×

Habari

Live: Rais Samia Anashiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za EAC, AICC – Arusha-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya...

READ MORE

Kampuni ya Knauf Yatoa Misaada ya Elimu ya Sh.milioni 60 Mkuranga

    SHULE za msingi Kisemvule na Mwanambaya zilizopo Mkuranga mkoani Pwani, zimenufaika na msaada wa madawati 300, matundu kumi...

READ MORE

Abiria 41 Wanasurika Kifo Baada ya Basi la Happy Nation Kugongana Uso kwa Uso na Lori

ABIRIA 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya...

READ MORE

Rais Samia Ashtukia Wanaoajiriwa Jeshi la Polisi, Aagiza Mfumo wa Ajira Uchunguzwe

RAIS wa Jamhuri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema atakwenda kuuchunguza mfumo wa ajira katika...

READ MORE

Waziri Aweso Akutana na Kuzungumza na Mkurugenzi wa Mtendaji wa India Exim Bank

MHESHIMIWA Jumaa Aweso (Mb)-Waziri wa Maji New Delhi nchini India amekutana na kuzungumza na Ms. Harsha Bangari, Mkurugenzi Mtendaji wa...

READ MORE

Wadau wa Bandari Waomba TICTS Isiongezewe Mkataba Washindwa Kufikia Lengo

Kampuni ya Kimataifa ya huduma ya Kontena Tanzania (TICTS) inadaiwa kushindwa kutekeleza makujukumu yake na wadau wa sekta za biashara...

READ MORE

Rais Samia Amtaka IGP Mpya Kuonesha Ufanisi na Kuimarisha Usalama wa Raia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema anatarajia kuona ufanisi mkubwa wa kazi kutoka kwa Inspekta...

READ MORE

Live: Rais Samia Anamuapisha IGP Mpya, Balozi Sirro na Viongozi Wengine Aliowateua-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaapisha Viongozi wateule wafuatao: 1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA,...

READ MORE

Uviko-19 Yasababisha Wafanyakazi Nchini Australia Kufanyia Kazi Nyumbani Kwao

WAFANYAKAZI nchini Australia washauriwa kufanyia kazi nyumbani kutokana na ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya Uviko-19 kulikumba Taifa hilo....

READ MORE

Rais Samia Amteua IGP Mpya Camillus Wambura, DCI Ramadhan Kingai

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa watumishi mbalimbali wa Serikali

READ MORE

Rais Samia Aikabidhi Vodacom Tuzo Kwa Kujenga Wodi ya Wajawazito na Watoto CCBRT

    Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc kupitia asasi yake ya Vodacom Tanzania Foundation imepokea tuzo kutoka hospitali ya CCBRT...

READ MORE

Rais Ramia Amteua IGP Sirro Kuwa Balozi Nchini Zimbambwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi...

READ MORE

Muuza Nyanya Akabidhiwa Gari, Mkulima Aondoka na Milioni Kumi za Airtel Money

  KAMPUNI ya mtandao wa simu za mkononi ya Airtel ambayo ilikuwa ikiendesha promosheni ya Tesa Kimilionea kupitia huduma ya...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Julai 20, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 20, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

TMSA Kutoa Tuzo Bora za Masoko Tanzania za Mwaka 2022

  Dar es Salaam, 20 Julai. Katika nia ya kuhamasisha weledi zaidi katika sekta ya masoko nchini Tanzania, Chama cha...

READ MORE

Waziri Mkuu: TCU Ongezeni Udhibiti wa Ubora wa Vyuo Vikuu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) iongeze jitihada katika udhibiti wa ubora wa vyuo vikuu...

READ MORE

Waziri Aweso Ashiriki Mkutano wa 17 wa India na Nchi za Afrika Katika Fursa ya Ukuaji wa Uchumi

WAZIRI wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso ameshiriki Mkutano wa 17 wa India na nchi za Africa – Confederation of Indian...

READ MORE

Prof. Mkenda Aanza Ziara ya Siku saba Rombo, Rais Samia Atoa Bil 10 Mradi wa Maji

Mbunge wa Jimbo La Rombo ambaye ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda leo tarehe 19...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne, Julai 19, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 19, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Ugonjwa Uliolipuka Lindi ni Homa ya Mgunda, Huambukizwa Kutoka kwa Wanyama Kwenda kwa Binadamu

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua Ugonjwa Usiojulikana katika Wilaya ya Ruangwa...

READ MORE

Waziri Jafo: Jiji la DSM Pitieni Mfumo wa Maji ya Mvua Kubaini Waliounganisha Kiholela

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Dkt.Selemani Jafo amelitaka Jiji la Dar es salaam...

