×

Habari

Wahukumiwa Kwenda Jela Kwa Kuuza Chipsi na Baga Bila Kutoa Risiti za EFD – Video

Raia wa China Xu Fuyu mwenye umri wa miaka 39 na mfanyakazi wake wa mgahawa wa Kibonge uliopo Kariakoo Dar...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kikao cha CCM Shina Namba 1 Chamwino – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa Mtwara Ahimiza Wakulima Kuchangamkia Fursa ya Upatikanaji wa Mikopo

Benki ya Ushirika Tanzania, Coop Bank Tanzania, imefanya uzinduzi rasmi wa tawi lake jipya mkoani Mtwara, ikiwa ni hatua muhimu...

READ MORE

Lulu Diva na D Voice Waweka Wazi Penzi Lao Hadharani, Watangaza Mpango wa Ndoa

Msanii wa muziki na filamu Bongo, Lulu Diva, usiku wa kuamkia leo Mei 8, 2026 ameibua gumzo kubwa mitandaoni baada...

READ MORE

Iran na Marekani Zarushiana Makombora Hormuz, Trump Afunguka Mapya – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump leo Mei 8, 2026 amesema kuwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran...

READ MORE

Ali Kamwe Afunguka Sababu ya Yanga Kumfuta Kazi Kocha Pedro Goncalves

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe, amesema sababu kubwa ya uongozi wa klabu hiyo kuachana na Kocha, Pedro Goncalves ni...

READ MORE

Mchumba wa Ashlee Aandamwa na Vitisho Baada ya Kifo cha Mpenzi Wake

Mshawishi maarufu wa mtandaoni Ashly Robinson maarufu kama Ashlee Jenae, aliyefariki ghafla akiwa safarini nchini Tanzania, Aprili 9, 2026 katika...

READ MORE

Mchezo Mpya wa Kasi na Ushindi Mkubwa Meridianbet

Kama umechoka na michezo ile ile kila siku, Wild White Whale ya Meridianbet inaleta nguvu mpya kabisa. Hapa ni mwendo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 8, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Video: Polisi Yachunguza Tukio La Dereva Aliye Mtelekeza Majeruhi Njiani

Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayoeleza kuwa gari inayodhaniwa...

READ MORE

Nani Atatinga Fainali Europa? Villa vs Forest, Freiburg vs Braga Leo

Europa League kule Ulaya inazidi kunoga ambapo mechi za mkondo wa kwanza zilimazika vyema, huku sasa ni mechi za mkondo...

READ MORE

Mwili wa James Temba Wasili Moshi kwa Maziko Baada ya Mauaji ya Kikatili – Video

Mwili wa marehemu James Temba umefika leo Alhamisi Mei 7, 2026 katika Kijiji cha Mande, Kata ya Old Moshi Magharibi,...

READ MORE

Video: Karen Aliyetoweka Arusha Adaiwa Kutuma Fedha Kutoka Nje ya Nchi, Dada Yake Afunguka – Video

Wasiwasi umeendelea kutanda jijini Arusha kufuatia kupotea kwa wasichana wawili, Karen Mark Didas (23) na Nakivona Toroka (22), ambao hawajaonekana...

READ MORE

Trump Atoa Onyo Kali kwa Iran Kukubali Masharti, Atishia Mashambulizi Makubwa Zaidi

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa operesheni ya kijeshi ya Marekani ijulikanayo kama “Operation Epic Fury” itafikia mwisho, huku...

READ MORE

Maelfu ya Followers Watoweka Instagram, Hiki Ndicho Kinachoendelea

Watumiaji wengi wa Instagram duniani wameamka na kushuhudia idadi ya followers kwenye akaunti zao ikipungua ghafla, jambo lililosababisha mjadala mkubwa...

READ MORE

Hofu Ya Vita Yakwamisha Meli 1,600 Karibu na Strait of Hormuz

Zaidi ya meli 1,600 zimeendelea kusalia karibu na mlango wa bahari wa Strait of Hormuz huku hali ya usalama ikizidi...

READ MORE

Exim Tanzania Yaimarisha Huduma za Afya Geita Kupitia Mpango wa Exim Cares

Geita, Tanzania – 6 Mei 2026: Benki ya Exim Tanzania, kupitia mpango wake wa uwajibikaji kwa jamii (CSR) unaojulikana kama...

READ MORE

Mchumba wa Cristiano Ronaldo Atikisa Met Gala 2026 kwa Muonekano wa Kipekee

Mchumba wa nyota wa soka Cristiano Ronaldo, Georgina Rodriguez, ameonekana kung’ara kwenye hafla maarufu ya Met Gala 2026 iliyofanyika usiku...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 7, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Yanga Waachana na Kocha Pedro Gonçalves, Moalin na Mabedi Kuchukua Majukumu

Klabu ya Yanga imetangaza kuachana rasmi na kocha wake mkuu Pedro Gonçalves kwa makubaliano ya pande zote mbili. Taarifa hiyo inaeleza...

