyajua Kuhusu Toyota Land Cruiser Gx-R, Gr-S Na Zx (Lc300 Series)

Toyota Land Cruiser 300 (LC300) imekuwa gumzo barani Afrika tangu kuingia sokoni, ikiwa imebeba jina kubwa la uimara na uwezo...

READ MORE

Israel Yatangaza Wanajeshi Wake Kubaki Lebanon, Syria na Gaza Kujilinda

Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) litaendelea kubaki katika maeneo ya usalama...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yaimarisha Mchango Katika Ukuaji wa Uchumi Kuelekea Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050

  Vodacom Tanzania Plc, kampuni pekee ya mawasiliano iliyoorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), imetambuliwa kama...

READ MORE

Puma Energy Yachangia Zaidi ya Trilioni 1.4 kwa Serikali ndani ya Miaka Mitatu

Dar es Salaam, Julai 1, 2026: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imetwaa Tuzo ya Rais ya Mlipa Kodi Bora katika...

READ MORE

Kifo cha Dereva wa John Heche Chachunguzwa na Polisi, Chadema Wafunguka – Video

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu (Bara), Amani Golugwa kimetoa taarifa za kifo cha Suez...

READ MORE

Waziri Mkuu: Serikali Kuharakisha Utekelezaji Wa Miradi Ya Maendeleo Nchini

SERENGETI, MARA – Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali imeweka mkakati maalum wa kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo...

READ MORE

Equity, ZIPA Wafanya Kongamano Kufungua Fursa Za Uwekezaji Zanzibar

Equity Group, taasisi inayoongoza ya huduma za kifedha barani Afrika, leo imeandaa kongamano la ngazi ya juu la uwekezaji kwa...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Makatibu Wakuu Wapya, Atoa Mwelekeo wa Utumishi (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano, Julai 1, 2026, amewaapisha viongozi aliowateua hivi...

READ MORE

JKT Watoa Pole kwa Pacome Baada ya Kuumia Uwanjani

Uongozi wa JKT Tanzania FC umetoa pole na kuomba radhi kufuatia kuumia kwa mshambuliaji wa Yanga SC, Pacome Zouzoua, katika...

READ MORE

EWURA Yatangaza Kushuka Kwa Bei ya Mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupungua kwa bei kikomo za mafuta ya petroli nchini...

READ MORE

Mahakama Kuu Yaipiga Stop Serikali ya Trump Kwenye Uraia wa Kuzaliwa

WASHINGTON, Marekani – Mahakama Kuu ya Marekani imekataa jaribio la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kuondoa haki ya uraia...

READ MORE

Airtel Yakabidhi Serikali Gawio La Sh Bilioni 65.48, Yafikisha Sh Bilioni 350 Tangu 2019

Juni, 30, 2026. Dar es Salaam. Kampuni ya Airtel Tanzania imekabidhi Serikali gawio la Sh bilioni 65.48 kwa mwaka wa...

READ MORE

Equity Group Yawaunganisha Wawekezaji wa Kimataifa na Sekta Binafsi Tanzania

Equity Group imeongoza ziara ya siku nne ya Biashara na Uwekezaji nchini Tanzania Bara na Zanzibar, ikiwaleta pamoja wawekezaji, wafanyabiashara...

READ MORE

Nyumba ya Mwisho ya Michael Jackson Yauzwa Kwa Bilioni 47 za Tanzania

Nyumba ya kifahari iliyoko Holmby Hills, Los Angeles, inayohusishwa na aliyekuwa msanii nguli wa muziki duniani Michael Jackson, imeingia tena...

READ MORE

Mwigulu: Serikali Itaendelea Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kutekeleza mageuzi ya sera, sheria, kanuni na mifumo ya utoaji huduma ili...

READ MORE

Sultan wa Brunei Aongoza kwa Kumiliki Mkusanyiko Mkubwa wa Magari Duniani

Sultan wa Brunei, Hassanal Bolkiah anaaminika kumiliki mkusanyiko mkubwa zaidi wa magari binafsi duniani, ukiwa na takribani magari 7,000 yenye...

READ MORE

Kwa Nini Kula Karoti ni Muhimu kwa Afya ya Macho

Karoti zinajulikana sana kwa maudhui yake ya juu ya vitamini A, virutubisho muhimu kwa afya ya macho. Vitamini A ni...

READ MORE

TAKUKURU Ruvuma Yafanya Tathmini ya Miradi 290, Kesi 20 za Rushwa Zafunguliwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Ruvuma, TAKUKURU, imefanya kikao cha tathmini ya utekelezaji wa majukumu yake...

READ MORE

Rais Samia Apokea Gawio la Trilioni 1.327, Apongeza Ongezeko la Asilimia 30 (Picha +Video)

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameyataka mashirika na taasisi za umma kuweka mikakati madhubuti ya kujiendesha kwa ufanisi na kupunguza...

