×

Habari

Ewura Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Kushuka Bei za Mafuta

KATIKA siku za hivi karibuni, kumekuwepo na taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu kushuka kwa bei ya mafuta ghafi nchini...

READ MORE

A-Z Arusha Watoa Mashuka 100 Kwa Serikali

Kiwanda cha A-Z kilichopo mkoani Arusha leo Aprili 22, 2020 kimekabidhi jozi ya mashuka mia moja kwa Serikali mkoani Arusha...

READ MORE

Sukari Ipo ya Kutosha, Atakayepandisha Bei Ashughulikiwe – Video

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema hakuna haja ya kupandisha bei ya sukari kutokana na...

READ MORE

Corona Inavyomwingizia Pesa Bilionea wa Amazon

MWANZILISHI na mmiliki wa Kampuni ya Amazon ameshuhudia utajiri wake ukichupa kwa kiasi cha dola bilioni 24 (sawa na pauni...

READ MORE

Wagonjwa Wapya 30 Wathibitishwa Tanzania, Jumla Wafikia 284

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema, hadi Aprili 21, 2020 jumla ya wagonjwa 284 wamethibitika kuwa na #COVID19; Wagonjwa 256 wanaendelea...

READ MORE

Rais JPM Afanya Uteuzi Mpya Akiwa Chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa...

READ MORE

LIVE: Maombi ya Kitaifa Dhidi ya Janga la Corona

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Aprili 22, 2020, anaongoza Taifa zima katika maombi maalum...

READ MORE

Maisha ya Mama Rwakatare, Kuzaliwa Mpaka Kifo – Video

Hii ni makala fupi inayomuelezea Mwanamke Shujaa ambaye alfajiri ya juzi aliaga dunia, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatare, aliyekuwa Askofu wa...

READ MORE

Corona Kenya: Watu 50 Watoroka Karantini – Video

JESHI la Polisi nchini Kenya linawasaka watu 50 waliotoroka katika kituo cha Kenya Medical Training College, mjini Nairobi kilichokuwa kinatumika...

READ MORE

Wagonjwa Wapya 15 wa Corona Wathibitishwa Kenya, Wafikia 296

Wizara ya Afya nchini Kenya imetangaza ongezeko la wagonjwa 15 wapya waliothibitishwa kuwa na virusi vya corona na kufikisha 296...

READ MORE

Corona: Mungu Yuko Bize – Rais Museveni

RAIS  wa Uganda, Yoweri Museveni amewaonya wananchi wanaoenda kinyume na taratibu wakati huu wa vita dhidi ya #CoronaVirus.   Museveni...

READ MORE

Mateso ya Mtoto Huyu… Mungu Tenda Miujiza  

MUNGU tenda muujiza! Ndiyo maneno unayoweza kutamka kutokana na mateso anayopata mtoto Musa Abel (2) ambaye anasumbuliwa na tatizo la...

READ MORE

Mbosso: Sioi Leo Wala Kesho!

KWENYE playlist yako ya wakali wa Bongo Fleva, huwezi kuacha jina la dogo anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB)...

READ MORE

Vilio vya Maombi ya Corona Vyatawala

SIKU tatu za maombi maalum kwa ajili ya kudhibiti Virusi vya Corona, zimetimia juzi huku vilio kutoka kwa waumini na...

READ MORE

Corona: Maombi na Sala Zetu Yaambatane na Vitendo – Shigongo

NAOMBA nikiri wazi kwamba mimi ni Mkristo, nimeokoka na ninampenda Yesu ambaye siku zote amekuwa mwanga na kiongozi wa maisha...

READ MORE

Spika: Mchungaji Rwakatare Kuzikwa na Watu 10 – Video

UONGOZI wa Bunge kupitia Spika Job Ndugai umethibitisha maziko ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Mchungaji Getrude Rwakatare, kusimamiwa na...

READ MORE

Droo ya Pili ya Baba Lao, Washindi 6 Wajazwa Mkwanja

DROO ya pili ya bahati nasibu ya Jishindie Gari na Championi na Spoti Xtra (maarufu kama promosheni ya Baba Lao...

READ MORE

Taiga Gas Yatoa Mashine Za Kujikinga Na Corona Bungeni, Spika Azipokea -(Picha +Video)

Spika Ndugai leo Aprili 21, 2020 ameishukuru Kampuni ya Taifa Gas Tanzania kwa kukabidhi mashine maalum zenye dawa ya kunyunyiza...

READ MORE

Kinara wa Usafirishaji Wahamiaji Haramu Anaswa Mbeya

IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya Imefanikiwa Kumkamata mtuhumiwa wa usafirishaji wa wahamiaji haramu Bwana Paul Edward Kawilo, alimaarufu Mwakaniemba...

