×

Habari

Rais wa Iran Ebrahim Raisi Afariki Dunia Katika Ajali ya Helikopta

Rais wa Iran Ebrahim Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian na wengine kadhaa wamethibitishwa kufariki dunia katika ajali...

READ MORE

Mtu mmoja afariki dunia katika ajali ya msafara wa rais Ghana

Mtu mmoja amethibitishwa kufariki huku wengine wakipata majeraha tofauti tofauti kufuatia ajali iliyohusisha magari kadhaa ya msafara wa Rais Nana...

READ MORE

CCM Yamteua Suzan Kunambi, Kuwa Katibu Mkuu Wa Jumuiya Ya Wanawake (UWT)

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imempitisha Khamis Yussuf Mussa (Pele) kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mdogo...

READ MORE

Tanzania Yang’ara Ajenda Ya Maji Kwa Ustawi Wa Wote, Aweso Atoa Kauli

  Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amemuwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Helikopta Iliyombeba Rais wa Iran Yapata Ajali, Juhudi za Kuitafuta Zapamba Moto

Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi imeripotiwa kupata ajali leo Jumapili, Mei 19, 2024 Mashariki mwa Azerbaijan. Shirika...

READ MORE

Mashindano ya CAF African Schools Football Championship Kutimua Vumbi Zanzibar

Msimu wa pili wa fainali za mashindano makubwa zaidi ya mpira wa miguu kwa wanafunzi Africa, CAF African Schools Football...

READ MORE

Dkt. Mwinyi Aongoza Kikao Cha Kamati ya CCM Zanzibar

Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum...

READ MORE

Mshindi wa Tuzo ya Nobel aliye gerezani Iran akabiliwa na kesi mpya

Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel wa Iran aliyefungwa gerezani, Narges Mohammadi, anakabiliwa na kesi mpya kuhusu tuhuma alizotoa...

READ MORE

Serikali Kuongeza Shule Za Sekondari Kidato Cha Tano Na Sita

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu, Zainabu Katimba (Mb) Serikali imefanya jitihada...

READ MORE

RC Makonda Aagiza Takukuru Kufanya Uchunguzi Tuhuma Za Rushwa Kwa Watumishi Wa Jiji La Arusha – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa TAKUKURU Mkoa wa Arusha...

READ MORE

Kamati 115 Zaundwa Kufuatilia Ukatili Wa Kijinsia

Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imeunda kamati maalumu 115 za kufuatilia kwa karibu viashiria na kukomesha matukio ya ukatili...

READ MORE

Msaada wa Vyakula Watolewa na Meridianbet Chamazi

Jumamosi ya leo Meridianbet wametua pale Chamazi Magengeni kwaajili ya kutoa msaada wa vyakula kwa wakazi wa hapo hasa kwa...

READ MORE

Watu 9 wafariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutumbukia mtoni Kenya

WATU tisa wamethibitishwa kufariki baada ya basi walimokuwa wakisafiria kutumbukia kwenye mto Mbagathi uliopo jijini Nairobi, vimeripoti vyombo vya habari...

READ MORE

Mnadhimu Mkuu Wa JWTZ Amkabidhi Zawadi Rais Wa Baraza La Michezo Ya Majeshi Duniani

Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Salum Haji Othman amemkabidhi zawadi Rais wa...

READ MORE

Mshindi Parimatch Kitaa Cup 2024 Kupata Zawadi Nono

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya Parimatch imezindua  michuano maalum ijulikanayo kwa jina la Parimatch Kitaa Cup 2024 yenye lengo...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Pugu Marathon

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 18, 2024 ameshiriki kwenye Mbio za Hisani za Pugu (Pugu Marathon) za kuchangia Uendelezaji...

READ MORE

Mamia Wafunguliwa Kimiujiza Kwa Kiboko Ya Wachawi, Simu Zajaa Miamala Ghafla, Wengine Waitwa Kazini

Amini usiamini ushirikina upo na uchawi upo na binaadamu tunafungana saana kiuchawi. Umati mkubwa wa waumini uliofurika kanisani kwa Kiboko...

READ MORE

NMB ‘Yafunga Ndoa’ Na Wanawake Wanaomiliki Shule, Vyuo Tanzania

BENKI ya NMB imeingia makubaliano rasmi (MoU) na Chama cha Wanawake Wamiliki wa Shule na Vyuo Tanzania (TAWOSCO), yaliyosainiwa sambamba...

READ MORE

Jenerali Mahamat Idriss Deby ameshinda uchaguzi wa rais nchini Chad

Baraza la Katiba lililotangaza ushindi huo pia lilikataa ombi lililotolewa na Waziri Mkuu Succes Masra la kutaka kufutwa matokeo hayo....

READ MORE

NBC Yazindua Bima ya Afya kwa Wakulima, Yatambulisha Kampeni ya Kuhamasisha Kilimo cha Ufuta Lindi na Mtwara

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Assemble Insurance imezindua huduma ya Bima ya...

