×

Habari

Rugemarila Mgonjwa, Ashindwa Kufika Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Alhamisi, Januari 16, 2020, imemuamuru Mfanyabiashara, James Rugemarila kufika mahakamani akiwa na vithibitisho vya...

READ MORE

Naibu Waziri Amtumbua Mganga Mbeya

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Phaustine Ndugulile ameagiza kuwekwa ndani na kutolewa katika...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Ang´oa Madiwani 8 wa CUF Tanga

ZIARA ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Mkoani Tanga, imezoea upinzani ambapo madiwani Nane wa...

READ MORE

Hukumu ya Kwanza ya Kifo Mwaka 2020 Yatekelezwa

  MAMLAKA ya Jimbo la Texas imetekeleza hukumu ya kwanza ya kifo kwa mwaka 2020 nchini Marekani, kwa kumuua kwa...

READ MORE

160 Wafariki Kwa Maporomoko ya Barafu

IDADI  ya watu waliofariki kutokana na maporomoko ya barafu  kaskazini mwa Pakistan, imefikia zaidi ya 100 huku wengine 94 wakijeruhiwa...

READ MORE

TIMBWILI LAIBUKA KANISA KATOLIKI

HALI ya utulivu bado ni tete kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Mikaeli, Kawe, jijini Dar es Salaam, baada ya...

READ MORE

Bunge la Marekani Lasafisha Njia Kumshtaki Trump

BARAZA  la Wawakilishi nchini Marekani limepiga kura kuidhinisha kutumwa kwa mashtaka dhidi ya Rais Donald Trump kwenda katika Baraza la...

READ MORE

Mabachela wa Muda Wote

NDOA ni jambo la furaha na sifa katika jamii nyingi mbali na kuwa miongoni mwa vitu vinavy-owapa wahusika heshima katika...

READ MORE

Betika Laendelea Kunufaisha Wafanyabiashara Kariakoo

MAPEMA leo Jumatano, Januari 14, mwaka huu (2020) timu ya maofisa masoko ya Global Publishers imetembelea maeneo ya Temeke-Mwembeyanga, Kariakoo...

READ MORE

Hongera Jamal Hashim kwa Kuhitimu

    Mwanahabari wa AzamTV, Jamal Hashim hii leo amekuwa miongoni mwa wahitimu wa Stashahada ya Juu ya Diplomasia na...

READ MORE

Jeshi Lakabiliana na Waasi Sudan

Jeshi la Sudan linayashikilia makao makuu ya kikosi cha usalama wa taifa cha nchi hiyo ambacho awali kilikuwa kitiifu kwa...

READ MORE

Daktari Aua kwa Nyundo

MWANAUME mmoja ambaye ni daktari wa Chama cha Msalaba Mwekundu (Red Cross) kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo anashikiliwa...

READ MORE

Mbowe Amshangaa Selasini Kujiuzulu Chadema

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, amesikitishwa na...

READ MORE

Breaking News: Mbunge wa Newala Vijijini Afariki Gesti

MBUNGE  wa Newala Vijijini (CCM), Rashidi Ajali Ahkbar,  amefariki dunia leo Januari 15, 2020,  katika Gesti ya Mingoyo iliyopo eneo...

READ MORE

Baraza La Wawakilishi Kupiga Kura Ya Kupeleka Mashtaka Ya Trump

Baraza linatarajiwa kupiga kura leo Jumatano 15, 2019 ili kupeleka mashtaka dhidi ya Rais Trump mbele ya Bunge la Seneti...

READ MORE

Nyoka wa Maonyesho Aua Mtu Katavi

JAMES PASCHAL, mkazi wa Mtaa wa Kilimani Kata ya Nsemulwa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, ambaye ni mtaalam wa sanaa...

READ MORE

Mahakama Kisutu Yatoa Dhamana kwa ‘Video Conferencing’

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu  jana Januari 14, 2020,  kwa mara ya kwanza ilitoa dhamana kwa mahabusu Abubakari Seguni aliyekuwa...

READ MORE

Walimu, Wanafunzi Wamiminika kwa Mwanafunzi Aliyepata One ya 7

WALIMU na wanafunzi wa Shule ya Sekondari- Igaganulwa (shule ya kata) iliyopo Bariadi vijijini -Mkoani Simiyu wampongeza Kijana Yohana Lameck...

READ MORE

Harmonize Aonywa Madawa ya Kulevya

ONYO! Kama mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’ atakuwa ameanza mchezo mbaya wa matumizi ya madawa ya...

