×

Habari

Majaliwa: Serikali Kuwanusuru Kiuchumi Waraibu Wa Dawa Za Kulevya

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Wizara za Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu zikae pamoja...

READ MORE

CCM Yafanya Uteuzi Wa Wanachama Watakaoongoza Nafasi Zilizoachwa Wazi

Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC) katika kikao chake cha kawaida, iliyokutana leo tarehe 30 Juni, 2024 jijini Dar...

READ MORE

Rais Samia Amwimbia Peter Msigwa, Mlete Msigwa, Mlete Msigwa – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyompokea Peter Msigwa baada ya kujiunga na Chama cha Mapinduzi...

READ MORE

Bilionea Manji Wa Yanga Afariki Dunia Akiwa Marekani Akipatiwa Matibabu – Video

Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuwa muwekezaji wa klabu ya Yanga na Mkurugenzi wa Quality Group Limited (QGL), Yusuph Manji amefariki dunia...

READ MORE

Mwenyekiti wa CCM Kibiti umoja na ushirikiano kuelekea uchaguzi wa mitaa 2024

Mwenyekiti CCM Kibiti ataka umoja na ushirikiano kuelekea uchanguzi serikali za mitaa 2024. Ndondo Cup Shafih Dauda amesema kuwa kwa...

READ MORE

Aweso akutana na CEO wa MO Dewji Foundation

      Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kufaya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya...

READ MORE

Waziri Silaa Aingilia Kati Sakata La Mama Aliyedai Kiwanja Chake Kuchuliwa Mkopo Benki Bila Kujua – Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameingilia kati sakata la kiwanja no. 141/40 kilichopo Ananasifu Kinondoni...

READ MORE

Mashabiki Wa Soka Bongo Wakielekea Ujerumani Kushuhudia Laivu Michuano Ya Euro 2024

Mashabiki wa soka waliojishindia kwenye Kampeni ya ‘Zigo la Euro’ inayoendeshwa na Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo wakiwa...

READ MORE

Ajali Mbaya Iringa: Watoto 3 Na Bodaboda Wakanyang’wa Na Matairi Ya Lori Baada Ya Kuingia Uvunguni – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa taarifa ya tukio la ajali iliyohusisha pikipiki (bodaboda) na gari aina ya Faw...

READ MORE

Waziri Mkuu Apongeza Uongozi Mpya Wa TEC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatoa pongezi za dhati kwa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwa kupata safu mpya ya uongozi...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza...

READ MORE

Majaliwa: Bilioni 346 Kuimarisha Usalama Wa Milki Za Ardhi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imesaini mkataba wa sh. bilioni 346 na Benki ya Dunia kwa ajili ya utekelezaji...

READ MORE

Spika wa Bunge Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha...

READ MORE

Utajiri wa haraka unapatika kupitia namna hii

Wananchi wa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro wameshauriwa kutumia nyuzi zinazotokana na migomba ikiwa ni chanzo cha kujipatia kipato kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu: Serikali Yatenga Sh. Bilioni 787 za Mikopo ya Wanafunzi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika mwaka 2024/2025, Serikali imetenga kiasi cha sh. bilioni 787 kwa ajili ya kukopesha wanafunzi...

READ MORE

Polisi Yapiga marufu matumizi ya silaha aina ya gobore kwenye shuguli za ulinzi

Jeshi la Polisi Nchini limepiga marufu matumizi ya silaha aina ya gobore kwenye shuguli za ulinzi huku Jeshi hilo likisema...

READ MORE

Biden, Trump Wakabiliana katika Mdahalo wa Uchaguzi wa Rais – Video

Rais wa Marekani Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump wamekabiliana katika mdahalo wa kwanza wa uchaguzi wa rais unaopangwa...

READ MORE

Mrembo Aliyemuibia Mpenzi Wake Mamilioni Akamatwa Hotelini

Kuna muda mwingine msamaha huchukuliwa kama aina fulani ya udhaifu, na hayo ndio yaliyompata Jones Ouko ambaye anafanya kazi ya...

READ MORE

Wafanyabiashara Kariakoo wakubali Yaishe

Wafanyabiashara wa bidhaa mbalimbali katika Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam wamefungua maduka yao na kuachana na mgomo na...

READ MORE

CRDB yatangaza neema kwa wajasiriamali

Benki ya CRDB imeungana na wadau wengine duniani kuadhimisha Siku ya Wajasiriamali Duniani (International MSMEs Day) kwa kuendesha semina kwa...

READ MORE

RC Malima Amuagiza Mkurugenzi Gairo Kununua Kununua Vishkwambi Kwa Ajili ya Madiwani

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Kighoma Malima amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo kuwanunulia madiwani wa...

