×

Habari

Simbachawene, Kalemani Kupamba Maonesho Ya Nishati Jadidifu

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Simbachawene na Waziri wa Nishati, Dk Medard...

READ MORE

Rais Magufuli: Vyuo Vikuu Punguzeni Kutegemea Misaada (Picha +Video)

  VYUO vikuu nchini vimetakiwa kufanya tafiti mbalimbali kulingana na mahitaji na vipaumbele vya nchi na kupunguza kutegemea misaada ya...

READ MORE

TMDA Yazuia Dawa za Raniplex, Rantac & Aciloc, Waliotumia Wafike Hospital

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) inawataka wote waliokuwa wanatumia dawa za Raniplex 150 mg, Rantac 500 mg/mL...

READ MORE

Mvua yaharibu Nyumba 360 Songwe

MVUA iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha jana jioni Mkoani Songwe imesababisha uharibifu wa nyumba Zaidi ya 360 Katika Wilaya za...

READ MORE

Rais JPM Atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Falsafa UDOM -Video

Rais John Magufuli leo Alhamisi Novemba 21, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu...

READ MORE

Mahakama Yaelezwa: Tundu Lissu Amepona, Lakini….

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imeelezwa kuwa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameshapona ila anashindwa...

READ MORE

Breaking: Baba Levo Ashinda Rufaa Mahakama Kuu Kigoma

Diwani wa Mwanga Kaskazini (ACT-Wazalendo), Clayton Chipando maarufu Baba Levo, leo Novemba 21, ameshinda rufaa yake katika Mahakama Kuu ya...

READ MORE

Treni ya abiria Dar – Moshi Kuanza Desemba, nauli zatajwa

Ikiwa tunaelekea sikukuu za mwisho wa mwaka 2019, abiria wa Kanda ya Kaskazini watakuwa na kicheko kwao baada ya treni...

READ MORE

Mama na Watoto 2 Waliotoweka Wiki 3, Wapatikana Wamefariki

MIILI mitatu inayoaminika kuwa ya mke wa mwanajeshi mmoja na wanawe wawili, waliotoweka majuma matatu yaliyopita, imepatikana imezikwa katika kaburi...

READ MORE

JPM Aagiza Majengo ya Ofisi za Tanroad Dumila Yawe Kituo cha Afya

RAIS Dkt. John Magufuli ameagiza majengo yote yaliyokuwa ya Ofisi za Wakala wa Barabara Tanzania(TANROAD)eneo la eneo la Dumila mkoani...

READ MORE

JPM Atoa Maagizo kwa Vyombo vya Usalama

VYOMBO vya Usalama nchini vimeonywa kutowaonea Wananchi kwa kuwashitaki kama Wazururaji, wakati wana shughuli zao kufanya.   Onyo hilo limetolewa...

READ MORE

Ludewa: Mwanamke Amchinja Mwanae na Kumla Nyama

MWANAMKE mmoja anaejulikana kwa jina la Christina Mlelwa (38) mkazi wa Kijiji cha Mavanga Kata ya Mavanga, Kitongoji Cha Mji...

READ MORE

VIDEO: Diwani Ngarenaro Amjibu Meya Chadema Aliyetimukia CCM

 BAADA ya Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro (Chadema),  kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo,  na kujiunga na...

READ MORE

Dhamana: Mdee, Bulaya, Msigwa, Heche Wapeta Kortini – Video

MAHAKAMA ya ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Novemba 20, 2019 imetoa uamuzi kuwa wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Wasomaji Betika Popobawa, Magomeni Makanya, Mapipa Walivyolichangamkia

MAPEMA leo Jumatano,Novemba 20,2019 timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Popobawa, Magomeni Makanya, Magomeni Mapipa na...

READ MORE

JPM Ampa Mkurugenzi NIDA Maagizo Mazito Kuhusu Vitambulisho – Video

RAIS John Magufuli amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufika mkoani Morogoro leo na ikiwezekana akae ...

READ MORE

Binti Aliyefiwa Baba, Mama, Wadogo Zake Hitaji Moja

HUZUNI, machozi, rambirambi, pole ahadi za malezi kwa Anna Zambi binti aliyefiwa na baba, mama na wadogo zake watatu zimetajwa...

READ MORE

SikuYa Mtoto Duniani NMB Yatoa Salamu

#KwaKilaMtoto, Kila haki inatimizwa!   KATIKA kuadhimisha #SikuYaMtoto Duniani, Benki ya NMB Makao Makuu iliwasha taa za bluu kuunga mkono...

READ MORE

Wachina Wawili Watiwa Mbaroni kwa Amri ya DC

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amewashikilia wakandarasi wawili wenye asili ya china wa Kampuni ya CRJE kwa kushindwa...