READ MORE

Albert Chalamila Amaliza Mgogoro wa Nyumba Mikocheni, Amtaka Bi Everlin Chiomba Kuondoka – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amehitimisha mgogoro wa nyumba uliopo eneo la Mikocheni, kiwanja namba 317...

READ MORE

Polisi Arusha Waanza Uchunguzi wa Kupotea kwa Wasichana Wawili

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linaendelea kufanya uchunguzi wa kina ikiwa ni pamoja na kuwahoji watu mbalimbali kuhusiana...

READ MORE

Polisi Wakamata Watuhumiwa 4 Mauaji ya Mwanafunzi wa IFM Aliyekatwa Kichwa – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha Dkt. Evaline Munisi Kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Evaline Wilbard Munisi kuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya...

READ MORE

Mtanzania Macha Mongu Afariki Hormuz Baada ya Meli Kushambuliwa, TASAC Yathibitisha

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC limethibitisha kifo cha baharia raia wa Tanzania, Macha Maregesi Mongu, baada ya meli...

READ MORE

Trump Asitisha “Project Freedom” Katika Mlango Bahari wa Hormuz, Atoa Nafasi ya Mazungumzo – Video

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kusitisha operesheni ya kijeshi ya Marekani ya kusindikiza meli katika Mlango Bahari wa Hormuz,...

READ MORE

Usiku wa Maamuzi, Nani kwenda Fainali UCL Leo Bayern Munich vs Paris Saint-Germain

Mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League kati ya Bayern Munich na Paris Saint-Germain unaingia...

READ MORE

Yas Yazindua Applikesheni Mpya Kwa Wateja Wake Kuwezesha Maisha Kidijitali

Dar es Salaam – Yas Tanzania imezindua rasmi applikesheni mpya ya “Yas App”, yenye lengo ya kubadilisha namna wateja wanavyopata...

READ MORE

Mchumba wa Ashlee Jenae Avunja Ukimya kwa Mara ya Kwanza, Atoa Pole Kwa Familia

Mshawishi maarufu wa mtandaoni Ashly Robinson, maarufu kama Ashlee Jenae, aliyefariki ghafla akiwa safarini nchini Tanzania, Aprili 9, 2026 katika...

READ MORE

Bei ya Mafuta Yapanda Dar Petroli Lita 4115 Mwanza na Kigoma 4300

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta zilizoanza kutumika leo Mei 6,...

READ MORE

Arsenal Watinga Fainali ya UCL kwa Mara ya Pili Baada ya Kuiondoa Atletico Madrid

Klabu ya Arsenal imeandika historia mpya baada ya kutinga fainali ya UEFA Champions League kwa mara ya pili, kufuatia ushindi...

READ MORE

Benki ya KCB Kuimarisha Ajenda ya Muunganiko wa Kibiashara Kati ya Tanzania na Kenya

DAR ES SALAAM, Tanzania – 4 Mei 2026. Kama kinara wa huduma za kifedha Afrika Mashariki, Benki ya KCB imejipanga...

READ MORE

Marekani Yakanusha Madai ya Dolphin wa Kujitoa Muhanga wa Iran

Washington, Marekani – Kauli tata kuhusu madai ya matumizi ya Dolphin wa kujitoa muhanga katika shughuli za kijeshi za Iran...

READ MORE

Terrano Yarudi na Muonekano wa Kisasa na Uimara Mkubwa

Nissan imerejesha jina maarufu la Nissan Terrano kwa kuzindua concept ya SUV mpya ya plug-in hybrid, inayolenga kushindana na magari...

READ MORE

Wajane Kigoma Wanufaika na Mizinga ya Nyuki Kutoka Lalji Foundation

Uongozi wa taasisi ya Lalji Foundation ukiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Chama cha Wanawake Wajane Tanzania (CCWWT)...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 6, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Mwili wa James Temba Kusafirishwa Kwenda Moshi kwa Mazishi – Video

 Baba wa kijana James Temba ambaye inadaiwa aliuawa kisha mwili wake kukatwa kichwa, amesema mwili wa marehemu mwanaye utasafirishwa...

READ MORE

Hotuba ya Ruto Yazua Gumzo: Atoa Ujumbe Mzito kwa Watanzania na Wakenya – Video

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema kuwa wananchi wa Kenya na Tanzania si maadui, bali wanakabiliwa na changamoto zinazofanana ambazo...

READ MORE

Iran Yashutumiwa Kuvunja Ceasefire, Marekani Yatoa Onyo

Maafisa wa kijeshi wa Marekani wamesema kuwa Iran imefanya mashambulizi zaidi ya mara 10 dhidi ya vikosi vya Marekani tangu...

READ MORE

Siri Nzito Arusha: Wasichana Wawili Wapotea Kwa Zaidi ya Mwaka – Video

Wasiwasi umeendelea kuongezeka kufuatia kupotea kwa wasichana wawili wa jijini Arusha, Karen Mark Didas (23) na Nakivona Toroka (22), ambao...

READ MORE