×

Habari

Rais Samia Akutana Na Rais Botswana Ikulu Dar (Picha +Video)

Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10 Juni, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt....

READ MORE

Madiwani wa Buchosa Watembelea Bungeni, Shigongo Awapokea

Madiwani mbalimbali wa kata zilizopo Jimbo la Buchosa, Sengerema mkoani Mwanza, leo Alhamisi Juni 10, 2021 wametembelea Bunge la Jamhuri...

READ MORE

Wahamiaji Haramu 53 Kurejeshwa Makwao

IDARA ya uhamiaji Mkoa wa katavi inawashikilia jumla ya wahamiaji haramu 58 kutoka nchi ya Afrika Kusini, Burundi na Zambia...

READ MORE

Rais Wa Botswana Awasili Nchini Kwa Ziara Ya Siku Mbili (Picha +Video)

  Rais wa Botswana, Dk. Mokgweetsi Masisi amewasili nchini leo Juni 10, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili...

READ MORE

Ndugu Wawili Wakaa Baharini Siku 21, Waokotwa

RAIA wawili wa Comoro wameokotwa katika bahari ya Hindi ukanda wa Msuka Wilayani Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa na...

READ MORE

Nafasi za Masomo Kidato cha Tano St. Marcus HGL, HGK na HKL

Uongozi wa Shule za Shule za St. Marcus zilizopo Iwambi jijini Mbeya unawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha cha...

READ MORE

Sarafu ya Dhahabu Yauzwa Kwa Dola Milioni 20

Sarafu ya dhahabu iliyoundwa nchini Marekani mwaka wa 1993 imeuzwa mnadani kwa takriban dola milioni 20 ,kiasi kikubwa sana kilichowahi...

READ MORE

Straika Kaizer Chiefs Afunguka Kutua Yanga

MSHAMBULIAJI wa Kaizer Chiefs, Mzambia, Lazarus Kambole, amefunguka kuwa hajui chochote juu ya kutakiwa na Yanga lakini amesisitiza kwa upande...

READ MORE

Mama Ajifungua Watoto 10 Avunja Rekodi Duniani -Video

Mwanamke aitwaye Gosiame Thamara raia wa Afrika Kusini amejifungua watoto 10 kwa mpigo na kuvunja rekodi ya dunia ambayo ilikuwa...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Amteua Jaffar Haniu Achukua Nafasi ya Msigwa Ikulu -Video

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Jaffar Mohamed Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu), akichukua nafasi ya Gerson Msigwa...

READ MORE

Ndalichako : Elimu ya Watu Wazima Ipewe Kipaumbele

WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, ametoa wito kwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Viongozi Kuaga Mwili wa Mzindakaya

Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 9, 2021 ameongoza viongozi kuaga mwili wa Mwanasiasa mkongwe marehemu Chrisant Majiyatanga Mzindakaya katika...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Akutana na Viongozi Wa Dini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi  leo Juni 9, 2021 amezungumza na Viongozi wa...

READ MORE

Rais wa Botswana Kufanya Ziara Nchini-Video

  WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula, amesema kuwa Rais wa Botswana Mokgweetsi...

READ MORE

Waziri Mhagama Ashiriki Mkutano wa 109 Wa Nchi Wanachama ILO

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista...

READ MORE

Somo la Elimu kwa Michezo Kufundishwa kwa Wanafunzi Wote Nchini

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameelekeza somo la Elimu kwa Michezo lifundishwe kwa wanafunzi...

READ MORE

Rais Samia Amteua Mtendaji Mkuu wa NMB Kuchakata Haki za Wanawake Kiuchumi

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth...

READ MORE

Rais Samia Ateua Mwenyekiti wa Bodi ya CBE

Rais Samia leo Juni 8, 2021 amemteua Prof. Eleuther Alphonce Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya...

READ MORE

RC Makalla Atoa Masaa Mwanaume Aliyemtapeli Mpenzi Wake -Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Amos Makalla umempa masaa mwanamme mmoja anayedaiwa kumdhurumu mpenzi wake kiwanja na...

READ MORE

Majaliwa: Somo La Michezo Lifundishwe Kwa Wanafunzi Wote

Waziri Mkuu ameagiza ufundishaji  wa somo la Elimu kwa Michezo ufanyike kwa wanafunzi wote katika Shule za Msingi na kuhamasisha...

READ MORE

Mzindakaya Kuzikwa Sumbawanga Alhamisi

Mwili wa mwanasiasa mkongwe, Dk. Chrisant Mzindakaya aliyefariki jana katika Hospitali ya Muhimbili alikokuwa akitibiwa, unatarajiwa kuzikwa Alhamisi Juni 10,...

