×

Habari

Jionee Hapa Makundi ya Ligi ya Mabingwa

LEO Desemba 28, 2021 makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na tayari timu ambazo zimetinga kwenye hatua ya makundi yapo...

READ MORE

Gabo, Mkewe Wamzawadia Mtoto Wao Duka

Msanii mkubwa wa filamu Bongo, @gabozigamba na mkewe @tiffany_store_tz jana walimzawadia mtoto wao duka la nguo za watoto linaloitwa @bill_toto...

READ MORE

Makaburi 200 Yafukuliwa Dar

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam, imeanza kufukua makaburi zaidi ya 200 yaliyopo katika Mtaa wa Butiama, Kata ya...

READ MORE

Rais Doumbouya: Rudini na Kombe la AFCON Ama Fedha Zetu

RAIS wa mpito wa Guinea, Kanali Mamadi Doumbouya wa Guinea amewaambia wachezaji wa timu ya Taifa hilo kuwa wanatakiwa wachague...

READ MORE

Samia: Tutaendelea Kukopa, Ukisubiri Ukusanye Zako Utamaliza Kujenga Lini? – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kuchukua mikopo nafuu kutoka kwa nchi wahisani, ili kukamilisha mradi wa ujenzi wa...

READ MORE

Ndugai: Kuna Siku Nchi Itapigwa Mnada Kutokana Na Madeni

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kulingana na mwenendo wa Deni la Taifa kufikia Trilioni 70, ipo siku...

READ MORE

Fahamu Miji 10 Afrika Yenye Gharama Kubwa Zaidi ya Kuishi

Je! Umewahi kujiuliza itakugharimu shilingi ngapi kuishi katika mji tofauti na  ambao unaishi sasa katika nchi yako? Makala hii inaangazia...

READ MORE

Aweso Awahamisha Vituo vya Kazi Vigogo Sita Mtwara

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amefanya mabadiliko kwa kuwaondoa watumishi sita katika nyadhifa zao kwa sababu mbalimbali za utendaji uliosababisha...

READ MORE

Kiungo Mbrazil: Nipo Tayari Kwa Kazi Simba

HATIMAYE uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa aliyewahi kuwa mchezaji wa  timu hiyo, Gerson Fraga anarejea kikosini hapo kupitia usajili...

READ MORE

Udhamini Mnono, GGML Yaidhamini Geita Gold FC

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML imeidhamini Klabu ya soka ya Geita Gold Football Club kwa mkataba mnono wa...

READ MORE

Vifo Vya Wanandoa Siku Ya Christmas

  Steven Yamba(44) mfanyabiashara wa nchini Zambia ameripotiwa kumshushia kipigo kikali mke wake wa ndoa Kangwa Mwango(33) na kufariki asubuhi...

READ MORE

Kenya: Baba Aua Mwanaye Kwa Kumsumbua Usingizini

Wapelelezi kutoka Idara ya Makosa ya Jinai (DCI) wamefichua kwamba wamemkamata mzee wa miaka 73, James Tarus, kwa kumuua mwanae....

READ MORE

Amuua Mama Yake Mzazi Kisha Kumfukia Kwenye Chemba Ya Choo

  Jeshi la polisi Jijini Arusha linamshikilia Patrick Mmasi (24) mkazi wa Njiro, jijini hapa, kwa tuhuma za kumuua mama...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Ateua Mwenyekiti Mpya wa NEC

Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Jaji Jackob Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akichukua nafasi ya...

READ MORE

Wananchi wa Buchosa Washiriki Misa Ya Kuwaombea Wazazi wa Mhe. Shigongo

  Wakati sikuku ya Krismasi ikiwa imemalizika Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group na Mbunge wa Jimbo la Buchosa...

READ MORE

Mfanyabiashara wa Madini Aliyedaiwa Kuuawa na Mwanaye Azikwa – Video

MFANYABIASHARA wa madini ya Tanzanite, Ruth Mmassy anayedaiwa kuuawa na mtoto wake amezikwa leo Jumatatu Desemba 27, 2021 katika kijiji...

READ MORE

Mzee Kikwete Ahani Msiba wa Mama Mwakinyo

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amewasili Jijini Tanga nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo kutoa mkono wa pole kwa familia kufuatia...

READ MORE

🔴#LIVE: Ukweli Ndoa Ya Dida Kuvunjika, Harmonize Asepa Na Kijiji | Hotpot…

Karibu kutazama kipindi namba moja cha Udaku ‘HOTPOT’ kinachokuletea habari mbalimbali za mastaa ndani na nje ya Tanzania. 

READ MORE

Makaburi 200 Kuhamishwa Vingunguti

BAADA ya miaka mitatu tangu baadhi ya makaburi ya Vingunguti, jijini Dar es Salaam kusombwa na maji ya Mto Msimbazi,...

