×

Habari

Mtoto Huyu Anatafutwa, Amepotea Tangu Krismasi

MTOTO Steven Mselle (17), mkazi wa Kimara Suca, anayesoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Mchikichini jijini Dar es...

READ MORE

Sherehe ya Ndoa: Bw., Bi Harusi Watua na Helikopta Ukumbini

JAMAA mmoja aliyefahamika kwa jina la William Moye mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro ameweka rekodi ya aina yake baada ya...

READ MORE

Serikali Yaagiza Mali za Bilionea Mtoto wa Rais Zikamatwe

MAHAKAMA ya Angola imeagiza kukamatwa kwa mali na akaunti za benki za bilionea ambaye ni binti wa rais wa zamani...

READ MORE

Binti Asiye na Mikono Wala Miguu Ashangaza Watu – Video

  HUU ni ushuhuda wa binti, SARAH CHARLES, mwenye umri wa miaka 18, ambaye hana mikono yote miwili, lakini pia...

READ MORE

Polisi 29 Wahukumiwa Kifo

MAHAKAMA Kuu nchini Sudan imewahukumu kifo polisi 29 kwa kosa la kumtesa na kumuua Mwalimu Ahmad al-Khair (36) waliyemkamata wakati...

READ MORE

Lwakatare Afanya Ibada ya Mwaka Mpya – Video

MCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto, Getrude Lwakatare, ameendesha ibada maalum ya mkesha wa mwaka mpya kuukaribisha mwaka wa...

READ MORE

Video: Mapokezi ya Nancy Sumari, Mumewe Hifadhi ya Mkomazi

 MISS Tanzania wa mwaka 2005, Nancy Sumari,  hivi karibuni ametembelea Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi iliyopo wilayani Same mkoani...

READ MORE

Mjamzito Feki Aiba Kichanga, Anusa Kifo

HIKI ni kisa na mkasa! Mama mmoja, mkazi wa Kitongoji cha Mwanzugi wilayani Igunga Mkoa wa Tabora aliyejifanya mjamzito, Shija...

READ MORE

Tamu ya Mastaa Mwaka 2019

WAKATI tukisubiri kwa shauku kubwa kuingia Mwaka Mpya wa 2020, si vibaya tukajiku-mbusha machungu na matamu waliyopitia mastaa wetu kwa...

READ MORE

Wamevipiga Vita na Mwendo Wameumaliza 2019

KIFO ni haki yetu licha ya kwamba hakizoeleki, kisikie tu kwa mwenzako, siku kikifika kwako hupati picha kutokana na kwamba...

READ MORE

Jokate Afunga Mwaka 2019 Kibabe

  AMEFUNGA mwaka kibabe! Ndivyo unavyoweza kumtafsiri Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe (DC), Jokate Urban Mwegelo ambaye licha ya kuiongoza...

READ MORE

Kampuni ya Azania Yaendelea Kumwaga Zawadi za Sikukuu

RAHA ya sikukuu upate zawadi! Hiyo ndiyo sababu iliyofanya Kampuni ya Azania, watengenezaji wa sabuni za King Limau na Marhaba...

READ MORE

Kigwangalla: ‘Mind Your Own Business’

Baada ya Rais John Magufuli kuagiza Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumuua Mfanyabiashara na Kumtupa Chooni

Polisi Mkoani Singida wanawashikilia Bashiri Hamisi, Hamisi Salumu na Hamida Hamisi wakazi wa Kijiji cha Irisya Wilayani Ikungi, Singida kwa...

READ MORE

JPM Atishia Kuwatumbua Kigwangalla na Katibu Mkuu Wake

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametoa siku tano kwa Waziri wa Maliasili na Utalii...

READ MORE

Dkt. Mpango Aanika Hali ya Uchumi, Utekelezaji wa Bajeti – Video

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amesema ongezeko la deni limetokana na mambo mawili,  kwanza ni riba ya...

READ MORE

Video: Zitto Aibua Mazito ‘Wametekwa, Wamepigwa, Wamepata Ulemavu’

  KIONGOZI wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe,  amelaani vitendo vya utekaji na kuwatesa baadhi wananchi akidai kuwa ni...

READ MORE

Mkesha Maalum na wa Kipekee wa Kufunga Mwaka 2019

  Shalom Tanzania! Kwa mara nyingine tena, Kanisa la Christ Mandate and Power Ministries International linawaletea ibada ya mkesha wa...

READ MORE

Breaking News: Mama Mzazi wa Erick Kabendera Afariki Dunia

MAMA mzazi wa mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera, Bi Verdiana Mjwahuzi, amefariki leo Desemba 31, 2019 nyumbani kwake...

READ MORE

Mbaroni kwa Kunaswa na Sare za Jeshi, Bangi na Gongo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa kumi na mbili [12] kutokana na tuhuma za kupatikana na dawa za...