READ MORE

Tausi; Wapuuze Wanaokubeza

MWISHONI mwa wiki iliyopita habari kubwa iliyotawala kwenye mitandao ya kijamii na mitaani ni kuhusu kujifungua kwa staa wa filamu...

READ MORE

Hali ya Kabendera Mahakamani, Kilichoendelea

UPANDE wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa habari za uchunguzi Erick Kabendera, umeielezea Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

JPM APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WATATU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 14 Januari, 2020 amepokea hati za...

READ MORE

Kampuni ya Simu ya TECNO Yaimarisha Ushirikiano wake na Google

Toleo jipya la simu CAMON 12 Pro ya hivi karibuni imewekewa  kitufe cha Msaidizi wa Google (Google assistant) ambacho kinaruhusu...

READ MORE

Rais Dkt. Magufuli Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu...

READ MORE

Polisi Yakanusha Kuwapiga Waandamanaji

Polisi nchini Iran katika mji mkuu Tehran, wamekanusha kutumia silaha dhidi ya waandamanaji walioghadhabishwa na kudunguliwa kwa ndege ya Ukraine....

READ MORE

Rais Magufuli Awaapisha Mabalozi Wanne – Video

  RAIS  John  Magufuli, leo Jumanne, Januari 14, 2020, amewaapisha mabalozi wanne  watakaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Afrika Kusini, Namibia,...

READ MORE

Mapinduzi Yakoleza Mpambano wa Urais 2020

DAR: Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikiadhimisha miaka 56 ya mapinduzi visiwani humo, imebainika kuwa, joto la urais...

READ MORE

Mume Adaiwa Kumuua Mkewe kwa Kumchinja Kama Kuku

MARA: Wimbi la mauaji ya wanawake yanayofanywa na waume zao waliowapenda kwa dhati na kuahidi kuishi nao kwa shida na...

READ MORE

Waziri Mkuu Aohofia Usalama wa Harry na Meghan, Malkia Afunguka

WAZIRI Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amesema mazungumzo zaidi yanahitajika kuhusiana na gharama za usalama wa Mwanamfalme wa Uingereza, Harry...

READ MORE

Mbunge Selasini (Chadema) Ajiuzulu

Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini amejiuzulu wadhifa wa Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kutokana na kutotambulishwa rasmi...

READ MORE

Maalim Seif Aitwa Polisi

JESHI la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani Zanzibar limemtaka Mshauri mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif...

READ MORE

 Mjue Miss Ufaransa, Mrembo wa Mbappe

ALICIA Aylies, mwanamitindo na Miss Ufaransa 2017 ambaye pia ni mpenzi wa straika staa wa PSG, Kylian Mbappe, amejiachia kwenye...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza Mahakama Ikamilishe Miundombinu – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa uongozi wa Mahakama nchini uhakikishe unakamilisha ujenzi wa miundombinu ya Mahakama ili kuwapunguzia...

READ MORE

Meya Dar Akubali Yaishe, Afuta Kesi Mahakamani – Video

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kwa gharama kesi ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita,  ya...

READ MORE

Sheria Ngowi Aiomba Serikali Ipunguze Uingizwaji wa Mavazi ya Nje

MBUNIFU maarufu wa mavazi na mitindo wa kitaifa na kimataifa, Sheria Ngowi, ameiomba serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Papa Benedict Akataa Waliooa Kuwa Makasisi

Kiongozi mstaafu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict,  wa 16 amepinga pendekezo la mrithi wake, Papa Francis, kuwaruhusu wanaume waliooa...

READ MORE

Breaking: Ajali ya Basi, Gari Dogo, Pikipiki Yaua Wawili Shinyanga

WATU wawili wamefariki dunia na wengine saba wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea mapema leo Jumatatu, Januari 13, 2020, asubuhi mkoani Shinyanga, ikihusisha...

READ MORE

Rais Moi wa Kenya Yupo ICU

RAIS mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi, mwenye umri wa miaka 95,  yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu...

READ MORE

Al Shabaab Waivamia Tena Kenya, Waua Walimu Watatu

WATU watatu wameuawa baada ya wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab kuvamia mji wa Garisa kaskazini mwa Kenya katika mpaka...

READ MORE

Zijue Silaha za Kivita za Iran Anazotamba kwa Marekani – Video

IRAN ni Jamhuri ya Kiislam yenye kuongozwa kwa kufuata misingi na sheria za Kiislam chini ya kiongozi wa kidini, Ayatollah...

READ MORE