READ MORE

Wawili Mbaroni Kwa Tuhuma za Mauaji Mbozi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata kwa mapanga mtu mmoja aliyefahamika...

READ MORE

Rais Samia Asamehe Wafungwa 5,704, Atoa Masharti – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 5,704 kuachiwa huru katika kumbukizi ya...

READ MORE

Simbachawene Aagiza Polisi Kumhoji Askofu Mwingira – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani George Simbachawene, amemtaka Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, kumtafuta...

READ MORE

Polisi Afika Kazini Akiwa Amelewa, Amuua Bosi Wake

OFISA mmoja wa Jeshi la Polisi Naivasha nchini Kenya amemuua kwa kumpiga risasi bosi wake aliyemuuliza mbona alifika kazini kwa...

READ MORE

🔴#LIVE: Mgonjwa Wa Akili Apata Mimba, Chanzo Chatajwa | Katambuga

Karibu kutazama kipindi cha KATAMBUGA kinachoruka hewani kila siku jumatatu hadi ijumaa kuanzia sa 4:30 asubuhi hadi sa sita kamili...

READ MORE

Askofu Akemea Wanachuo Kuishi Kinyumba

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Arusha, Mhashamu Isack Amani ameonya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kuacha mara...

READ MORE

Kifo Mhitimu SUA Wazazi Waomba Msaada wa Rais

Wakati maziko ya mwili wa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Magreth Mashuwe(22) yakifanyika kwenye makaburi ya...

READ MORE

🔴#LIVE: Tume Huru, Katiba Mnyukano Mkali, Waziri Wa Afya Atangaza Kupata Corona| ​​​​​​​​​​Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi, Front Page. Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Mama Mfanyabiashara Wa Madini Auawa Kinyama

Mama Mfanya Biashara Wa Madini Akutwa Amekufa Kwenye Shimo La Choo Mtoto Wake Adaiwa Kuhusika 

READ MORE

NMB Yatenga Mil. 240/- Kwa Washindi wa Promosheni ya MastaBata- Kivyako Vyako

  Benki ya NMB imezindua msimu wa tatu wa Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya Kadi na Masterpass QR iitwayo 'NMB...

READ MORE

Waziri wa Afya Zanzibar Apata Uviko-19

Waziri wa Afya, Ustawi wa jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amepata maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19...

READ MORE

Rais Mwinyi Atoa Pole Kwa Waliofariki Kwa Kula Samaki Kasa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za rambirambi kwa familia za...

READ MORE

Aliyekuwa Askofu Mkuu Wa TAG Tanzania Afariki Dunia

Askofu Prof. Ranwell Mwenisongole alikuwa Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la City Christian Center (CCC) – TAG Upanga Jijini Dar es...

READ MORE

Aliyelala Kitandani Mbeya Ajikuta Ameamkia Masasi Juu ya mti

SAILI Juma (27) mkazi wa Mbeya ambaye mapema wiki hii alilala kitandani nyumbani kwao Mbeya na ghafla akaamkia juu ya...

READ MORE

Moto Ndani ya Kivuko Waua Watu 37

KIMATAIFA Watu wasiopungua 37 wamefariki Dunia baada ya moto kuzuka ndani ya kivuko kimoja kilichofurika abiria kusini mwa mji mkuu...

READ MORE

Watoto Wanne Wafariki Unguja

Watoto wanne wamefariki Dunia, Kaskazini Unguja huku wengine 47 wakiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Kivunge kutokana na kula nyama...

READ MORE

TV Unayoweza Kulamba Kioo Chake Kuonja Ladha ya Chakula

MFANO wa skrini ya TV unayoweza kulamba ambayo inaweza kuwa na ladha ya chakula imetengenezwa na Profesa wa Kijapani, Reuters...

READ MORE

Pumbulu: Mila ya Kisukuma Baada ya Mwanamke Kufariki Akijifungua

MILA na Desturi zina mchango mkubwa katika jamii endapo zitaenziwa kwa kuheshimu haki zingine za binadamu, hata hivyo wakati mwingine...

READ MORE

Wagombea Ubunge Libya Waitisha Maandamano

WAGOMBEA kadhaa wa ubunge nchini Libya leo wametoa wito wa kufanyika maandamano ya nchi nzima kulaani hatua ya kufutwa kwa...

READ MORE

Kidunda: Nitafanya Vitendo Kesho, Katompa Atamba

Bondia wa ngumi za kulipwa kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania’JWTZ’, Sajenti Seleman Kidunda amemtahadharisha mpinzani wake Tshimanga...

READ MORE

Ufunguo wa Jela Alikofungwa Mandela Kuuzwa Kwa Mnada

SERIKALI ya Afrika Kusini imetaka kusitishwa kwa mnada wa kuuza funguo za chumba cha jela alichokuwa akiishi hayati Nelson Mandela...

READ MORE