×

Habari

Spika Wa Bunge Mstaafu, Anne Makinda Atoa Neno Kuhusu Sensa Kwenye Warsha Na Wanahabari

Dar-es-Salaam 14 Machi 2024: Spika wa Bunge Mstaafu, Anne Makinda amesema kuwa wanasiasa wasifurahie tu matokeo ya Sensa ya Watu...

READ MORE

Serikali ya Rais Samia Yatekeleza Miradi 11 Katika Jiji la Dar es Salaam

Katika kipindi cha miaka mitatu, serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetekeleza zaidi ya miradi...

READ MORE

TikTok Kupigwa Marufuku Marekani, Wabunge Wapitisha Mswada

Mtandao wa TikTok kwa mara nyingine umejikuta katika hali tete baada ya wabunge wa Marekani kupitisha mswada ambao utapelekea mtandao...

READ MORE

Waziri Jafo Awasilisha Taarifa Ya Miradi Kwenye Kamati Ya Bunge

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amesema miradi mbalimbali ya mazingira imechangia...

READ MORE

Dkt. Biteko: Uwekezaji Kwenye Sekta Ya Elimu Lazima Umguse Mwalimu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uwekezaji wowote unaofanywa katika Sekta ya Elimu lazima...

READ MORE

Wanawake GGML wawanoa wanafunzi Kalangalala Sec. kujitambua

NA MWANDISHI WETU KATIKA kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, Umoja wa wanawake wanaofanya kazi katika Kampuni ya Geita...

READ MORE

Kamati ya Kudumu ya Bunge Miundombinu Yatembelea Ujenzi Uwanja wa Ndege wa Tabora

Kwa niaba ya Mhe Waziri Wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa nimeshiriki katika ziara ya kamati ya kudumu ya Bunge ya...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Wateule Atoa Maagizo Mazito Ikulu, Dar – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo...

READ MORE

Ofisi ya Waziri Mkuu Itaendelea Kuratibu Programu ya ASDP II Ili Kuongeza Tija

KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameeleza kuwa, Ofisi yake...

READ MORE

Tuhuma Za Polisi Kumuua Mbeba Mkaa, Kamanda Aeleza “Walitumia Mapanga Polisi Wakafyatua Risasi”- Video

KUFUATIA tukio la mbeba mkaa kutumia pikipiki maarufu kama busta Frank Kessi (33) kudaiwa kufariki dunia kwa kupigwa risasi wameiomba...

READ MORE

Rais Samia Afuturisha Viongozi Pamoja Na Makundi Mbalimbali Ikulu Jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2024 amefuturisha wasanii na viongozi mbalimbali Ikulu jijini...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 13, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Rais wa Rwanda Paul Kagame Akubali kukutana na Rais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi

Rais wa Rwanda Paul Kagame amekubali kukutana na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi kujadili mzozo unaoendelea...

READ MORE

Waziri Wa Mambo Ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni, Akabidhi Mitungi 700 Ya Gesi

KATIKA muendelezo wa utekelezaji wa mkakati wa matumizi ya nishati safi ya kupikia uliozinduliwa na Makamu wa Rais Dk. Philip...

READ MORE

Tanzania na Rwanda Kuboresha Ushirikiano Bandari ya Dar es Salaam

Tanzania na Rwanda kwa pamoja zimekubaliana kuweka mazingira bora yatakayosaidia kuongeza ufanisi wa matumizi ya Bandari ya Dar es salaam...

READ MORE

AngloGold Ashanti yamuahidi Rais Samia

AngloGold Ashanti ambayo ni kampuni mama ya Geita Gold Mining Limited imemuahidi Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa sehemu ya...

READ MORE

Vodacom Yashiriki Mkutano wa Taasisi za Kifedha Ulioandaliwa na Benki Kuu

Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom, imeshiriki kwenye mkutano wa 21 wa Taasisi za Kifedha ulioandaliwa na Benki Kuu...

READ MORE

Dkt. Biteko Akutana Na Katibu Mkuu Wizara Ya Nishati Zambia

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa...

READ MORE

Ally Kamwe Atupa Jiwe Gizani Simba “Tutampiga 10 Yeye Ajichanganye Tu” – Video

Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe akiwatambia watani zake Simba Sc baada ya Ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Ihefu

READ MORE

Rais Samia Ateua viongozi Tisa, Ahamisha Wakurugenzi Watendaji Watatu – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanya teuzi tisa ikiwemo kuteua Mkuu mpya wa Mkoa wa...

