×

Habari

Wadau wa Kubeti Namanga, Kawe Wasema Betika Litaendelea Kuwa Juu

Ikiwa ni wiki ya kwanza ya Novemba Jumatano 6,2019, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Kawe,...

READ MORE

TACAIDS Waipongeza Kampuni ya Cool Blue

TUME ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) leo Novemba 6, 2019 imetembelea Kampuni ya maji safi ya Cool Blue Mikocheni jijini...

READ MORE

Video: Polisi DSM Yaua Jambazi SUGU, MAMBOSASA Azungumza “Walitujaribu”

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuua watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi sugu akiwemo aliyefahamika...

READ MORE

Jambazi Kambare Aliyeteleza Akikamatwa Auawa Dar – Video

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuua watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi sugu akiwemo aliyefahamika...

READ MORE

Dkt Abbas: Kila Alichokiahidi JPM Amekitimiza – Video

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas leo Novemba 6, 2019 anaongea na wanahabari...

READ MORE

Watu 259 Waliofungwa Minyororo Waokolewa Msikitini

  JESHI la Polisi nchini Nigeria imewaokoa watu 259 kutoka katika kituo kisichokubalika kisheria kilichopo ndani ya Msikiti katika Mji...

READ MORE

Wanafunzi 13 Chuo Kikuu Wauawa

Watu 13 wamefariki dunia kufuatia vurugu za mapigano zilizotokea katika Chuo Kikuu cha Kogi katika eneo la Ayingba nchini Nigeria....

READ MORE

Mbwa 300 Kukutwa Nyumba Ya Serikali Dar… Giza Nene Latanda

GIZA limeendelea kutanda kufuatia mbwa wapatao 300 na paka kadhaa kukutwa hivi karibuni ndani ya nyumba ya serikali eneo la...

READ MORE

Samatta Awapiga Liverpool Bonge La Bao – Video

HATIMAYE mshambuliaji raia wa Tanzania, Mbwana Samatta, usiku wa kuamkia leo aliwapa mashabiki wa soka kile walichokuwa wanakitaka baada ya...

READ MORE

Mbelgiji Simba: Acha Zahera Aende Zake

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems ameshtushwa na kitendo cha uongozi wa Yanga kuvunja mkataba na aliyekuwa kocha wake,...

READ MORE

NMB Yatoa Misaada ya Mil. 110 Ukerewe, Tabora na Songea

  KATIKA kuunga juhudi za utatuzi wa changamoto zinazoikabili Sekta ya Afya na Elimu nchini, Benki ya NMB wiki iliyopita...

READ MORE

Rais wa China Aifagilia TZ, Korosho, Tanzanite Vyamkuna

MAONESHO ya pili ya kimataifa ya bidhaa zinazoagizwa China yamefunguliwa leo mjini Shanghai, China. Rais Xi Jinping wa China amehutubia...

READ MORE

Ofisi Yavunjwa, Fomu za Uchaguzi Zaibwa

MNAMO tarehe 31.10.2019 majira ya saa 19:50 usiku huko Kijiji cha Pashungu, Kata ya Itawa, Tarafa ya Isangati, Wilaya ya...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Novemba 6, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 6, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

Global Publishers Yazindua ‘Jipange na Pepa’

  KATIKA kuunga mkono juhudi za serikali kuboresha sekta ya elimu nchini, Kampuni ya Global Publishers inayochapisha magazeti ya Uwazi,...

READ MORE

Kijana Amwaga Machozi “Nimevimba Mguu Kimaajabu” – Video

Kijana Goodluck Franck Minja mwenye umri wa miaka 18 anapitia maumivu makali baada ya kutokea kwa uvimbe mkubwa katika mguu...

READ MORE

Unasumbuka na Data, Meseji, Dakika? Dawa Hii Hapa – Video

Je, umekuwa ukipata tabu kuhusu mawasiliano, SMS hazitoshi, Dakika hazitoshi na MB’s (bundles) hazitoshi? Unashindwa kuperusi… Basi  hii ni taarifa...

READ MORE

Breaking: Aveva, Kaburu Warejea Uraiani – Video

  Waliowahi kuwa viongozi wa juu wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na makamu wake Godfrey Nyange ‘Kaburu’ wameachiwa kwa...