READ MORE

Mwakyembe: Nina Digrii 5 – Video

Waziri mwakyembe amefunguka kuhusu sintofahamu iliyopo kuhusiana na kauli yake kwa wasanii kusoma ambapo amewagusa waandishi wa habari na wasanii...

READ MORE

Mdee, Heche, Bulaya, Msigwa Mahabusu, Hatima Yao Kujulikana Kesho

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga kesho Jumatano Novemba 20, 2019 kutoa uamuzi dhidi ya wabunge wanne wa Chadema waliokiuka...

READ MORE

Breaking: Meya wa Chadema Arusha Ajiunga CCM-Video

 MEYA wa jiji la Arusha kwa tiketi ya Chadema, Kalisti Lazaro, leo Novemba 19, ametangaza rasmi kukihama chama hicho...

READ MORE

Uchaguzi Mkuu CHADEMA Kufanyika Desemba 18, 2019

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimetangaza ratiba ya uchaguzi wa viongozi wake ngazi ya Taifa. Mchakato huo unaanza na...

READ MORE

Breaking: Baba Mzazi wa Dkt. Slaa Afariki Dunia – Video

Peter Qamara Slaa (98), baba mzazi wa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbroad Slaa amefariki dunia jana Jumatatu Novemba...

READ MORE

Mbowe Alazwa Hospitali ya Aga Khan Dar

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan,...

READ MORE

Familia ya Marehemu Balali Yamlilia JPM, “Tusaidie Baba” – Video

Familia ya Marehemu Daudi Balali imemuomba Rais Magufuli kuisaidia kuokoa mali za Gavana huyo wa zamani wa Benki Kuu ya...

READ MORE

IGP Sirro: Tundu Lissu Hajaonyesha Ushirikiano

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amesema uchunguzi juu ya kupotea kwa mwandishi wa habari za...

READ MORE

Waitara: Mikoa 3 Haitapiga Kura za Uchaguzi Serikali za Mitaa

WIZARA ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema mikoa mitatu haitafanya uchaguzi wa...

READ MORE

Mwanza: Kanisa la Mfalme Zumaridi Anayeabudiwa Lafungwa

UONGOZI wa Serikali katika Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza umepiga marufuku ibada zinazoendeshwa na kiongozi wa kanisa la Mfalme Zumaridi...

READ MORE

Jaji Mkuu Awataka Majaji Wapya Kuwa Sehemu Ya Maboresho

  Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Majaji wapya wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa sehemu...

READ MORE

Mtoto Miaka 9 Kuhitimu Digrii ya Umeme, Kusoma Udaktari, Phd

JARIBU kukumbuka wakati ukiwa na umri wa miaka tisa ulikuwa katika kiwango gani cha elimu? Jibu rahisi kwa wengi litakuwa...

READ MORE

Yaliyojiri Kortini Kesi ya Alimchoma Mkewe kwa Magunia ya Moto

MAPEMA leo Jumatatu, Novemba 18, 2019, katika Mahakama ya Halimu Mkazi Kisutu kesi inayomkabili mfanyabiashara Hamis Luwongo (38) anayedaiwa kumuua...

READ MORE

Heche, Msigwa, Bulaya & Mdee Watolewa Kortini, Wapelekwa Polisi – Video

KUFUATIA Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wiki iliyopita kuamuru wabunge wanne wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakamatwe na...

READ MORE

Rostam Aziz Alivyosaidia Kuanzishwa NHIF

Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameweka wazi kuwa uamuzi wa kuwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ni...

READ MORE

BIBI AMWANGUKIA RAIS MAGUFULI

BIBI Halima Athuman (78), mkazi wa Manzese-Uzuri jijini Dar, amemwangukia Rais Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’, akimuomba amsaidie kwani kuna...

READ MORE

Shigongo Amrejesha CCM Mwenyekiti wa Chadema – Video

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kupata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Jimbo la Buchosa, Jaji...

READ MORE

Mwakyembe Amkingia Kifua Roma

SIKU chache baada ya staa wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ kuachia wimbo unaokosoa Serikali wa Naitwa Roma,...

READ MORE

Swahili Fashion Week Yazinduliwa Dar

Baadhi ya waandishi wa habari na wadau wa mitindo katika uzinduzi wa maonyesho wa Swahili Fashion Week wakichukua tukio hilo....

READ MORE

Lugola: Wakileta Fujo Tutawatia Kwenye Tanki la Washawasha – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewataka Makamanda wa Polisi nchini kusimamia kampeni zilizoanza za Uchaguzi wa...

READ MORE

NMB Yafungua Tawi Jipya Mbezi Louis Dar

  Benki ya NMB imefungua tawi lake jipya jijini Dar es Salaam ikiwa ni utekelezaji wa mpango wake wa kufikisha...

READ MORE