×

Habari

Rais wa Shirikisho la Soka Saudi Arabia Ajiuzulu Kisa Kombe la Dunia

Rais wa Shirikisho la Soka la Saudi Arabia, Yasser Al Mashal, amejiuzulu kufuatia kutolewa kwa timu ya taifa ya nchi...

READ MORE

Spika wa Bunge la Lebanon Akataa Mkataba wa Amani na Israel Hautapitishwa

BEIRUT – Spika wa Bunge la Lebanon na mshirika wa Hezbollah, Nabih Berri, amesema makubaliano ya mfumo wa pande tatu...

READ MORE

Meridianbet Yaboresha Uzoefu wa Ubashiri kwa Bet Boost

Kwenye harakati za utafutaji, kila mbinu ya kuongeza nafasi ya ushindi ni muhimu. Meridianbet inaleta mapinduzi kwa wateja wake kupitia...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 29, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Maajabu ya Mmea wa Rosemary Kiafya Ambayo Wengi Hawayajui

Mmea wa Rosemary, unaojulikana kitaalamu kama Salvia rosmarinus, umetajwa kuwa miongoni mwa mimea inayotumika sana katika lishe na tiba asili...

READ MORE

Australia Yakazia Amri ya Kupiga Marufuku Watoto Kutumia Mitandao ya Kijamii

Serikali ya Australia imetangaza kuongeza mara mbili kiwango cha juu cha faini kwa kampuni za mitandao ya kijamii zitakazokiuka sheria...

READ MORE

Njia za Kupitisha Misaada ya Kibinadamu Katika Mji wa El Obeid, Sudan Zaanza Kufunguliwa

Baraza la Mawaziri la Serikali ya Amani linafuatilia kwa karibu majadiliano yanayoendelea na washirika wa jumuiya ya kimataifa kuhusu ulinzi...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yadhihirisha Dhamira ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi za Wateja

Kampuni ya Vodacom Tanzania imeendelea kuonesha dhamira yake ya kulinda taarifa binafsi za wateja kwa kushiriki katika Mkutano wa Kwanza...

READ MORE

Mwigulu: Hatupaswi Kupuuzia Viashiria vya Uvunjifu wa Amani

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania waendelee kuhimizana kuhusu ulinzi wa Taifa na kamwe wasipuuze viashiria vya uvunjifu wa...

READ MORE

Meridianbet Bonanza Inakupandisha Thamani Kwa Dau Dogo

Sasa una uhakika wa kupata msisimko wa kasino bila ya kutoka nyumbani. Vilevile, hivi sasa unapata mchezo unaokupa pesa huku...

READ MORE

Trump Atoa Onyo Kali kwa Iran; Tutamaliza Kazi na Iran Haitakuwepo Tena

Rais wa Marekani, Donald Trump, amethibitisha kuwa jeshi la Marekani limefanya mashambulizi mapya dhidi ya maeneo ya kijeshi ya Iran,...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Dangote Ikulu, Wafanya Mazungumzo ya Pamoja

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Juni 28, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo...

READ MORE

ICEA LION Yamtawaza “Mfalme wa Uwanja wa Gofu” katika Maadhimisho ya Siku ya Bima

Arusha, Tanzania – Juni 27, 2026: Maadhimisho ya Siku ya Bima yamehitimishwa kwa mafanikio kupitia mashindano ya gofu ya ICEA...

READ MORE

Buchosa Yashika Nafasi ya Kwanza Mkoa wa Mwanza, Yapongezwa na Halmashauri Kuu

Jimbo la Buchosa limeshika nafasi ya kwanza kati ya majimbo ya Mkoa wa Mwanza katika matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa...

READ MORE

Mashujaa Wasiotarajiwa: Afrika Kusini Kukabiliana na Canada

Afrika Kusini walianza Kombe hili wakitazamiwa kuwa chini kabisa katika Kundi A, lakini wamevunja matarajio yote kwa kufuzu kwa mara...

READ MORE

Marekani Yaishambulia Tena Iran Kwa Makombora, Tehran Yajibu Mapigo

Jeshi la Marekani limetangaza kuwa limefanya mashambulizi mengine ya anga dhidi ya malengo kadhaa nchini Iran kwa maelekezo ya Rais...

READ MORE

Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unaponunua Matairi ya Gari Lako

Matairi ni sehemu muhimu sana ya gari kwani ndiyo yanayogusa barabara moja kwa moja na kuathiri usalama, uimara na matumizi...

READ MORE

Muhoozi Aagiza Kufungwa kwa NTV Uganda na Daily Monitor

Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuwa kituo cha televisheni cha NTV Uganda na gazeti la Daily...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Asema Serikali Itahakikisha Inatekelezaji Miradi Ya Maendeleo

  WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo iliyoahidiwa katika Mkoa wa Singida, ikiwemo barabara,...

READ MORE

Kutoka Giza la Changamoto Hadi Mwanga wa Matumaini, Safari ya Huduma za Afya Kiru Six – Video

Babati, Manyara – Kwa miaka mingi wananchi wa Kijiji cha Kiru Six, Kata ya Kiru, Wilaya ya Babati mkoani Manyara...

READ MORE

TANGAUWASA Yatangaza Nafasi 5 za Kazi, Mwisho wa Maombi Juni 30, 2026

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), kwa niaba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Tanga...

