×

Habari

Nkurunziza Kupata Bil. 1.15 Akistaafu, Kuwa Makamu wa Rais

BUNGE  la Burundi limepitisha sheria inatakayompa rais kitita cha Tsh. bilioni 1.15 atakapostaafu huku sheria hiyo ikiruhusu rais akistaafu atachukuliwa...

READ MORE

Simba Yazindua Tena Kadi ya Shabiki – Video

UONGOZI wa KIabu ya Simba kwa ushirikiano na Benki ya Equity umefanya uzinduzi wa pili wa kadi ya shabiki uliofanyika...

READ MORE

Polisi: Wafanyabiashara wa Mabasi Hawajahujumu Reli – Video

POLISI mkoani Kilimanjaro jana Alhamisi, Januari 23, 2020, ilisema imebaini kuwa hakuna miundombinu ya reli iliyoharibiwa au kuhujumiwa katika eneo...

READ MORE

Shirika la Ndege la Afrika Kusini Lafilisika

SHIRIKA la Ndege la Afrika Kusini (South African Airways) limesitisha jumla ya safari zake 38 za ndani na nje ya...

READ MORE

Rio aiponda Man United, mashabiki watimka

MASHABIKI wa Manchester United, juzi waliondoka karibia wote uwanjani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Burnley. Wakiwa...

READ MORE

Shime: Tutawafunga Nyingi Burundi Tena

KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya soka ya wasichana wa U17, Kilimanjaro Queens, Bakari Shime amesema kuwa watawafunga Burundi...

READ MORE

Mwalimu Aliyemvunja Mgongo Mwanafunzi kwa Kukosa Hesabu

  KESI namba 141-2019 inayomkabili mwalimu Focus Mbilinyi anayetuhumiwa kumvunja uti wa mgongo aliyekuwa mwanafunzi wa shule ya msingi Madeke...

READ MORE

JPM Amkabidhi Simbachawene Mikoba ya Lugola, Zungu Aula – Video

Rais Dkt. John Magufuli leo Januari 23, 2020 amemteuwa Mbunge wa Ilala Dar es salaam, Mussa Azzan Zungu kuwa Waziri...

READ MORE

Wanaoingia Kenya Kupimwa Virusi vya Corona

NCHI ya Kenya imetangaza kuwa raia wote wanaoingia nchini humo kutoka nchini China watapimwa virusi vya Corona. Kenya imechukua hatua...

READ MORE

Kada CCM Auawa Kisa Sh 200

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM); Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, Baraka Masuki amedaiwa kuuawa kwa kupigwa kichwa kwenye...

READ MORE

JPM Akabidhi Nyumba Mpya za Magereza Ukonga

RAIS  John Magufuli amesikitishwa na kitendo cha viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Zimamoto...

READ MORE

Kauli Kangi Lugola Baada ya Kutumbuliwa

IKIWA ni muda mfupi baada ya Rais John Magufuli kusema kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola...

READ MORE

Kashfa ya Trilioni 1, JPM Amng’oa Waziri Lugola – Video

KASHFA ya mkataba wa kifisadi iliyomkumba Kangi Lugola, imesababisha kujiuzulu kwenye nafasi ya uwaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi....

READ MORE

Hii ndiyo bajeti ya manispaa ya kinondoni 2020/2021

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni katika mkutano wake maalum wa baraza leo Alhamisi Januari 23 mwaka...

READ MORE

Breaking: Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Ajiuzulu – Video

RAIS  John  Magufuli  amesema Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, amemwandikia barua ya kujiuzulu nafasi...

READ MORE

Serikali: Hatujapokea Waraka wa Marekani Kuiwekea Vikwazo TZ

MKURUGENZI wa Mawasiliano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Emmanuel Buhohela amesema kuwa hadi sasa...

READ MORE

#Live: Rais JPM Azindua Nyumba za Askari Magereza Ukonga

Rais Dkt. John Magufuli leo Januari 23, 2020 anafungua majengo ya makazi ya Askari Magereza wa Gereza la Ukonga jijini...

READ MORE

Mwanafunzi Anayedaiwa Kuanika Tatizo la Maji UDOM Akamatwa

MWANAFUNZI wa mwaka wa pili anayesomea Shahada ya Sayansi ya Asili (Natural Science) katika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Mugaya Tungu, ...

READ MORE

Mchungaji Kortini kwa Kumchoma Moto Mwanaye

MCHUNGAJI Japhes Manwa wa Kanisa la Pentekoste Wilayani Kibaha, anatuhumiwa kumchoma moto mikononi na mgongoni mwanaye wa miaka saba ambaye...

READ MORE

Mtoto Auawa, Akatwa Nyeti, Kitovu, Unyayo na Achunwa Kichwa

IMANI za kishirikina zimetawala tukio la mwanafunzi wa darasa la pili, Celina Fosi,  aliyetoweka kwa siku sita na baadaye mwili...

