×

Habari

MEI MOSI Mtaka awa Kivutio

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ndugu Anthony Mtaka leo amekuwa kivutio wakati alipoongoza Walimu katika maandamano ikiwa sehemu ya Maadhimisho...

READ MORE

Zijue Kufuru za Bilionea Elon Musk Aliyenunua Mtandao wa Twitter Kwa Pesa za Kufuru…

MIONGONI mwa habari zilizoshtua Dunia mapema wiki hii ni kuhusu mtu anayeitwa Elon Musk kuununua Mtandao wa Twitter kwa pesa...

READ MORE

GGML Yaibuka Mshindi Afya na Usalama Mahala pa Kazi

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeibuka mshindi wa jumla katika maonesho ya afya na usalama mahala pa kazi...

READ MORE

Waziri Kijaji : Changamkieni Fursa za SELF MF

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dr. Ashatu Kijaji amewataka wananchi wa mkoani Morogoro na watanzania wote kwa ujumla kuchangamkia...

READ MORE

Uamuzi wa Uber Kujitoa Tanzania, Madereva wa Tax Waibuka na Kuzungumza – Video

SIKU chache baada ya kampuni ya ubber kusitisha huduma zao nchini, baadhi ya madereva wa jiji la Dar es salaam,...

READ MORE

Gazeti la Championi Latoa zawadi za Tiketi kwa Mashabikiwa Simba/Yanga

Mashabiki wa Simba na Yanga wamiminika uwanja wa Benjamin Mkapa kushudia mechi Kali kati ya Simba na yanga katika mwendelezo...

READ MORE

Uzinduzi The Royal Tour Arusha… Wema Atamba “Tumerudi Enzi Zetu za Filamu”

  Wema Isaac Sepetu siku hizi wanamuita Last Born (Kitindamimba au Mziwanda) wa Taifa; ni miongoni mwa mastaa wa Bongo...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Atoa Heshima za Mwisho Akiaga Mwili wa Mwai Kibaki

Rais Uhuru Kenyatta ameongoza maelfu ya Wakenya katika maombolezo ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Mwai Kibaki leo...

READ MORE

Mafuriko Yakata Mawasiliano Mufindi, Yakatisha Masomo kwa Wanafunzi

ZAIDI ya ekari 20 za mashamba yenye mazao mbali mbali katika kijiji cha Kitasengwa kata ya Makungu wilaya ya Mufindi...

READ MORE

Promota Semunyu: Selemani Kidunda Dhidi ya Tshimanga Katompa Rasmi Julai 30 Songea

  PROMOTA wa mapambano kutoka Kampuni ya Peak Time Media (PTM), Meja Seleman Semunyu ameweka wazi rasmi kuwa pambano la...

READ MORE

Picha: Shuguli ya Mazishi ya Kitaifa ya Rais wa Zamani wa Kenya Emilio Mwai Kibaki

MAZISHI ya kitaifa yanafanyika leo Ijumaa kwa ajili Rais wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki aliyefariki wiki moja iliyopita akiwa...

READ MORE

Makombora Makali Yapiga Kyiv, Huku Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Akifanya Ziara Ukraine

MJI mkuu wa Ukraine  usiku wa kuamkia leo Aprili 29, 2022 umetikiswa na mashambulio makali yaliyofanywa na majeshi ya Urusi...

READ MORE

Itel Yawakumbuka Watoto Wenye Uhitaji Maalum, Yawasapoti Kimasomo

    KAMPUNI ya simu za mkononi ya itel Tanzania leo Aprili 29 mwaka 2022 imerudisha fadhila kwa jamii kwa...

READ MORE

GGML Yalipa Billioni 4 kwa Halmashauri Mbili Geita

KATIKA kuunga mkono na kutimiza wajibu wake wa kulipa kodi na tozo mbalimbali kwa Serikali, Kampuni ya Geita Gold Mining...

READ MORE

Kata Bima ya Afya Kupitia Tawi Lolote la NMB

Katika kuhakikisha afya za Watanzania zinakuwa salama na bora, Benki ya NMB imeshirikiana na kampuni ya bima ya Jubilee kukuleta...

READ MORE

Exim Yafuturisha Wateja Wake Dar

               

READ MORE

SIMULIZI YA KUSISIMUA: THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 7

MTUNZI: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 ILIPOISHIA: Nikiwa bado palepale mafichoni, usingizi ukikizonga kichwa changu kutokana na ukweli kwamba sikuwa nimelala...

READ MORE

Ajali Yaua Wanne Geita, Askari Polisi Wawili na Mahabusu Wawili Katika Kijiji cha Ibanda

Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi pamoja...

READ MORE

Mapokezi ya Rais Samia Katika Uwanja wa Ndege wa KIA Akitokea Marekani Leo (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 28, 2022 amewasili katika uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Rais Samia: Meya wa Dallas Kuanzisha Safari za Ndege Kutoka Marekani Mpaka Tanzania -Video

Rais Samia leo Aprili 28, 2022 akiwa Uwanja wa Ndege wa KIA akitokea Marekani amesema Meya wa Jiji la Dallas...

READ MORE

Rais Putin: Wanaoingilia Masuala ya Ukraine Watakabiliwa na Jibu la Haraka – Video

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameonya kuwa nchi zozote zinazoingilia Ukraine zitakabiliwa na jibu la haraka. “Ikiwa mtu kutoka nje...

