×

Habari

JPM Amwapisha Mrithi wa Makonda na Viongozi Wengine -(Picha + Video)

  Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo Julai 16, 2020 alifanya uteuzi wa...

READ MORE

NBC Kuendelea Kuwainua Wajasiriamali

      BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imewataka wajasiriamali kutumia huduma bora  za kibenki za NBC ili kunufaika...

READ MORE

Ndosi Naye Achukua Fomu Kibaha Mjini

  Mwanasheria na Mwanadiplomasia, Deogratius Ndosi, jana Julai 15 alichukua fomu ya kutia nia ya kugombea ubunge, Jimbo la Kibaha...

READ MORE

Benki ya NMB Yashinda Tuzo ya Kimataifa ya Benki bora Tanzania mara Nane Mfululizo

  Benki ya NMB imekuwa benki bora nchini Tanzania kwa mara ya nane mfululizo baada ya kuzibwaga benki zingine 40...

READ MORE

Naibu Waziri Mgumba Atembelea Shamba la Miwa la Mkulazi

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba amefanya ziara ya siku mbili Mkoani Morogoro kukagua Miradi ya maendeleo iliyo chini...

READ MORE

Polisi Achezea ‘Kichapo’ Kisa Kuvaa Barakoa

Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Mombasa nchini Kenya, wamezua vurugu na kuanza kumchapa polisi mmoja kichapo cha ‘mbwa mwitu’...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa RC Makonda

Rais Dkt. John Magufuli amemteua Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar akichukua nafasi ya Paul Makonda. Kabla ya...

READ MORE

Mama Salma Kikwete Ajitosa Ubunge Mchinga

MAMA Salma, Mke wa Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

SADC Yazipongeza Tanzania na Mauritius Kupanda Kiuchumi

  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imezipongeza nchi za Tanzania na Mauritius kwa kufanikiwa kuingia katika uchumi wa...

READ MORE

Mshindi Baba Lao: Nilidhani Matapeli, Leo Nimekabidhiwa Gari – Video

  HATIMAYE lile Shindano la promosheni ya  #ChomokaNaGari2020  #BabaLao, aina ya Toyota FunCargo limetamatika baada ya mshindi wa bahati nasibu...

READ MORE

Majaliwa Achukua Fomu Kutetea Jimbo Lake

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akifuatana na mkewe, Mary Majaliwa, amechukua fomu za kuwania tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa,...

READ MORE

Manara Ampa Kigelegele Yanga Elfu 40, Kila Bao Buku 10 – Video

MSEFMAJI  wa Klabu ya Soka ya Simba, Haji Manara, ametoa kiasi cha fedha Tsh 40,000 kwa shabiki wa Yanga, Nyambese...

READ MORE

Makonda Kuwania Ubunge Kigamboni

MKUU  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo Julai 15, 2020,  amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania...

READ MORE

Vodacom Tanzania Foundation yatoa zawadi kwa washindi wa mashindano ya Kitaifa ya teknolojia na Ubunifu (MAKISATU 2020)

Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati ,Grace Chambua (kulia)akiwa na Naibu Waziri Wizara  ya Elimu,Sayansi na Teknolojia ,William Ole Nasha...

READ MORE

Video: Mzee Yusuph Arejea Stejini | Katambuga

 ALIYEKUWA  mwanamuziki wa nyimbo za taarab nchini, na akaacha kwa muda, Mzee Yusuph, leo Juni 15, 2020, amesema ametenga...

READ MORE

Walioshinda Kura za Maoni za Ubunge Chadema

  WASHINDI  wa uchaguzi kwenye kura za maoni za ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) waliopita kwenye...

READ MORE

Watu 140 Wafariki kwa Mafuriko China

SERIKALI imesema mafuriko mabaya zaidi kutokea ndani ya miaka zaidi ya 30 nchini China  yamesababisha vifo vya watu takriban 140,...

READ MORE

Serikali Yapinga Wadhamini wa Lissu Kujiondoa

UPANDE wa Mashitaka umewasilisha pingamizi la awali katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kupinga maombi yaliyowasilishwa na wadhamini wa aliyekuwa...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kusakwa Nyumba kwa Nyumba

KUFUATIA ongezeko la visa na vifo nchini Ufilipino, Polisi pamoja na Mamlaka zitaendesha msako wa nyumba kwa nyumba kwa lengo...

READ MORE

Mnyika ‘Aukacha’ Ubunge, Mgawe Ashinda Kibamba

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John  Mnyika, “ameutema rasmi” ubunge wake, katika jimbo la Kibamba jijini...