READ MORE

JIPANGE NA PEPA KUANZA KUTIMUA VUMBI MASHULENI

Programu maalum yenye lengo la kuwajengea wanafunzi wa sekondari uwezo wa kukabiliana na mitihani yao ya mwisho iitwayo Jipange na...

READ MORE

Baba Nusura Auawe na Mwanaye

MADAI ya kuwa yeye ni masikini ni sababu iliyomtosha Chacha Makonge ‘23’ kutaka kumuua kwa kumkata mapanga sehemu mbalimbali mwilini...

READ MORE

Athuman Hamis Bingwa Shindano La Jiachia Na Kili Canvas 2020

Msanii wa Sanaa kuchora Athuman Hamis kutoka Mwenge Vinyango jijini Dar es Salaam ameibuka kuwa bingwa katika shindano la Sanaa...

READ MORE

Guiness: Besigye Kiongozi Aliyekamatwa Mara Nyingi Zaidi Duniani

KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye,  ametajwa katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness kuwa kiongozi aliyekamatwa na...

READ MORE

Ripoti Zaonyesha Demokrasia Imeshuka Afrika

Ripoti mpya ya kila mwaka ya kielelezo cha demokrasia iliyochapishwa na Kitengo cha Ujasusi wa Kiuchumi EIU imesema kiwango cha...

READ MORE

Marekani Yaidhinisha mpango wa kumuondoa madarakani Rais Trump.

Baraza la Seneti nchini Marekani limepiga kura kwa misingi ya chama na kuidhinisha sheria zitakazotumika katika kesi ya kumuondoa madarakani...

READ MORE

Betika Latua kwa Wafanyabiashara wa Mbezi, Kimara Dar

MAPEMA leo Jumatano, Januari 22, mwaka huu timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya wafanyabiashara wa maeneo...

READ MORE

Kingwalla: “Walipanga Kuniangamiza, Walitaka Nitumbuliwe”

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dkt Hamis Kigwangalla, ameeleza kuwa kwa sasa anaishi kwa hofu na tahadhali kubwa juu ya...

READ MORE

CHADEMA Wajilipua Mikutano Kila Kona ”Rais Alisema Ruksa 2020”

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mkoa wa Arusha kupiti kwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA) Mkoa, Ema Kimambo...

READ MORE

Ujenzi wa Barabara za Juu ‘Ubungo Interchange’

HAYA ni Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara za Juu katika Makutano ya Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es Salaam.  ...

READ MORE

Tanesco Yaokoa Bilioni 23.5

Shilingi Bilioni 23.5 zinaokolewa kila mwaka baada ya Serikali kupitia Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kuzima mitambo ya kuzalisha umeme...

READ MORE

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar Chaanzisha Masomo ya Masters

 CHUO Kikuu cha Tumaini Tawi la Dar es Salaam (TUDARCo) kinachomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya...

READ MORE

Wamiliki Mabasi Wanaotuhumiwa Kuhujumu Reli Wajisalimisha Polisi

MKUU wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, amesema tayari wamiliki wa mabasi wanaotuhumiwa kuhujumu miundombinu ya reli wameripoti kituo...

READ MORE

TCU Yavifutia Usajili Vyuo 9 Tanzania

TUME ya Vyuo Vikuu (TCU) imefuta hati za usajili wa vyuo vikuu vishiriki vitano, vyuo vikuu vitatu na chuo kikuu...

READ MORE

Amkata Kichwa Bosi Wake Kisa Kutomlipa Mishahara

FUNDI makenika wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Cathbert Mwangalaba (47) ameuawa kwa kukatwa mwili wake na kiwiliwili...

READ MORE

Mdee, Bulaya Matatani kwa Kukiuka Masharti ya Mahakama

MBUNGE wa jimbo la Kawe, Halima Mdee na Mbunge wa Bunda Mjini, Esther Bulaya,  wamejitetea kutofutiwa dhamana yao katika Mahakama...

READ MORE

Watu Saba Wauawa Harusini

WATU saba wameuawa kwa mlipuko wa bomu aina ya kombora dogo (grenade) walipokuwa kwenye sherehe ya harusi huko Khartoum, Sudan....

READ MORE

Virusi Vipya vya Corona Vyaua Watu China

KAMATI ya Dharura ya Shirika la Afya Duniani (WHO), itakutana wiki hii kujadili mlipuko wa homa ya mapafu inayosababishwa na...

READ MORE

Video: Rc Makonda, Afunguka Samatta Kucheza Aston Villa

 MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo Januari 21, 2020, amemwasa mcheza soka wa Tanzania aliyesajiliwa...

READ MORE

Auza Nywele Zake Apate Pesa ya Kulisha Watoto

MWANAMKE mmoja kutoka nchini India ameamua kuuza nywele zake ili aweze kupata chakula kwa ajili yake na familia yake, jambo...

READ MORE