READ MORE

Rais Samia Ahimiza Wanawake Kufikia Hamsini Kwa Hamsini -Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahimiza wanawake wote nchini kuhakikisha wanamuunga mkono kwa kufanya kazi...

READ MORE

Weka Kete Kwenye Namba Zako Za Bahati Kwenye Sloti European Roulette

Sloti ya European Roulette Ukiwa unaelekea mwisho wa wiki yako, pitia duka la Meridianbet ili uweze kujiweka kwenye nafasi ya...

READ MORE

Karia: Huniambii kitu kwa Ninja…

RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia amefunguka kuwa timu za Simba na Yanga ndizo zinampa heshima kubwa...

READ MORE

Yanga Yaweka Mtego kwa Meddie Kagere

YANGA imeiwekea mtego kwa Simba ambao kama ukifyatuka basi itanufaika kwa kuipata saini ya mshambuliaji Mnyarwanda, Meddie Kagere.Mnyarwanda huyo hivi...

READ MORE

Tanzia: Mwanasiasa Mkongwe Mizindakaya Afariki Dunia

MWANASIASA mkongwe nchini Dkt. Chrisant Majiyatanga Mzindakaya amefariki dunia leo  jioni Juni 7, katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili mkoani...

READ MORE

Padri Akamatwa kwa Kusali, Kupinga Utoaji Mimba

WATU wanne wamekamatwa nchini Marekani akiwamo Padre Fidelis Moscinski kutoka Shirika la Wakatoliki la Wafransiska –CFR baada ya kuandamana kuelekea...

READ MORE

Prof.Ndalichako Akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia

Waziri Wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, leo Juni 7, 2021 Jijini Dodoma amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa...

READ MORE

HESLB Kufungua Dirisha la Maombi ya Mikopo Ya Wanafunzi Elimu ya Juu Julai Mosi

  BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuwa dirisha la maombi ya mikopo kwa wanafunzi...

READ MORE

Waziri Ndalichako Atoa Onyo Kali

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema ni marufuku kumfukuza mwanafunzi shule wakati wa utekelezaji wa waraka...

READ MORE

Fahamu Utajiri wa T.B Joshua

  ULIMWENGU wa kiroho umegubikwa na simanzi kufuatia kifo cha aliyekuwa mhubiri wa kimataifa, T. B Joshua, kubwa zaidi linalozungumzwa...

READ MORE

Watu 30 Wafariki kwa Ajali ya Treni

TRENI mbili za abiria zimegongana nchini Pakistan  na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 30, huku wengine zaidi ya 100...

READ MORE

Rais Museveni Atangaza kufunga Shule na Magulio

RAIS wa Uganda Yoweri Museveni jana Juni 6, ametangaza viziuzi vipya vya kupambanana na ugonjwa wa corona kwa siku 42,...

READ MORE

Mrithi wa Carlinhos Aanza Kusakwa Yanga

UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kuwa, utaingia chimbo kumtafuta mbadala wa nyota wao, Carlos Carlinhos, raia wa Angola ambaye hivi...

READ MORE

Benki ya Dunia Kuipa Tanzania Mkopo wa Tril. 2

BODI ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mikopo minne yenye masharti nafuu yenye jumla ya dola za Marekani bilioni...

READ MORE

Pambano la Mayweather, Logan Hakuna Mshindi

PAMBANO kati ya  Floyd Mayweather na Logan Paul 26   limemaliza roundi zote nane na hakuna mshindi, kwa kuwa pambano hilo...

READ MORE

Tanzia: Mmiliki Wa Songoro Merine Afariki Dunia

Mmiliki wa Kampuni ya Songoro Marine Ilemela ya jijini Mwanza, Saleh Songoro, amefariki dunia jioni ya Juni 6, 2021 jijini...

READ MORE

NMB, NHIF Kuwawezesha Wakulima Nchini Kujiunga na Bima ya Afya

Benki ya NMB na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wameingia makubaliano rasmi ya kuwawezesha wakulima walioko ndani...

READ MORE

Korosho Za Mtwara, Lindi Na Ruvuma Kusafirishwa

  Waziri Mkuu amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameagiza korosho zote zinazozalishwa...

READ MORE

Tb Joshua Miezi 15 Tumboni

WAKATI simanzi ikiwa imetawala kufuatia kifo cha Mhubiri wa Kimataifa wa Nigeria, T.B Joshua, taarifa ikufikie kwamba miongoni mwa stori...

READ MORE