READ MORE

Simu Hizi Hazitatumia Tena WhatsApp Kuanzia Leo

MTANDAO maarufu duniani wa WhatsApp hautafanya kazi kwenye simu janja zinazotumia mfumo wa Window ‘Window Smartphone’ kuanzia leo Desemba 31,...

READ MORE

Mchezaji Bora Yanga Kuzawadiwa Godoro na GSM Mechi Ya Simba na Yanga

    Kuelekea Mtanange wa kukata na shoka mnamo Januari 4, 2020 kati ya watani wa jadi Simba na Yanga...

READ MORE

Nyumba ya Shehe Yavunjwa, Uchawi Watajwa – Video

MZEE mmoja anayejulikana kwa jina la Sheikh Muhammed, mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam amelalamika kuvunjiwa nyumba yake bila...

READ MORE

Simba Yashusha Mtaalam Kuiua Yanga

INAELEZWA uongozi wa Simba umeamua kuongeza nguvu katika kitengo cha afya baada ya kumuongeza kimyakimya mtaalam wa viungo ‘fizisio’ aliyefahamika...

READ MORE

Boti Yazama, 50 Wanusurika Kifo

ABIRIA zaidi ya 50 wamenusurika kufa baada ya boti yao iliyokuwa ikisafiri kutoka Kilindoni – Mafia kwenda Nyamisati – Kibiti...

READ MORE

Simba Ilivyoipindua Yanga Kwa Winga Mamelodi

  WAKATI Yanga wakiwa wanafanya usajili wao wa dirisha dogo, mabosi wa Simba wenyewe walikuwa wanazunguka huku na kule kwa...

READ MORE

Ofisa Habari, Dereva wa Mnyika Wakamatwa Mwanza – Video

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza ACP.Muliro Jumanne amekanusha taarifa zilizokuwa zinasambaa katika mitandao ya kijamii zikieleza kuwa kuna wanachama...

READ MORE

Kiongozi wa Wajane Tanzania Aolewa

  Mkurugenzi wa Umoja wa Wajane Tanzania (TAWIA), Rose Sarwatt, amefunga ndoa na mchumba wake, Haron Mpole, katika Kanisa la...

READ MORE

Bashiru Asema ‘Kazi na Bata’ ni Kudhalilisha Wanawake

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bashiru Ally, amewataka wananchi kupuuza kauli ya kufanya kazi na kula bata...

READ MORE

Polisi Adaiwa Kumuua Aliyekataa Kumpa Rushwa

OFISA mmoja wa polisi amekamatwa akituhumiwa kumuua kwa kumpiga risasi dereva wa gari aina ya Probox baada ya dereva huyo...

READ MORE

Anaswa na Dawa za Ukimwi Akisema Alitaka Kuwapa Ng’ombe

  POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora wanamshikilia mfamasia wa Hospitali ya Wilaya hiyo, Francis Mlesa (33), kwa tuhuma za kuiba...

READ MORE

Faru Vicky Atangazwa Kuwa Mrithi wa faru Fausta

KUFUATIA kifo cha Faru Fausta ambaye alikuwa Faru mwenye umri mkubwa zaidi Duniani wa miaka 57, Mamlaka ya Hifadhi ya...

READ MORE

Huu Ndiyo Mji Wenye Paka Wengi Kuliko Binadamu

MJI wa Kafr Nabl uliopo nchini Syria kwa sasa umebakiwa na idadi kubwa ya paka kuliko watu, baada ya miezi...

READ MORE

6 Wafariki Lori na Basi Yakigongana Dodoma – Video

WATU sita wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya lori na basi dogo la abiria kugongana jana Jumapili, majira...

READ MORE

Shamsa Ateswa na Dola 100 za Chid Mapenzi

MUIGIZAJI Shamsa Ford amesema japo muda mrefu kidogo umepita tangu aachane na mumewe, Rashid Said ‘Chid Mapenzi’, lakini bado anakumbuka...

READ MORE

Polisi Yamdaka Aliyemuua Mkewe Kwa Shoka – Video

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limefanikiwa kumkamata muimba kwaya Moses Pallangyo (28), aliyemuua mke wake Mary Mushi, kwa kumkata na...

READ MORE

Mbelgiji Simba Azinasa Siri za Yanga

KOCHA mpya wa Simba, Mbelgiji, Sven Vanderboeck, amejitamba tayari ameshawajua wapinzani wake, Yanga kutokana na kuwasoma vilivyo kupitia video huku...

READ MORE

Mnyika Asimikwa Kuwa Chifu wa Wasukuma – Video

  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mbunge wa Kibamba, John Mnyika jana Desemba...

READ MORE