READ MORE

Kadi Mpya ya Nmb Yafungua Fursa za Mitaji kwa Wafanyabiashara

Wafanyabiashara wadogo na wa kati nchini wamepata fursa mpya ya kuongeza mtaji na kufanya malipo ya ndani na kimataifa, baada...

READ MORE

Cheza Michezo ya Expanse, Shinda Kitita cha Kiasi Kubwa

Shindano la Expanse VIP linazidi kutoa matajiri kibao kila siku, Meridianbet wameongeza mzuka kwa wapenzi wa kasino ya mtandaoni ambapo...

READ MORE

Video: Aliyedaiwa Kulima Ekari 2 za Bangi na Mwenzake Wafikishwa Mahakamani

Watu wawili, Madumuka Zilihona (60) na Mawazo Manisha (50), wakazi wa Kijiji cha Busekeseke wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza, wamefikishwa...

READ MORE

Kwa Taarifa Zaidi Ingia Meridianbet Sport Portal

Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu...

READ MORE

Timu Zilizofuzu Kuingia Hatua ya 32 Bora Kombe la Dunia Mpaka Sasa

Baada ya mechi za Kundi G kukamilika asubuhi ya leo, huku makundi A hadi I yakihitimisha ratiba zao, jumla ya...

READ MORE

VIDEO: Marehemu Kamanda Abwao Alivyozikwa Kijeshi Kijijini Kwao

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Marehemu Richard Abwao amezikwa katika mazishi yaliyofanyika jana, June 27, 2026 kijijini kwao,...

READ MORE

Q Chief Afunga Ndoa, Mke Afunguka Jinsi Walivyokutana Kwa Mara ya Kwanza

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Aboubakar Katwila almaarufu Q Chief, jana alifunga ndoa, shughuli iliyofanyika Mwanagati, Kitunda jijini Dar es...

READ MORE

Mke wa Rais Korea Kusini Atupwa Jela Miaka 7 Kwa Makosa ya Rushwa

Mahakama ya Wilaya ya Seoul Nchini Korea Kusini imemhukumu Kim Keon Hee, Mke wa Rais wa zamani Yoon Suk Yeol,...

READ MORE

Vozinha Awa Gumzo Cape Verde Ikifuzu Hatua ya 32 Bora World Cup

Kipa mkongwe wa Cape Verde, Vozinha, ameendelea kuandika historia katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kuiongoza timu yake kutinga...

READ MORE

Ushirikiano wa UNCDF na NMB Wafungua Fursa Mpya Kwa Kampuni Changa za Kidijitali

Afisa Mkuu wa Teknolojia na Mabadiliko ya Kidijitali wa Benki ya NMB, Kwame Makundi (aliyeketi kushoto), na Katibu Mtendaji wa...

READ MORE

Upendo Unaogusa Maisha, Meridianbet Yaendelea Kuigusa Jamii Buguruni

Kuna nyakati ambapo msaada mdogo unaweza kubadilisha kabisa siku ya mtu na hata kurejesha matumaini yaliyokuwa yamepotea. Hilo ndilo lililoshuhudiwa...

READ MORE

Waziri Ahutubia Mkutano wa Umoja wa Ulaya Akiwa Amembeba Mtoto

Waziri wa Mazingira wa Sweden, Romina Pourmokhtari, amevutia hisia za wengi baada ya kuhudhuria mkutano wa Mawaziri wa Umoja wa...

READ MORE

Norway dhidi ya Ufaransa Mechi ya Kuamua Mbabe wa Kundi

Norway na Ufaransa zimekwishafuzu kwa hatua ya 32 Bora baada ya kushinda mechi zao mbili za awali. Hata hivyo, mechi...

READ MORE

Video ya Polisi Wakimkamata Mlemavu kwa Nguvu Yawakasirisha Wakenya

Wakenya wameeleza kutoridhishwa na kukasirishwa baada ya video kusambaa ikionyesha maafisa wa polisi wakimkamata kwa nguvu mwanamume mwenye ulemavu wakati...

READ MORE

Waziri Katambi Apiga Marufuku Mikutano ya Vyama vya Siasa, Tishio la Maandamano

Dodoma – Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametangaza marufuku ya mikutano yote ya vyama vya siasa...

READ MORE

Iran Yashutumiwa Kushambulia Meli Mlango wa Hormuz Baada ya Kutoa Onyo

Iran yashutumiwa kufanya shambulio dhidi ya meli ya mizigo iliyokuwa ikipeperusha bendera ya Singapore katika Mlango wa Hormuz, saa chache...

READ MORE

Nani Kuibuka Kidedea Leo Kati ya Haaland na Mbape?

Macho ya mashabiki wa soka duniani yataelekezwa mjini Boston, Marekani, Ijumaa hii wakati Ufaransa itakapomenyana na Norway katika mechi kubwa...

READ MORE

Idadi ya Waliofariki kwa Matetemeko Venezuela Yafikia Watu 235

Waokoaji wanapekua vifusi watafuta walionusurika matetemeko mawili makubwa ya ardhi yaliyokumba maeneo ya karibu na mji mkuu wa Venezuela na...

READ MORE

Iran Yapinga Madai ya Marekani Kuhusu Matumizi ya Mali Zilizofunguliwa

DUBAI — Mkuu wa timu ya mazungumzo ya Iran, Mohammad Baqer Ghalibaf, amekanusha madai ya Marekani kwamba fedha na mali...

READ MORE