×

Habari

Trump na Xi Watoa Kauli Nzito Kuhusu Iran na Strait of Hormuz

Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa China Xi Jinping wamekubaliana kwamba njia muhimu ya mafuta duniani ya Strait...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 15, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Trump Kuweka Historia kwa Saini Yake Kuwekwa Kwenye Dola za Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kuwa rais wa kwanza aliyepo madarakani kuweka saini yake kwenye noti za dola za...

READ MORE

AFCON 2027: Sasa Ni Kasi Tu! RC Chalamila Atoa Maelekezo Mazito Kinondoni – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa viwanja vya farasi na leaders...

READ MORE

TPLB Yamteua Yahaya Abushehe Kuwa Kaimu Ofisa Habari Mpya

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kumteua Yahaya Abushehe kuwa Kaimu Ofisa Habari wa TPLB akichukua nafasi ya Karim...

READ MORE

Video: Simanzi Yatanda Baada ya Mwili wa Mollel Kukutwa Muriet, Arusha

Simanzi imetanda katika familia ya mfanyabiashara Sifaeli Mollel baada ya mwili wake kukutwa ukiwa umeharibika ndani ya nyumba inayodaiwa kutumiwa...

READ MORE

Msajili wa Vyama Akosolewa Kwa Msimamo Dhidi ya Upinzani

Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameikosoa vikali Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kufuatia taarifa...

READ MORE

Rais Xi Jinping Amuonya Trump Kuhusu Hatari ya Vita Kati ya Marekani na China – Video

Rais wa China Xi Jinping amemkaribisha Rais wa Marekani Donald Trump katika mazungumzo muhimu yaliyofanyika Beijing, huku akitoa onyo kali...

READ MORE

Polisi Wamkamata Mganga Baada ya Kupatikana Kichwa cha James Temba – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupatikana kwa kichwa cha marehemu James Temba, mwanafunzi wa Chuo...

READ MORE

Stanbic Bank Yakabidhi Vifaa Tiba Vyenye Thamani ya Milioni 18 Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amepokea sehemu ya vifaa tiba vilivyotolewa na Stanbic Bank Tanzania kupitia Meneja wa...

READ MORE

Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kwenye Gari Lako Kila Asubuhi

Kabla ya kuanza safari asubuhi, ni muhimu kuhakikisha gari lako lipo katika hali salama na linalofanya kazi ipasavyo. Ukaguzi huu...

READ MORE

Rais wa China Xi: China na Marekani Zinapaswa Kuwa Washirika, Siyo Maadui

Rais wa China, Xi Jinping, ametoa wito kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, kushirikiana katika kujenga mustakabali bora wa mahusiano...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Ujumbe wa Africa CDC Ikulu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha...

READ MORE

Kichwa cha Marehemu James Temba Chapatikana Kitunda Kibeberu Ilala, Dar – Video

Kichwa cha marehemu James Temba ambaye alifariki kwa mazingira ya kutatanisha na kukuza simanzi kwa familia na jamii, kimepatikana siku...

READ MORE

Trump Atembelea China Baada ya Miaka 9, Aandika Historia Mpya – Picha

Rais wa Marekani, Donald Trump, amewasili mjini Beijing nchini China kwa ziara ya kihistoria ya siku mbili inayotarajiwa kufanyika Mei...

READ MORE

Pass Trust Strengthens Sustainability Agenda Through School-Based Tree Planting Initiative

PASS Trust has reaffirmed its commitment to environmental sustainability and youth awareness through a tree planting initiative held at Kisarawe...

READ MORE

Mwigizaji Maarufu wa Nigeria Alexx Ekubo Afariki, Mashabiki Wamlilia

Taarifa zinazosambaa mtandaoni zinadai kuwa mwigizaji maarufu wa Nigeria Alexx Ekubo amefariki akiwa na umri wa miaka 40, hali ambayo...

READ MORE

Airtel Yazindua Mnara wa 4G Mungushi, Wilaya ya Hai Yapata Afueni ya Mawasiliano

Wakazi wa Kijiji cha Mungushi, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, sasa wameondokana na changamoto za muda mrefu za mawasiliano baada...

READ MORE

Trump Aondoka na Mabosi 17 wa Kampuni Kubwa za Marekani Kuelekea China

 Rais wa Marekani Donald Trump ameambatana na viongozi wakuu wa kampuni kubwa duniani katika ziara yake rasmi nchini China...

READ MORE

Video: Iran Yatishia Kuongeza Kiwango cha Nyuklia Iwapo Itashambuliwa Tena

Tehran — Iran imetoa onyo kali ikisema inaweza kuongeza kiwango cha urutubishaji wa urani hadi asilimia 90 iwapo itashambuliwa tena,...