READ MORE

Rais Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi Wawili Ikulu Jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea Hati zake za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi Wawili, Ikulu...

READ MORE

KLM Leveraging AI To Reduce Food Waste On Flights

Using the TRAYS AI model, developed specifically for KLM, 63% less food is wasted per passenger The AI model predicts...

READ MORE

OSHA Yakamilisha Tathmini ya Vihatarishi Vya Usalama, Afya Bwawa la Mwl. Nyerere

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umekamilisha tathmini ya awali ya vihatarishi vya usalama na afya (baseline...

READ MORE

Chalamila: Waliniambia Nitoke CCM Nihamie Chama Kingine – CCM Tunafitinishana Wenyewe – Video

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amesimulia namna wanachama wenzake wa Chama Cha Mapinduzi walitaka ahamie chama...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Asisitiza ‘Fomu Ya Uarais Ni Moja Tu’

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kumuwezesha Rais Dkt. Samia kuchukua fomu ya kugombea Urais...

READ MORE

Twalib Mchezaji Wa Zamani Wa Simba Agawa Misaada Kwa Yatima Kuelekea Mfungo Mtukufu Wa Ramadhani – Video

 TALIB Hilal mshauri wa Ufundi wa Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni ambaye alikuwa ni mchezaji wa zamani...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dk. Philip Mpango Ametoa Wito Kwa Sekta Binafsi Kuchangia Kampeni Ya Kuondokana Na Matumizi Ya Nishati Chafu

Dodoma 9 Machi 2024: MAKAMU wa Rais Dk.Philip Mpango ametoa mwito kwa sekta binafsi kuunga mkono na kuchangia katika kampeni...

READ MORE

Miradi Tisa ya Kimkakati Ujenzi wa Barabara Inavyotekelezwa Pwani

Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi tisa ya...

READ MORE

Msemaji Mkuu wa Serikali Atoa taarifa Maendeleo ya utalii na miundombinu Serengeti – Video

Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi ametoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya utalii na miundombinu baada ya...

READ MORE

Dkt. Biteko: Rais Samia Hataki Misukosuko Kwa Wafanyabiashara

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amejipambanua kama mlezi...

READ MORE

Donald Trump Atamani Kufanya Mdahalo wa TV na Rais Joe Biden

Donald Trump amempa changamoto Rais Joe Biden kufanya naye mdahalo utakaokuwa unarushwa moja kwa moja na televisheni, katika kipindi hiki...

READ MORE

Mwananyamala Yafana Sikukuu Ya Wanawake Duniani

Sikukuu ya Wanawake duniani ilifana sana Kwa wakina Mama wajasiriamali wanaofanya shughuli zao katika soko la Mwananyamala jijini Dar-es-salaam baada...

READ MORE

Jeshi La Polisi Na Tbs Kujenga Vituo Vya Kisasa Vya Ukaguzi Wa Magari Maeneo Ya Mipakani Kudhibiti Ajali

Katika kuhakikisha ajali za Barabarani zinapungua kama sio kuisha kabisa, Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Nchini...

READ MORE

Serikali Ya Mtaa Tandika Mabatini Yaitisha Mkutano Wa Hadhara Kueleza Ilivyotimiza Ilani Ya CCM

Dar es Salaam 9 Machi 2024: Serikali ya Mtaa wa Tandika Mabatini jijini Dar inaMt yoongozwa na Mwenyekiti Shariff Mustafa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wawili Watemwa!

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi ambapo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas...

READ MORE

Rais Samia Amteua Waziri Kindamba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa UDART

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART). Kabla ya uteuzi...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi na Uhamisho wa Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Mkurugenzi wa UDART

Wakuu wa Mikoa walioachwa kufuatia uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali uliofanywa leo Machi 09, 2024 na Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Rais Samia Amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe akichukua nafasi ya Dkt. Francis K. Michael...

READ MORE

Rais Samia Awahamisha Vituo vya Kazi; Serukamba, Mtatiro, Nassari, Gondwe na Dendego

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambapo Peter J. Serukamba aliyekuwa Mkuu wa...

READ MORE

Wakazi Wa Kitongoji Cha Lumnyozi Kibiti Walivyoipa Jina Shule Yao

Wakazi wa Kitongoji cha Lumnyozi kilichopo Kibiti mkoani Pwani wikiendi iliyopita walikutana na kufanya mkutano mkubwa wa kupendekeza jina shule...

READ MORE