READ MORE

Dkt. Mwakyembe Atekeleza Agizo la JPM Kuhusu COSOTA

KUFUATIA agizo la Rais Dk. Magufuli la kutaka Chama cha Haki Miliki Tanzania (COSOTA) kuhamishwa kutoka katika Wizara ya Viwanda...

READ MORE

Mbaroni kwa Kusafirisha Shehena ya Madawa ya Binadamu

Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Fredrick Anaclet Maxmilian (38) mkazi wa Mbagala Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma ya...

READ MORE

Video: Tarimba Abbasi Achukua Fomu Ya Ubunge Kinondoni

Diwani wa Kata ya Hananasif Kinondoni, Tarimba Abbasi leo Julai 14, 2020 amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama cha...

READ MORE

VIDEO : Mrisho Gambo Achukua Fomu, Ubunge Arusha Mjini

Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, leo amechukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo la Arusha Mjini, kupitia...

READ MORE

Msuva Akataaofa China, Aitaka Ligi Ya Uingereza

KIUNGO mshambuliaji Mtanzania anayekipiga Klabu ya Difaa El Jadida ya nchini Morocco, Simon Msuva, amesema amepokea ofa nyingi na kati...

READ MORE

Mwanamke wa Kwanza Mmarekani Mweusi Kuendesha Ndege ya Kivita ya Wanamaji

LUTENI Jenerali Madeline Swegle amekuwa mwanamke wa kwanza Mmarekani mweusi kuendesha ndege ya kivita inayotumiwa na kikosi cha wanamaji cha...

READ MORE

Mauaji ya Watoto , SHAMBABOI : Baba Mzazi/Mwenyekiti Wasimulia

Miongoni mwa matukio ya kutisha kwa mwaka huu ni tukio la mauaji lililotokea mkoa wa Pwani, ambapo Shamba Boi Yasin...

READ MORE

Makamu wa Rais Ajiuzulu Baada ya Waziri Mkuu Kufariki

SIKU chache baada ya kifo cha ghafla cha Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Gon Coulibaly, Makamu wa Rais wa...

READ MORE

Mgonjwa wa Kwanza wa Corona aKuishtaki Serikali

Osma Shariff, mtu wa kwanza kuthibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) nchini Kenya katika Kaunti ya Isiolo,...

READ MORE

Ahukumiwa Kunyongwa kwa Kumuua Mke Wake na Watoto Wawili

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Sumbawanga imemhukumu, Yustine Robart (35) kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuuwa mkewe,...

READ MORE

Wazazi 35 Mbaroni kwa Kuwafundisha Ngono Watoto wa Miaka 8

JUMLA ya wazazi 35 wa Kata ya Nalasi wilayani Tunduru wamekatwa baada ya kukukutwa wakiwafundisha watoto wa kike walio chini...

READ MORE

PICHA : Rais JPM amkaribisha Lowassa Ikulu, Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli amemualika waziri Mkuu mstaafu, Edward...

READ MORE

VODACOM TANZANIA WAIPONGEZA SIMBA KUTWAA UBINGWA VPL

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiongozwa na Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni hiyo, Linda Riwa (mwenye fulana nyeusi) wakiwa kwenye picha...

READ MORE

Polepole Aanika Utaratibu wa Kumpata Mgombea Ubunge CCM – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa katibu wa Itikadi na uenezei wa Chama hicho, Humprey Polepole kimetoa utaratibu na ratiba...

READ MORE

Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi msaada wa vifaa kwa watoto Njiti, Hospitali ya Muriet jijini Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo(kulia) akimsikiliza Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Kaskazini, George Venanty(mwenye fulana nyekundu)...

READ MORE

Bwana Harusi Apata Ajali Kabla ya Shughuli, Ndoa Yafungwa Hospitali

Ukiambiwa uelezee ni mambo gani ambayo hufanyika hospitalini, bila shaka harusi haitakua miongoni mwa mambo utakayoyataja, ila mambo yalikua tofauti...

READ MORE

Amitabh Bachchan na Familia Yake Wakutwa na Corona

Vizazi vitatu vya familia maarufu inayoshiriki katika filamu za Bollywood vimekutwa na virusi vya corona kulingana na maafisa katika jimbo...

READ MORE

Serikali Yaruhusu Wakristo Kunywa Pombe

Wizara ya Haki na Sheria nchini Sudani imetangaza mabadiliko ya kukomesha hukumu ya kifo kwa sababu ya kuasi dini, kupiga...

READ MORE

Tanzia: Binti wa Mzee Mandela Afariki Dunia

Binti wa mwisho wa hayati aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Madiba Mandela, Zindzi Mandela amefariki dunia jijini...

READ MORE