READ MORE

Idadi ya Wawekezaji Nchi Yazidi Kupaa Kutoka na Ziara za Rais Samia Kwenye Mataifa Mbalimbali

Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa...

READ MORE

Rais wa Ukraine Awafuta Kazi Mkuu wa Ujasusi na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali

RAIS wa Ukraine Volodymir Zelenskiy amewafuta kazi mkuu wa huduma za ujasusi na mwendesha mashtaka mkuu wa serikali  huyo amesema...

READ MORE

Mkuu wa Upelelezi Kariakoo Aungana na Waislamu Kata ya Gerezani Kuhamasisha Uzalendo

  MKUU wa Upelelezi wa Wilaya ya Kipolisi ya Kariakoo, Dar, OC-CID Dr. Ezekiel Kyogo jana Jumamosi aliungana na Waislamu...

READ MORE

Mbio za Mwenge wa Uhuru Kuzindua Miradi ya Maendeleo ya Milioni 735 Jimboni Buchosa

Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shigongo amesema anafuraha kushiriki mbio za mwenge wa uhuru na kukiri kuwa hii ilikuwa...

READ MORE

Muuza Madawa ya Kulevya Maarufu wa Mexico Rafael Quintero Akamatwa

Mamlaka nchini Mexico zimemkamata mfanyabiashara maarufu wa dawa za kulevya Rafael Caro Quintero, ambaye alikuwa kwenye orodha ya FBI ya...

READ MORE

Benki ya Crdb Yaendesha Semina ya Uwezeshaji kwa Wafanyabiashara Mtandaoni

Katika kuendeleza jitihada zake za kuwajengea uwezo na kuwawezesha wajasiriamali vijana nchini, Benki ya CRDB  iliandaa semina maalum iliyopewa jina...

READ MORE

Diwani Pemba Mnazi Aahidi Kuwarejeshea Wananchi Wake Ardhi Yao

  DIWANI wa Kata ya Pemba Mnazi, Wilaya ya Kigamboni Dar, Lyoba Ramadhani Yamringa, amewaondoa hofu wakazi wa kijiji cha...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Julai 18, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 18, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

NMB na Neema Mpya Kwa Wakulima,Wavuvi na Wafugaji Nchini

  KWA mara ya kwanza wakulima, wavuvi na wafugaji nchini wataweza kupata mikopo kutoka Benki ya NMB kwa riba nafuu...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Awapongeza Wahandisi Singida Kwa Ubunifu wa Daraja la Mawe

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua daraja la mawe lenye urefu wa mita 30 na upana wa mita saba lililojengwa katika...

READ MORE

Mfungwa Aliyewapa Wenzake Mimba Ahamishwa Gereza, Kuzuia Asije Akawapa Wengine

  MFUNGWA Demi Minor (27), ambaye miezi michache iliyopita alizusha gumzo kubwa baada ya kuwapa ujauzito wafungwa wenzake katika Gereza...

READ MORE

Benki ya Stanbic Watilia Mkazo Ahadi yao Kusaidia Sekta ya Elimu Kuunga Mkono Juhudi za Serikali

BENKI ya Stanbic Tanzania imetilia mkazo ahadi yake ya kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali za kuboresha elimu kwa kuboresha...

READ MORE

Polisi Kariakoo Wapiga Bonge Jogging na Wananchi Wakihamasisha Uzalendo

  JESHI la Polisi Wilaya Kipolisi ya Kariakoo, jijini Dar jana Jumamosi limefanya jogging na wananchi wa eneo hilo kumalizia...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Julai 17, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 17, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Rais Joe Biden Akutana na Viongozi wa Mataifa ya Kiarabu Jeddah Saudi Arabia

RAIS wa Marekani Joe Biden leo anatakuna na viongozi wa mataifa ya kiarabu kwenye mji wa mwambao wa Jeddah nchini...

READ MORE

Jaji Mkuu Prof. Juma Awaasa Mahakimu Wapya Kutofungwa na Kanuni za Kiufundi Wanapotoa Haki..

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma amewaasa Mahakimu Wakazi wapya kutenda haki bila kufungwa kupita kiasi na masharti...

READ MORE

Aambiwa Ana HIV Kimakosa Atumia Dawa kwa Miaka 6, Afungua Kesi Kudai Fidia

FARIDAH  Kiconco (37); ni mama aliyeambiwa kwenye kituo cha afya kuwa ana Virusi Vya Ukimwi (HIV) kisha akatumia dawa kwa...

READ MORE