READ MORE

Wiki ya Sekta Binafsi Tanzania 2024 Imewadia! 

Ni wakati mwingine wa kusherehekea na kutambua mchango wa Sekta Binafsi katika katika kujenga uchumi wa Taifa letu tukio hili...

READ MORE

Majaliwa: Michezo Ni Nyenzo Muhimu Inayodumisha Amani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ushirikiano katika michezo ni nyenzo muhimu katika kudumisha diplomasia na amani miongoni mwa nchi washirika...

READ MORE

Meridianbet Promosheni Ya Expanse Inatoa Tsh 400,000,000/= Cheza Kasino Na Ushinde!

Maokoto yameongezeka kwenye promosheni ya Expanse inayoendelea kutimua vumbi kupitia Meridianbet Kasino ya mtandaoni, mpaka sasa washindi wanaweza kujinyakulia kitita...

READ MORE

TMA Yatoa Taarifa ya Uwepo wa Kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa...

READ MORE

RC Makonda Amuomba Rais Wa Zanzibar Kushirikiana Katika Sekta Ya Utalii – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, amemuomba Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi kushirikiana...

READ MORE

Waziri Ndejembi Atoa Onyo Kwa Waajiri Wasiowasilisha Michango ya Wafanyakazi Wao NSSF

Serikali imesema haitawavumilia waajiri wote wa sekta binafsi ambao wanakata michango ya wafanyakazi wao bila kuiwasilisha katika Mfuko wa Taifa...

READ MORE

Dkt. Msonde Akutana Na Walimu Zaidi Ya 1,900 Karatu, Ataja changamoto Kuu 6 zinazowakumba

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dr. Charles E. Msonde amekutana na walimu...

READ MORE

Kutoka Simu Janja Mpaka Runinga, Umuhimu wa Usalama wa Taarifa Zako Mitandaoni

Nani alishawahi kufikiria kwamba itafika siku ambayo vile unavyolinda simu yako dhidi ya uhalifu wa mtandaoni ndivyo itakavyokuja kuwa sawa...

READ MORE

Mwanamke wa Marekani atuhumiwa kuiba vitambulisho ili kuwapa kazi Wakorea

Waendesha mashtaka wa Marekani wamemshutumu mwanamke wa Marekani kwa kuwasaidia Wakorea Kaskazini kupata kazi nchini Marekani wakiwa mbali na kisha...

READ MORE

Kassim Majaliwa: Tanzania Imepiga Hatua Kwenye Mawasiliano

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazopiga hatua kubwa kwenye sekta ya mawasiliano na teknolojia...

READ MORE

Serikali ya Rais Samia Yaishukuru Canada Kwa Misaada Inayotoa

Tanzania imeishukuru Canada kwa misaada inayotoa kwa Serikali ambayo imekuwa ikiunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa...

READ MORE

Waziri Ndumbaro Anadi Utamaduni Wa Tanzania China

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ametoa rai kwa watanzania waishio nje ya nchi kutangaza Utamaduni wa...

READ MORE

Benki Ya CRDB Yamkabidhi RC Makonda Pikipiki 20 Kuimarisha Usalama

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela amekabidhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda jumla ya Pikipiki...

READ MORE

Jukwaa Sekta ya Madini Kufanyika Arusha Mei 22

  JUKWAA la Tatu la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini litafanyika Mei 22 hadi 24, 2024...

READ MORE

Mkuu Wa Wilaya Ya Karatu Apokea Misaada Ya Waathirika Wa Mafuriko Kutoka Kwa Wadau

Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mh. Dadi Harace Kolimba amepokea misaada ya vitu mbalimbali kutoka Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo...

READ MORE

Roboti Eunice Awa Gumzo Mitandaoni, Awakaribisha wageni Bungeni

Miongoni mwa mambo yaliyokuwa kivutio kikubwa nje ya Ukumbi wa Bunge asubuhi ya leo, ilikuwa ni uwepo wa roboti Eunice...

READ MORE

Shigongo: Mkitupa Ruzuku Mtatufunga Midomo, Kwa Nini TBC Ishindane Na Private Kwenye Matangazo – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema vijana wengi wa Kitanzania wana vipaji vikubwa vya ubunifu lakini wanakosa mitaji na kusisitiza...

READ MORE

Waziri Nape Awasilisha Makadirio Ya Bajeti Wizara Ya Habari – Video

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema serikali imedhamiria kuleta mapinduzi ya Kidigitali kupitia Mpango wa...

READ MORE

Amazing Tanzania Yazinduliwa Kwa Kujaza Mastaa Beijing Opera House

Nyota wa filamu nchini China Jin Si Sui, akijulikana zaidi kwa jina la Jin Dong, ambaye ndiye mgeni mashuhuri katika...

READ MORE