×

Habari

Safari ya Mwisho ya Prof. Ndulu

Ndugu, jamaa na marafiki, wakiaga mwili wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu (71), katika...

READ MORE

Wizara Yahimiza Watanzania Kufanya Utalii wa Ndani

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja, amewataka wananchi kuweka utaratibu wa kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini na...

READ MORE

Shigongo Awacharukia TARURA Kikaoni – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo,  amecharuka katika kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Buchosa...

READ MORE

Wafanyabiashara 6 Kizimbani Tuhuma za Kuhujumu Uchumi

WAFANYABIASHARA sita leo Februari 25, wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi likiwemo...

READ MORE

Shigongo Aingia Darasani Kufundisha Biology Fomu 4 & 6 – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ameamua kuingia darasani na kufundisha somo la Biology kwa wanafunzi wa...

READ MORE

Shigongo Apokea Mabomba Mradi wa Maji Buchosa – Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amepokea mabomba 300 awamu ya kwanza kwa ajili ya kukamilisha mradi wa...

READ MORE

Shigongo Apokea Vitanda vya Wagonjwa Buchosa – Video

MBUNGE  wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amepokea vitanda vitano kutoka Hospital ya Tanzanite iliyoko Iseni jijini Mwanza kwa...

READ MORE

ACT Wazalendo Yafunguka Sakata la Membe “Hatujutii”

Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa aliyewahi kuwa mshauri wa chama hicho Bernard Membe, aliondoka...

READ MORE

Tiger Woods Afanyiwa Upasuaji wa Mguu

NYOTA maarufu wa mchezo wa gofu, Tiger Woods, amefanyiwa upasuaji wa mguu wake wa kulia baada ya kupata ajali mbaya...

READ MORE

JPM Awaonya Wanahabari Kuhusu ‘Vigogo Kupukutika’ – Video

  RAIS  John Magufuli ametoa wito kwa vyombo vya habari kuripoti habari na matukio kwa weledi badala ya kuripoti taarifa...

READ MORE

JPM Aomba Ngoma ya Stamina Ft. Prof. Jay – Video

RAIS John Magufuli, ameufagilia na kuomba apigiwe wimbo ulioimbwa na Professor Jay na Stamina, wenye ujumbe unaomsema baba aliyeshindwa kutimiza...

READ MORE

Kumbilamoto Meya Mpya Jiji la Dar – Video

RAIS John Magufuli amesema Halmashauri ya Manispaa ya Ilala inastahili kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, na haijapendelewa...

READ MORE

Breaking: Mdee Huru Madai ya Lugha Chafu Dhidi ya Rais

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuacha huru Mbunge wa Viti Maalumu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Halima Mdee, baada...

READ MORE

JPM: Waliniambia Dkt. Bashiru ni CUF – Video

  Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Magufuli amesema wakati Katibu Mkuu wa chama...

READ MORE

JPM Azindua Jitegemee House “Ufisadi Uliota Mizizi” – Video

  Rais Magufuli amezindua Jengo la Jitegemee (Jitegemee House) na Studio za Channel Ten Plus, Radio Magic FM na Radio...

READ MORE

Benki ya CRDB Yazindua App Mpya ya SimBanking – Video

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndungulile,  Februari 24, 2021, amezindua mfumo mpya wa Simu Banking wa Benki...

READ MORE

Bibi Aliyetelekezwa na Wanae Ashukuru, Aongea Machungu – Video

KIKONGWE wa kike aliyewahi kuripotiwa na Global TV hivi karibuni kutelekezwa na wanae, ametoa neno la shukurani kwa Wasamaria wema...

READ MORE

Binti Amuua Mpenzi Wake, Baba Yake Ajinyonga – Video

BINTI mmoja nchini Uganda amemuua mpenzi wake kwa kumkata kata mapanga akidai kuwa amesikia kuwa mpenzi wake huyo alikuwa muathirika...

READ MORE

Mkutano wa 21 wa Wakuu Nchi EAC Kufanyika Feb 27

Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki umepangwa kufanyika Jumamosi, 27 Februari, 2021 kwa njia...

READ MORE

Wanachuo wa SUA, Wasogezewa Tawi Jipya la Nmb

Benki ya NMB imeendelea kupanua wigo wake kwa kufungua tawi ‘NMB SUA’ katika Chuo Kikuu Cha Sokoine Mkoani Morogoro. Ufunguzi...

READ MORE

Kizimbani kwa Kulima, Kusafirisha Bangi

RAIA wawili wa  Poland, Damien Jankowski na  Krzysztof pamoja na  watanzania watatu leo Februari 24 wamefikishwa  mahakama ya hakimu mkazi...