READ MORE

Barabara zinazoelekea Ikulu ya Rais Kenya zawekwa vizuizi vya kiusalama

Kundi la vitengo kadhaa vya usalama vimetumwa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Nairobi ili kusubiri maandamano ya vijana yanayopangwa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Anaguswa na Kujali Maisha ya Wafanyakazi

*Amenyanyua kikokotoo, Ndejembi asema huo ni mwanzo tu Nukuu za Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana,...

READ MORE

Dimmy Kanyankole Ateuliwa na Bolt Kuwa Meneja Mpya Tanzania

Bolt, Kampuni inayoongoza kwa huduma za usafirishaji Tanzania na Barani Afrika, inafuraha kuwataarifu kuhusu uteuzi wa Bw.Dimmy Kanyankole kuwa Meneja...

READ MORE

Polisi wamkamata kiongozi wa jaribio la mapinduzi nchini Bolivia

Polisi nchini Bolivia wamemkamata kiongozi wa jaribio la mapinduzi, saa chache baada ya ikulu ya rais katika mji mkuu La...

READ MORE

Naibu Rais Kenya Amtaka Mkurugenzi Mkuu wa NIS Ajiuzulu

Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amekashifu Idara ya Kitaifa ya Ujasusi ambayo anadai ilishindwa kumjulisha Rais William Ruto kwa...

READ MORE

Namba ya NIDA Kurahisisha Kufungua Akaunti ya Benki ya Equity

SEKTA ya huduma za fedha ni miongoni mwa sekta zinazokua kwakasi hapa nchini, huku ujumishaji wa watu katika huduma hizo...

READ MORE

Serikali Yaihakikishia Ushirikiano Mwalimu Commercial Bank Plc (MCB)

Serikali imeihakikishia Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) ushirikiano wa karibu ili kusaidia kuondoa changamoto ndogondogo zinazokabili benki hiyo, na...

READ MORE

Mwanamke Ajifungua Mapacha Watano kwa Mpigo Baada ya Kuhangaika Kwa Muda Mrefu

Katikati ya mji wa Meru nchini Kenya kinatokea kisa kimoja ambapo mwanamke mmoja, Lulu Wawira, 60, amekuwa gumzo na kuwashangaza...

READ MORE

Ruto Atupilia Mbali Mswada wa Fedha – kubana matumizi, kusitisha miradi ya maendeleo

Rais wa Kenya Willam Ruto ametupilia mbali mswada wa fedha wa 2024 uliozusha utata na maandamano makubwa nchini humo na...

READ MORE

Waziri Mkuu Akutana Na Viongozi Wa Jumuiya Ya Wafanyabiashara

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Juni 26, 2024.

READ MORE

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Access Afrika Akutana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania

  Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amekutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Access Afrika....

READ MORE

Taifa Gas yazindua mpango wa punguzo la bei ya mitungi ya gesi kwa wanafunzi vyuo vikuu

    Na Mwandishi Wetu Kampuni ya kuuza nishati ya gesi ya kupikia majumbani ya Taifa Gas Limited imezindua mpango...

READ MORE

Muswada wa fedha 2024: Uhuru Kenyatta Awaomba Viongozi Kuwasikiliza Wananchi

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, ametangaza kuwa anasimama na raia wa Kenya na kuitaka serikali...

READ MORE

HEIFER  International Nchini Tanzania Yazindua Shindano la AYuTe Africa Challenge 2024

HEIFER  International nchini Tanzania imezindua shindano la AYuTe Africa Challenge kwa mwaka 2024 litakalotoa nafasi kwa vijana wavumbuzi kupata ufadhili...

READ MORE

Rais Ruto aapa kukabiliana na waandamanaji wanaopinga mswaada wa fedha – Video

Rais wa Kenya, William Ruto, katika hotuba kwa taifa Jumanne, amesema kuwa matukio ya vurugu yaliyoshuhudiwa Jumanne ambapo waaandamanaji walivunja...

READ MORE

Bunge la Kenya Lapitisha Marekebisho ya Muswada wa Fedha 2024

Bunge la nchini Kenya limepitisha marekebisho ya muswada wa fedha kwa mwaka 2024. Muswada huo wa Sheria ya Fedha wenye...

READ MORE

Waandamanaji Nairobi Wavamia Jengo la Bunge – Video

Tukio hilo limetokea mara tu baada ya Bunge hilo kupitisha mswada wa sheria ya kodi inoongeza kodi katika bidhaa mbalimbali...

READ MORE

Hospitali Ya Jeshi Msalato Kusaidia Kupunguza Msongamano Wa Wagonjwa

Kukamilika kwa ujenzi wa Hospitali ya kisasa ye jeshi iliyopo Msalato Jijini Dodoma inayotarajiwa kuwa ya Level 4 utasaidia kupunguza...

READ MORE