READ MORE

Katibu Mkuu wa CHAUMMA Akubali Kuchunguzwa, Ajiondoa Ofisini Kwa Hiari

Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim, ametangaza kujiondoa kwa muda katika majukumu yake ya ofisi...

READ MORE

Mtanzania Asimulia Mateso Anayopitia India “Niliahidiwa Kazi ya Hoteli” – Video

Rhoda Chacha Mwita, Mtanzania aliyesafiri kwenda India mwaka 2017 baada ya kuahidiwa kazi ya hoteli iliyodaiwa kubadili maisha yake, amesema...

READ MORE

Shigongo: Serikali Iendelee Kufungua Fursa za Kiuchumi kwa Vijana – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amesema ataendelea kuishauri na kuibana Serikali kuhakikisha inaweka mazingira bora yatakayowawezesha vijana wa...

READ MORE

Serikali Yakusanya Shilingi Trilioni 1.32 Kutoka Taasisi Zake

Serikali imekusanya jumla ya Sh1.32 trilioni hadi Juni 29, mwaka huu, ikiwa ni gawio na michango mingine kutoka mashirika na...

READ MORE

TIPER Yaweka Rekodi Mpya, Yampa Rais Samia Gawio la Bilioni 15

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amepokea gawio la Shilingi bilioni 15 kutoka Kampuni ya...

READ MORE

Fahamu Teknolojia Mpya Ndani ya Toyota Crown 2026

Katika ulimwengu wa magari ya kisasa, majina machache tu yana historia ndefu kama Toyota Crown. Kizazi kipya cha mwaka 2026...

READ MORE

Mambo 10 Yaliyotikisa Tuzo za BET 2026, Cardi B, Janet Jackson na Doechii Watawala

Sherehe za BET Awards 2026 hazikuwa tu kuhusu washindi, bali pia zilijaa burudani, hisia, vichekesho na matukio ya kushangaza yaliyoacha...

READ MORE

Rais Samia Aitunuku NMB Kwa Mchango Mkubwa wa Gawio Serikalini

BENKI ya NMB imetunukiwa tuzo ya mchangiaji bora wa gawio baada ya kuikabidhi Serikali Sh96.9 bilioni, ikiwa ni utambuzi wa...

READ MORE

Watoto 4,200 Waishio Mitaani Kuunganishwa na Familia Zao Nchini

Zaidi ya watoto 4,200 wanaoishi na kufanya kazi mitaani katika mikoa mitano nchini, ikiwemo Pwani na Arusha, wanatarajiwa kuondolewa mitaani...

READ MORE

Meneja wa Zamani wa TRA Kigoma Ahukumiwa Miaka 20 Jela Kwa Kukutwa na Meno ya Tembo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemhukumu kifungo cha miaka 20 gerezani aliyekuwa Meneja wa TRA Wilaya ya Kibondo...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...

READ MORE

IGP Wambura Amhamisha ACP Twaha Lulengelule Kuwa RPC Tabora

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, amemhamisha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Twaha Juma Lulengelule na kumteua...

READ MORE

Miaka 10 ya Utumishi, Askari wa Depo J.1 Wagusa Maisha ya Wazazi na Watoto Songwe

Askari wa Depo ya mwaka 2015/2016, maarufu kama J.1, wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe wameadhimisha miaka 10 ya...

READ MORE

Cardi B Aacha Historia BET 2026, Afanya Shoo Ya Kibabe Jukwaani

Rapa nyota wa Marekani, Cardi B, amevutia dunia baada ya kutoa onyesho kali katika Tuzo za BET  2026, akitumbuiza nyimbo...

READ MORE

Congo DR Yapiga Marufuku Mikusanyiko Kisa Ebola

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza marufuku ya mikusanyiko ya umma katika majimbo manne yaliyotajwa kuwa katika hatari kubwa ya...

READ MORE

Marekani na Iran Wakubaliana Kusitisha Mashambulizi, Kufanya Mazungumzo Qatar Kuhusu Hormuz

MAREKANI na Iran wamekubaliana kusitisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya kila upande, hatua inayolenga kupunguza mvutano uliokuwa ukitishia usalama wa...

READ MORE

Fahamu Maajabu Ya Parachichi Kuanzia Majani Hadi Mbegu Zake

PARACHICHI ni miongoni mwa matunda yenye ladha nzuri na ni maarufu hapa Tanzania. Kutokana na utamu na wingi wake wa...

READ MORE

Druski, Olandria, Doechii Waongoza Listi ya Waliovalia Vizuri BET 2026

LOS ANGELES, Marekani – Zulia jekundu la BET Awards 2026 limekuwa kivutio kikubwa baada ya mastaa mbalimbali wa muziki, filamu...

READ MORE