READ MORE

Benki ya NMB yakusanya Bil. 74.3 kupitia Hati Fungani ya ‘NMB Jasiri’

Benki ya NMB imefunga mauzo ya Hati Fungani ya Jasiri (NMB Jasiri Bond) kwa mafanikio makubwa Iliyoweka rekodi ya makusanyo...

READ MORE

Maharage ya JESCA Mwarobaini wa Tatizo la Nguvu za Kiume nchini Tanzania

KUTOKANA na kuwa na ongezeko kubwa la wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume tafiti zimeonesha kuwa kuna aina ya...

READ MORE

Mama Amchoma na Maji ya Moto Mwanae, Kisa Tambi Mkoa wa Simiyu, Polisi Wafunguka

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linamshikilia mama mmoja anayefahamika kwa jina la Mwamba Thomas (37) Msukuma kwa tuhuma za...

READ MORE

Ulinzi Waimarishwa Katika jiji la Arusha Kuelekea Uzinduzi Wa Royal Tour AICC Kesho

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amewaambia wananchi Kuwa hali ya ulinzi na...

READ MORE

Vita vya Ukraine: Urusi Yadai Kudhibiti Kherson, Kharkiv, Zaporizhzhia na Mykolaive

Kwa mujibu wa shirika la habari la Interfax la Urusi, jeshi la Urusi limefanikiwa kupata udhibiti kamili wa eneo lote...

READ MORE

Mkurugenzi Kampuni ya Bakhresa Ahojiwa na CNN, Asifia Ujenzi SGR

MTANZANIA Salim Aziz ambaye ni miongoni mwa wakurugenzi wenye umri mdogo nchini Tanzania akitokea Kampuni ya Bakhresa Group, amefanya mahojiano...

READ MORE

RC Simiyu Atangaza Zawadi kwa Shule za Sekondari ‘A’ Moja Tsh 50,000 Mitihani ya Kitaifa

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ametangaza nyongeza ya zawadi kwa mwalimu ambaye atafaulisha mwanafunzi kupata Daraja ‘A’ katika...

READ MORE

Sababu Tatu Kwa Nini Urusi Wanamuogopa Sana Elon Reeve Musk?… Soma Hapa

Jina lake halisi ni Elon Reeve Musk, ndiye mtu tajiri kuliko watu wote duniani. Utajiri wake haujaja kupitia kuuza pipi,...

READ MORE

Papa Francis Akabiliwa na Maumivu ya Goti Afuta Ratiba Zake za Kazi Zote Leo

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amelazimika kufuta ratiba ya kazi zake kwa mara ya pili mnamo muda usiozidi...

READ MORE

Mayele Awaonya Inonga, Onyango “Wakimpania Kumzuia Asifunge Watapigika Vibaya”

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, ni kama amewatahadharisha mabeki wa Simba kwa kusema wakiingia uwanjani kwa lengo la kumpania kumzuia...

READ MORE

Tigo Wasaini Mkataba wa Kupanga Jengo la PSSSF Ambalo ni Refu Kuliko Yote Afrika Mashariki

    DAR ES SALAAM. Tarehe 27 Aprili, 2022. Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za kidijitali nchini, Tigo Tanzania,...

READ MORE

Mataifa Yenye Nguvu… Uingereza, Marekani Kupeleka Ndege za Kivita Ukraine – Video

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Liz Truss amesema kwamba Uingereza na mataifa mengine yenye nguvu ya Magharibi yanapaswa...

READ MORE

Internet Society na Wadau Walivyojadili Changamoto za Kodi za Kidigitali

    SHIRIKA la Internet Society Tanzania na wadau wake wamefanya workshop ya kujadili changamoto mbalimbali zilizomo kwenye mfumo mpya...

READ MORE

Wateja na Mawakala wa Airtel Money Wajishindia Mkwanja na Tesa Kimilionea

  KAMPUNI ya Airtel Tanzania leo imechezesha droo ya 11 ya promosheni ya Airtel Money Tesa Kimilionea ambapo wateja 100...

READ MORE

NMB Yaipa Kipaumbele Elimu ya Fedha kwa Vijana Nchini

  Serikali chini ya Benki kuu ya Tanzania (BOT) waliweka kipaumbele utoaji wa elimu ya fedha kwa Watanzania hususani vijana...

READ MORE

NBC Yazidi Kuinogesha Ligi Kuu, Yatoa Tuzo/Fedha Kwa Mchezaji Bora wa Mwezi

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema itaendelea kuboresha masuala mbalimbali ya kimichezo sambamba na kutoa hamasa kwa wachezaji. NBC...

READ MORE

Pablo: Simba Tulieni, Tunawapiga Yanga Jumamosi Uwanja wa Mkapa

WAKATI Simba SC wakitua Dar wakitokea Afrika Kusini, kocha mkuu wa kikosi hicho, Pablo Franco, akilini mwake alikuwa akiiwaza Yanga...

READ MORE

Watu 9 Waliofariki kwa Ajali Njombe Waagwa, Rais Samia Atuma Salamu za Pole

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu ametuma salamu za pole kwa wafiwa kutokana na vifo vya...

READ MORE

Mpango: Muungano Wetu ni Zaidi ya Hati ya Muungano

Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema ushirikiano na mwingiliano wa wananchi wa pande zote za muungano unadhihirisha kuwa Muungano...

READ MORE