READ MORE

Airtel Yazindua Mnara wa 4G Kayenze Kuboresha Mawasiliano

Airtel Tanzania imezindua mnara mpya wa mawasiliano wenye kasi ya 4G katika kata ya Kayenze, hatua inayolenga kuimarisha ubora wa...

READ MORE

Mahakama Yampa Kim Kardashian Ushindi Dhidi ya Mlalamikaji

Nyota wa televisheni na mfanyabiashara maarufu duniani, Kim Kardashian, ameshinda kesi mahakamani na kupewa fidia ya zaidi ya dola 167,000...

READ MORE

Fahamu Gari la Kifahari Lenye Uwezo Mkubwa wa Barabarani Chaguo kwa Familia

BMW X5 xDrive40i ni gari jipya la mwaka 2026 kutoka kampuni ya BMW, likiwa miongoni mwa SUV za kifahari zinazotegemewa...

READ MORE

Trump Azua Gumzo Baada ya Kuchapisha Picha za AI Zenye Utata

Donald Trump ameibua mjadala mtandaoni baada ya kushirikisha picha kadhaa zilizotengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde (AI), ikiwemo moja inayomuonyesha...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 13, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

PPP na Siku ya Wauguzi Duniani: Afya Bora ni Msingi wa Uchumi Imara

Ubora wa rasilima watu( Afya na Maarifa) ndio sarafu ya dunia kwa sasa na hivyo kete muhimu kwa Tanzania kujiunga...

READ MORE

Rais Samia Arejea Nchini Kutoka Uganda Baada ya Kuhudhuria Uapisho wa Museveni

Rais Samia Samia Suluhu Hassan Mei 12, 2026 amerejea nchini Tanzania akitokea Uganda baada ya kuhudhuria sherehe za uapisho wa...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Nchemba Ashiriki Mkutano wa Afrika na Ufaransa Nairobi

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Mei 12, 2026 ameshiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na...

READ MORE

Rais Samia Ahudhuria Sherehe za Kuapishwa kwa Museveni Uganda (Picha +Video)

Rais Samia Suluhu Hassan, ameshiriki sherehe za uapisho wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, uliofanyika leo, Mei 12, 2026 jijini...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Awakilisha Tanzania Mkutano wa Afrika na Ufaransa Nairobi

Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 12, 2026 amemuwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano...

READ MORE

Samia Alivyowasili Uganda Kuhudhuria Uapisho wa Yoweri Kaguta Museveni

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 12 Mei 2026 amewasili katika Entebbe International Airport nchini Uganda kwa ajili...

READ MORE

Tuzo za Vinywaji ‘Best Brand Beverage’ 2026 Kufanyika Juni 28 Mlimani City, Dar

Taasisi ya Best Brand Africa kwa kushirikiana na Standout Marketing Ltd (EA) imetangaza rasmi kufanyika kwa tuzo za BEST BRAND...

READ MORE

Trump Afikiria Kuifanya Venezuela Kuwa Jimbo la 51 la Marekani

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa anafikiria uwezekano wa kuifanya Venezuela kuwa jimbo la 51 la Marekani, hatua ambayo...

READ MORE

Polisi Wachunguza Kifo cha Mwanamke Aliyekutwa Majini Daraja la Salender – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limepokea taarifa ya kifo cha mwanamke ambaye mwili wake ulikutwa majini katika...

READ MORE

Wataalamu Watuliza Hofu Kuhusu Maambukizi ya Hantavirus

Wataalamu wa afya duniani wamesema hakuna sababu kubwa ya tahadhari kupita kiasi kuhusu mlipuko wa Hantavirus ulioripotiwa kuhusishwa na meli...

READ MORE

Rais Samia Kuelekea Uganda Kuhudhuria Uapisho wa Museveni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Mei 12, 2026, anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Kampala,...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Apongeza Maendeleo ya Huduma za Afya Nchini – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameipongeza Serikali akisema kuwa sekta ya afya nchini imepiga hatua kubwa tangu Tanzania ipate uhuru....

READ MORE

Waziri Masauni Asisitiza Matumizi Nishati Safi Kupikia

RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha siku ya mazingira duniani yatakayofanyika Juni 5 katika ukumbi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 12, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Kutoka Tanzania Hadi Cambridge: Ruth Zaipuna Kuinadi NMB Kimataifa Nchini Uingereza

Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Bank Plc, Ruth Zaipuna, anatarajiwa kuiwakilisha Tanzania na sekta ya benki ya...

READ MORE