READ MORE

Bibi wa Miaka 68 Ajifungua Mapacha Nigeria

Mwanamke mwenye miaka 68 nchini Nigeria amejifungua watoto mapacha na kuwaacha wengi na mshangao. Bibi huyo alijifungua katika Hospitali ya...

READ MORE

Takukuru Siha Kuwafikisha Mahakamani Watendaji Waliokwamisha Miradi Ya Serikali

  Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro imeanza uchunguzi wa manunuzi hewa ya vifaa...

READ MORE

Huyu Ndiye Mwanamke wa Kwanza Kugundua Corona 1964

JUNE Almeida ndiye mwanamke aliyegundua kwa mara ya kwanza virusi vya corona kwenye mwili wa binadamu.  Alikuwa binti wa dereva...

READ MORE

Kim Jong Adaiwa Mahututi Baada ya Oparesheni ya Moyo

SERIKALI ya Korea ya Kusini inaangalia kwa undani taarifa zilizoripotiwa na vyombo vya habari vya Marekani kuwa kiongozi wa Korea...

READ MORE

Waziri Mkuu Kuongoza Maombi Kitaifa Dhidi ya Corona

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa,  kesho Aprili 22, 2020,  anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maombi...

READ MORE

TLS Yatoa Tamko Juu ya Mbinu za Kupambana na Ugonjwa wa Corona

Mnamo tarehe 16 Machi 2020, Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kupitia kwa Waziri wa Afya, Jinsia na Watoto,...

READ MORE

Abood Lagongana na Lori la Mafuta, Lateketea, Mmoja Afariki – Video

Mtu mmoja amefariki dunia usiku wa kuamkia jana leo usiku Aprili 20, 2020,  baada ya Basi la Kampuni ya Abood...

READ MORE

Sanlam Yachangia TZS 172,500,000 Kuunga Mkono Mapambano Dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 

    WAKATI maambukizi ya virusi vya Corona Tanzania yakiongezeka, Sanlam Life Insurance na Sanlam General Insurance ambayo ni makampuni...

READ MORE

BREAKING: Wagonjwa wa Corona Tanzania Wafika 254

Wizara Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema licha ya uwepo wa wagonjwa wapya 84 wa corona na...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafikia 181

IDADI ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 281 baada ya visa vingine 11 kuthibitishwa leo Jumatatu,...

READ MORE

Bunge, CCM, ACT Wazalendo Wamlilia Mama Rwakatare

Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai amesema amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mbunge wa...

READ MORE

Mwandishi Afungiwa kwa Kusambaza Taarifa za Mgonjwa wa Corona

Idara ya Habari (MAELEZO) Zanzibar imemsimamisha kufanya kazi za uandishi Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Talib Ussi...

READ MORE

Mbunge Tanzania Aambukizwa Corona – Video

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo,...

READ MORE

Rais JPM Amlilia Mama Rwakatare

Rais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Wanafamilia, Wabunge na Waumini wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni...

READ MORE

Pierre Liquid Aambukizwa Corona, Alazwa Amana

MCHEKESHAJI Peter Mollel maarufu kama Pierre Liquid,  amebainika kuwa na maambukizi ya #COVID19 na sasa yupo Hospitali ya Amana akiendelea...

READ MORE

Corona: Miili ya Waafrika Itatapakaa Mitaani – Melinda Gates

MELINDA GATES, mke wa bilionea Bill Gates wa Marekani, ameonya kwamba iwapo dunia haitachukua hatua  za haraka za kukabiliana na...

READ MORE

Wafanyabiashara 200 Watanzania Wawekwa Karantini Kenya

WAKATI maambukizi ya Virusi vya Corona yakizidi kushika kasi nchini, zaidi ya Watanzania 200 wanaofanya biashara nchini Kenya, wamekamatwa na...

READ MORE

Kahama: Wawili Wauawa Wakituhumiwa Kuwa ni Wezi

WANAUME wawili ambao hawajafahamika majina wala Makazi wenye umri kati ya 20 – 25 wanaodhaniwa ni wezi wilayani Kahama mkoani...

READ MORE

Tanzia: Mama Rwakatare Afariki Dunia

MCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto, Askofu Gertrude Rwakatare,  amefariki dunia alfajiri ya leo ya Aprili 20, 2020, akiwa...

READ MORE

Watu 16 Wauawa Katika Shambulio la Risasi Canada

WATU 16 akiwemo Ofisa wa Polisi mwanamke wameuawa katika shambulio la risasi lililoendeshwa na mtu mwenye silaha katika kijiji Kidogo...

READ MORE