READ MORE

Mbowe Ajitetea, Aieleza Mahakama Hakuwepo Kwenye Maandamano

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe  ameieleza Mahakama ya Halimu Mkazi Kisutu kuwa hakuwepo kwenye maandamano...

READ MORE

Startimes Yatoa Msaada Kwa Watoto Wenye Matatizo Ya Moyo Muhimbili

KAMPUNI ya Startimes kupitia chapa yake ya StarTimes leo, Novemba 2019 wametembelea watoto wenye matatizo ya Moyo katika Taasisi ya...

READ MORE

Basi la Kampuni ya Majinjah Lapata Ajali Mbeya

Basi la Kampuni ya Majinjah ambalo lilikuwa likitoka Kyela jijini Mbeya kuelekea Dar es Salaam leo Novemba 5, 2019 limepata...

READ MORE

UN: MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YAONGEZEKA AFRIKA

OFISI ya Kupambana na Mihadarati ya Umoja wa Mataifa imesema katika ripoti yake mpya kwamba matumizi ya madawa ya kulevya...

READ MORE

Nafasi za Kazi 3 Speedball Courier Services Ltd

Job title: Customer Service Officer Location: Dar es salaam Job Summary We are hiring a Customer Service Representative to manage...

READ MORE

Shehena ya Mifuko Isiyokidhi Viwango Yakamatwa

Ofisi ya Makamu wa Rais inaendelea kusimamia marufuku ya katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki kwa kushirikiana na Kikosi...

READ MORE

UN Yaisaidia Somalia Baada ya Mafuriko Mabaya

UMOJA wa Mataifa (UN) umetuma misaada ya dharura nchini Somalia kufuatia mvua kubwa ambazo zimenyesha katika baadhi ya maeneo ya...

READ MORE

Zantel yazindua simu janja SMARTA yenye uwezo wa 4G kwa gharama nafuu nchini

Katika jitihada zake za kuongeza wigo wa watumiaji wa simu janja nchini Tanzania, Zantel imezindua simu janja yenye uwezo wa...

READ MORE

NBC Yaendeleza Jitihada zake Katika Kusaidia Huduma za Jamii

    KATIKA kuendeleza jitihada zake za kurudisha sehemu ya faida yake kwa jamii, Benki ya NBC imedhamini hafla maalumu...

READ MORE

‘Tigo Business’ yachochea mageuzi ya kidigitali kwenye biashara Tanzania

  Kampuni ya Tigo kupitia kitengo cha Tigo Business leo imezindua huduma na bidhaa zilizoboreshwa zaidi pamoja na tovuti inayompa...

READ MORE

Tigo inavyorejesha tabasamu kwa wagonjwa wa mguu kifundo.

  Siku zote ni furaha pale mwanamke anapopata mtoto ambaye alimtarajia kwa takribani miezi tisa ya ujauzito.Hii ilidhihirika kwa Salma...

READ MORE

Mawaziri wa Afya, UKIMWI SADC Kujadili Ajenda 13

    Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC, Sekta ya...

READ MORE

Makonda Akagua Ujenzi Barabara ya Njia 8, Morocco – Mwenge

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Jumatatu, Novemba 4, 2019 ametembelea na kukagua mradi wa ujenzi...

READ MORE

SOLSKJAER: MARTIAL SASA FUNGA KILA MECHI

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema kuwa mshambuliaji wake Anthony Martial anatakiwa kukua na kuanza kufunga mfululizo.  ...

READ MORE

Aussems achekelea kucheza na Mbeya City Taifa

ALIYEKUWA Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Elia Michael...

READ MORE

Mume wa Zamaradi Afikishwa Kortini kwa Kutishia Kuua – Video

MUME wa Mtangazaji, Zamaradi Mketema, Shabani Hamisi leo Jumatatu, Novemba 4, 2019, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni akikabiliwa...

READ MORE

SERIKALI ZA MITAA SASA KUPOKEA MALIPO KWA M-PESA

Wateja zaidi ya milioni 14 wa Vodacom watanufaika na huduma ya malipo kwa M-Pesa kwenda halmashauri na manispaa mbalimbali nchini...

READ MORE