×

Habari

Rais Magufuli Alivyougua Mpaka Kufariki – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amefariki dunia Machi 17, 2021 katika Hospitali ya Mzena jijini...

READ MORE

LIVE: Tanzania Yazizima,Vilio Kila Kona Kifo cha JPM

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Katiba ya Tanzania Inasemaje Rais Akifariki Dunia?

Baada ya Rais wa Tanzania John Magufuli kufariki dunia, hakuna uchaguzi mwingine unaofanyika badala yake, Makamu wa Rais, Samia Suluhu...

READ MORE

Mkazi wa Tanga Asepa na Lifan Cargo Ya Nmb

Benki ya NMB kupitia kampeni yake ya Bonge la Mpango imekabidhi zawadi ya pikipiki ya miguu mitatu aina ya Lifan...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli Afariki Dunia – Video

    BREAKING NEWS: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (61) amefariki dunia majira ya...

READ MORE

Polisi Dar Yageukia Biashara ya Binadamu

  Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limeanza kuweka mikakati kwa kushirikiana na jamii kukomesha biashara ya binadamu inayoendelea...

READ MORE

Mahakama Yavunja Ndoa Baada ya Wanandoa Kutengana Kwa Miaka 10

Mahakama ya Mwanzo Buguruni Jijini Dar es Salam leo Machi 17, 2021 imevunja ndoa ya Magreth Silaeli (37) Mkazi wa...

READ MORE

Daraja Labomoka Baada ya Tu Kukamilika

  Daraja linalounganisha Tarafa za Bulambya na Undali, lililopo wilaya ya Ileje mkoani Songwe, limezidi kuzua taharuki baada ya kujengwa...

READ MORE

Wanamgambo ‘Wawakata Vichwa Watoto’

KWA mujibu wa Shirika la Kimataifa la Save the Children linasema watoto wadogo wa hadi miaka 11 wanauawa kwa kuchinjwa...

READ MORE

Mabaki ya Kipekee ya Biblia Yapatikana Pangoni

MABAKI ya machapisho ya Biblia ya kale imepatikana katika kile maafisa wametaja kuwa “uvumbuzi wa kihistoria” katika mapango ya jangwani...

READ MORE

Sakata la Bandari ya Kenya Kunyakuliwa na China Kisa Deni Liko Hivi

WAZIRI wa Fedha wa Kenya, Ukur Yatani, amepinga ripoti zinazoashiria kwamba Bandari Kuu ya Kenya huenda ikachukuliwa na China ikiwa...

READ MORE

Korea Kaskazini Yaionya Marekani

Dada mwenye ushawishi mkubwa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, Kim Yo Jong ameikosoa hatua inayoendelea ya mazoezi...

READ MORE

Watu 50 Wauawa Katika Shambulio Niger

Watu 58 wameuawa nchini Niger baada ya shambulio lililotokea katika mpaka wa Mali, mamlaka imeeleza. Wanaume wenye silaha walikuwa kwenye magari...

READ MORE

Wazee wa Kusafirisha Vinyonga Watiwa Mmbaroni, Kesi ya Uhujumu Uchumi

WAFANYABIASHARA watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kujihusisha na biashara wa nyara...

READ MORE

Wanaodaiwa Kusafirisha Vinyonga Yawakuta

WAFANYABIASHARA watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kujihusisha na biashara wa nyara...

READ MORE

Njombe: Vyombo vya Ibada Vyaibiwa Parokiani

Vifaa vya vitumikavyo kwenye ibada, vilivyokuwa vimechukuliwa na watu wasiojulikana Parokiani Wanging’ombe mkoani Njombe, vimepatikana vyote siku ya jana 15.03.2021...

READ MORE

Makamu wa Rais aendelea na Ziara Muheza na Pangani Tanga

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Machi 16, 2021 yupo Mkoani Tanga...

READ MORE

Mwandishi wa Habari Aliyepotea Akutwa Ameuawa Msituni

  MWANAHABARI Mkongwe Nchini Kenya, Jennifer Itumbi amepatikana akiwa ameuawa baada ya kutoweka kwa siku 3, huku uchunguzi ukionyesha kwamba...

READ MORE

Aliyemuua Mumewe Ahukumiwa Jela Siku 1, Mwenyewe Ashangaa

MWANAMKE mmoja kutoka Kaunti ya Siaya ambaye ameingia kwenye headlines kwa kufungwa jela kwa siku moja baada ya kukutwa na...

READ MORE

Simba Watamba Kuwapiga Al Merrikh Mapema Leo

“TUNAWAPIGA mapema.” Hiyo ni kauli ya Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes raia wa Ufaransa kuelekea mchezo wa leo Jumanne...

READ MORE

Mtoto wa Jay Z, Beyonce Atwaa Tuzo ya Grammy

MTOTO wa nyoka ni nyoka, msemo huo umetimia baada ya mtoto wa Wanamuziki matajiri duniani, Jay Z na Beyonce, Blue...