READ MORE

Kijana Auawa Bar Kisa Mwanamke

Jeshi la Polisi mkoa wa mwanza linawashikilia watu watano kwa tuhuma za makosa mbalimbali ya kiuhalifu ikiwemo mauaji.   Tukio...

READ MORE

Mahakama Yaamuru Mwanaume Kumlipa Mkewe kwa Kazi za Nyumbani

MAHAKAMA ya talaka ya Beijing imemuamuru mwanaume kumlipa fidia mke wake kwa kazi alizofanya katika kipindi chote walichooana, katika uamuzi...

READ MORE

Simbachawene Avionya Vyombo vya Habari vya Kenya

BALOZI  wa Tanzania nchini Kenya Dkt. John Simbachawene, amevitaka vyombo vya habari vya nchini Kenya kuripoti taarifa zenye uhakika kuhusu...

READ MORE

Kilimanjaro: Nzige Wamtesa Waziri, Naibu

Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda na naibu wake, Hussein Bashe wamewasili wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro kusimamia shughuli ya...

READ MORE

Magufuli: Nimewahi Kuwa Dereva Teksi – Video

  Rais John Magufuli amesema kazi anayofanya ina changamoto zake kwa kuwa anatamani kuendesha gari lakini anazuiwa na ametoboa siri...

READ MORE

Ulikuwa Uamuzi Mgumu Kujenga Ubungo Interchange – Mkumbo

Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais (Uwekezaji) ambaye pia ni mbunge wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo amesimulia namna uamuzi mgumu...

READ MORE

Rais Afunguka Watu Walivyokufa Ubungo – Video

  RAIS John Magufuli amesema kabla ya ujenzi wa daraja la juu la Ubungo ‘Kijazi Interchange’ eneo hilo lilikuwa chanzo...

READ MORE

RC Mghwira Awatuhumu Baadhi ya Polisi Rombo

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amewashukia baadhi ya askari polisi wilayani Rombo kwa madai ya kujihusisha na kumiliki...

READ MORE

JPM Kulivunja Jiji la Dar – Video

RAIS John Magufuli amesema Serikali ina mpango wa kuvunja Jiji la Dar es Salaam na kuchagua manispaa moja katika jiji...

READ MORE

Magufuli: Machinga, Mama Ntilie Wasifukuzwe Stendi – Video

RAIS  John Magufuli amezindua Kituo Kikuu cha Kimataifa cha Mabasi cha Dar es Salaam, kilichopo Mbezi-Luis, leo Jumatano, februari 24,...

READ MORE

Dkt. Tulia: Nimeugua Corona, Kutovaa Barakoa Si Sababu – Video

NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amewahi kuugua ugonjwa wa corona...

READ MORE

Elon Musk Apoteza Taji la Tajiri Zaidi Duniani

ELON MUSK  amepoteza taji lake la kuwa mtu tajiri zaidi duniani baada ya thamani ya hisa za kampuni yake ya...

READ MORE

Magufuli Azindua Ubungo Interchange, Dar – Video

RAIS John Magufuli amefanya uzinduzi wa daraja la juu la Ubungo lililopewa jina la aliyekuwa katibu mkuu kiongozi, Balozi John...

READ MORE

Mwili wa Balozi wa Italia Waagwa DRC

GAVANA wa Kivu Kaskazini, Carly Nzanzu, na Mshauri Mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameongoza maafisa...

READ MORE

Mtandao wa Spotify Kuzinduliwa Afrika Mashariki

MTANDAO  wa Spotify unatarajiwa kuzindua huduma zake katika masoko 85 mapya katika hatua ambayo itawafikia watu zaidi ya bilioni moja....

READ MORE

Tanzia: Waziri Sonyo Afariki Dunia

MWIMBAJI nyota wa muziki wa dansi, Waziri Sonyo amefariki dunia jana saa 3 usiku Feb 23, 2021 baada ya kutoka...

READ MORE

Tiger Woods Anusurika Kifo Ajalini

MCHEZAJI maarufu wa Golf, Tiger Woods, amepata ajali baada ya gari lake kupinduka wakati akiendesha mwenyewe nje kidogo ya jiji...

READ MORE

Tanzania, Sauzi, Nigeria… Marufuku Kuingia Oman

WASAFIRI wanaoingia Oman kutoka nchi 10 wamepigwa marufuku  kuingia nchini humo. Nchi zilizopigwa marufuku ni Tanzania Afrika Kusini, Lebanon, Sudan,...

READ MORE