WATUMIAJI wa kinywaji cha Smirnoff Ice Black wana kila sababu ya kufurahi baada ya Kampuni ya Bia ya Serengeti...
READ MOREBENKI ya NMB kwa kushirikiana na Jubilee Life Insurance, imezindua mpango wa utunzaji, uwekezaji na bima uitwao ‘Fanaka Plan,’...
READ MOREMTANDAO wa Jinsi nchini (TGNP) umeingia makubaliano na wataalamu kutoka Chuo cha Teknolojia cha DIT kwa ajili ya...
READ MOREHER Initiative kwa kushirikiana na TWAA walizindua mradi wao mpya wa Stawi Lab ikizingatia kuimarisha taasisi zinazoongozwa na vijana zinazopigania...
READ MOREWakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umezindua rasmi mpango wa mafunzo ya Usalama na Afya kwa Taasisi...
READ MOREBaada ya kutoka kwa taarifa ya mechi ya Kagera na @simbasctanzania kuahirishwa kwa sababu ya wachezaji wa Simba kuumwa mafua...
READ MOREWAZAZI wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mukendo, iliyopo Musoma mkoani Mara wamekataa mpango wa Serikali kubadili Shule hiyo ili...
READ MOREUNYAMA! MWILI wa mtoto mchanga umekutwa ukielea juu ya maji katika ukingo wa mto eneo la Tandale Chama jijini asubuhi...
READ MOREMwalimu wa Shule ya Msingi Magemo iliyopo Webuye, Kaunti ya Bungoma nchini Kenya, Wycliffe Akeve amejichoma kwa moto katika jaribio...
READ MORECHAMA cha wamiliki wa malori wadogo na wakati nchini TAMSTOA kimeziweka mtu taasisi za serikali wanazofanya nazo kazi...
READ MOREWizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuongezeka kwa idadi ya watu wenye dalili za kukohoa,...
READ MOREKonstebo wa Polisi, Ramadhani Khalfan Said amefukuzwa kazi kwa kwenda kinyume na mwenendo mema wa Jeshi la Polisi Tanzania baada...
READ MOREKamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imewaitaka wabunge wake, Humphrey Polepole, Jerry Silaa na Askofu Josephat Gwajima kuwasikiliza kutokana...
READ MOREJINA la mshambuliaji wa Mkongomani, Fabrice Ngoma anayekipiga Klabu ya Raja Casablanca ya nchini Morocco limeingia kwenye orodha ya washambuliaji...
READ MOREZaidi ya Wanajeshi Wanamaji 100 wa Marekani wameondolewa jeshini kwa kukataa kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19 chini ya agizo la...
READ MOREChina imelaani uamuzi wa Marekani wa kuorodhesha kampuni na taasisi zake 34 kuwa zinatengeneza silaha za “kudhibiti ubongo” ikitaja madai...
READ MOREWAZIRI wa Nchi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amesema kuwa likizo ni haki ya mtumishi...
READ MORESerikali ya Korea Kaskazini imepiga marufuku Wananchi wake kucheka, kunywa pombe na kufanya sherehe yoyote kwa muda wa Siku 11...
READ MOREKiongozi Mkuu wa ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe amesema alipimwa na kukutwa Virusi vya Corona (COVID 19) baada ya kupatwa...
READ MOREMBUNGE Humphrey Polepole amesema kazi ya kusema ukweli ina safari kidogo lakini hatokatishwa tamaa na uamuzi wa Kamati ya...
READ MOREJESHI la Polisi mkoani Geita limelazimika kufukua kaburi la mtoto aliyefariki dunia katika Hospitali ya wilaya ya Geita kwa ugonjwa...
READ MOREViongozi wakuu wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wamemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...
READ MOREKAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa...
READ MOREMawaziri wawili wa Tanzania, ni miongoni mwa wahitimu 42 waliotunikiwa shahada ya udaktari wa Falsafa (Phd) katika Chuo Kikuu cha...
READ MOREKARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi..
READ MORE GLOBALJAMII wiki hii na Daniel Joseph (26) Mkazi wa Dar es salaam ambaye amepoteza muonekano wake halisia baada kupata...
READ MOREKARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...
READ MOREJESHI la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa 15 kwa tuhuma za kuuza jezi feki kutoka katika mikoa ya Dodoma, Dar...
READ MOREMwanaume mmoja, Paul Murage mkazi wa Gichugu, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya, anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo akituhumiwa...
READ MOREKASISI wa Kanisa moja huko Abeokuta katika Jimbo la Ogun nchini Nigeria, Peter Taiwo amejitetea kuwa hakumbaka mwanakwaya mwenye umri...
READ MOREWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula leo Desemba 16, 2021 amewasili nchini Uturuki...
READ MOREWATU tisa wamefariki papohapo akiwemo mtayarishaji wa Muziki kutoka Puerto Rico, Jose Angel Hernandez ama Flow La Movie baada ya...
READ MOREWATU wawili wamefariki Dunia katika ajali iliyohusisha Malori mawili iliyotokea eneo la Mkambarani barabara ya Morogoro – Dar es alam...
READ MOREKESI inayowakabili vijana wawili wakazi wa Jijini Dar es Salaam, Said Shewali na Salum Athumani ya kusafirisha dawa za kulevya...
READ MOREMWANAUME mmoja nchini Nigeria Simon Odo (74) maarufu kama ‘Mfalme wa Shetani’ amezikwa ndani ya gari katika Kijiji chake kusini...
READ MOREDirisha dogo la usajili kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara, Championship, Ligi daraja la kwanza na Ligi Kuu ya...
READ MOREKATIKA kuboresha huduma ya afya nchini, Serikali imenuia kuitenga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kutoka...
READ MOREWaziri wa Maji Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mpanda...
READ MOREKAIMU Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Maketi Msangi amefafanua tukio la kudondoka kwa ndege katika ziwa Victoria takribani mita...
READ MORE