READ MORE

Grammy Yaitaja ‘African Giant’ ya Burna Boy Kuwa Bora Afrika

  Burna Boy, ambaye jina lake halisi ni Damini Ogulu, ambaye ameshiriki kwa mwaka wa pili ameshinda katika albamu yake...

READ MORE

Avuliwa Uchungaji Akidaiwa Kumpa Mimba Muumini Wake

MCHUNGAJI msaidizi wa Kanisa la Ufunuo Ushirombo lililopo wilayani Bukombe mkoani Geita, Maliko Elikana amevuliwa wadhifa wa uchungaji na kuwa...

READ MORE

Naibu Waziri: Wafungwa, Rais Magufuli Anawategemea

SERIKALI imewaasa wafungwa wote nchini kuzidisha kufanya ibada sambamba na kuzidisha kumuomba Mungu ili wakitoka waende kuwa raia wema pamoja...

READ MORE

Meya wa Dar Afunguka Jiji Jipya Linavyotofautiana na Jiji la Zamani – Video

MEYA mpya wa Jiji la Dar es Salaam, zamani Halmashauri ya Ilala amesema mipaka ya jiji hilo linaishia kwenye mipaka...

READ MORE

NMB Yawapokea Rasmi Waliokuwa Wafanyakazi wa Benki ya Kibiashara ya China

Benki ya NMB imewapokea rasmi waliokuwa wafanyakazi wa Benki ya Biashara ya China (China Commercial Bank) ambayo umiliki wake ilikabidhiwa...

READ MORE

Shigongo Ashuhudia Kambi ya Wavuvi Ilivyotekea, Mmoja Afariki, Mamia Wapoteza Makazi

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe Eric Shigongo, amewatembelea wahanga wa moto kambi ya uvuvi ya Migongo iliyoko...

READ MORE

Wanne Mbaroni kwa Kusambaza ‘Uvumi wa Kuugua Rais Magufuli’

WATU wanne wamekamatwa katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania kwa madai ya kusambaza habari za uvumi kwenye mitandao ya kijamii kuwa...

READ MORE

Museveni Amshutumu Bobi Wine Kuiba Kura

KWA mara ya kwanza Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekituhumu chama cha siasa cha NUP kwa kuhusika na vitendo vya...

READ MORE

Makamu wa Rais Samia Aanza Ziara Tanga

    Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya kikazi ya...

READ MORE

Bobi Wine Akamatwa Polisi, Waandamanaji Wafyatuliwa Mabomu

MWANASIASA wa Uganda ambaye pia alikuwa mgombea urais wa chama cha upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, amekamatwa katika...

READ MORE

Mafunzo ya Matumizi Salama ya Teknolojia ya Nyuklia Yatolewa Kitaifa

  Tume ya  Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) inaendesha mafunzo ya kitaifa juu ya matumizi salama ya teknolojia ya nyuklia...

READ MORE

Wawili Mbaroni kwa Kuzusha Viongozi Wagonjwa

JESHI  la Polisi mkoa Kilimanjaro limemkamata na kumshikilia Peter Pius Silayo (miaka 30), mkazi wa Tegeta Dar es Salaam aliyekamatwa...

READ MORE

Museveni: Naendelea Kufikiria Chanjo Nzuri ya Kuchoma

Rais wa Uganda’ Yoweri Museveni amesema bado anaangalia ni chanjo ipi atakayochomwa, siku chache baada serikali yake kuanza kutoa chanjo...

READ MORE

Mama Samia: Rais Magufuli Anawasalimia Sana – Video

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan amewatoa hofu Watanzania wote kutokana...

READ MORE

Kamati ya Bunge Viwanda na Biashara Yatembelea Kiwanda Cha Chai

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe, David Kienzile (Mb) ameongoza kamati ya kudumu...

READ MORE

Kifo cha Mmiliki wa Hoteli ya Snowcrest, Mtoto Afunguka – Video

MFANYABIASHARA Lucas Wilium Mollel ambye pia ni Mmiliki wa Hoteli ya kifahari ya Snowcrest aliyefariki siku ya Alhamisi, Machi 11,...

READ MORE

Kesi ya Kambole Kufutwa Uwakili Kuanza Kujadiliwa Leo

Mwanasheria Mkuu wa Serikali alifungua kesi dhidi ya Mawakili Jebra Kambole na Edson Kitalu akitaka wafutwe Uwakili kwa madai ya...

READ MORE

Marufuku Wafungwa kutumika kwa Kazi Binafsi

Serikali imepiga marufuku wafungwa kutoka Magereza mbalimbali nchini kutumika katika kazi binafsi isipokuwa kwa kufuata utaratibu unaotambulika kisheria.    ...

READ MORE

Mwambusi Afunga Mjadala wa Kocha Yanga

WAKATI Yanga ikisaka kocha mkuu mpya, taarifa zinasema kwamba, Kaimu Kocha Mkuu timu hiyo, Juma Mwambusi, amekuwa kwenye vikao vya...

READ MORE