×

Habari

Anayedaiwa Kumuua Naomy, Kesi Yafikia Hapa

MAPEMA leo Jumatatu, Novemba 4, 2019 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji inayomkabili...

READ MORE

Kidato cha Nne Waanza Mtihani wa Taifa

Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne umeanza kufanyika leo nchi nzima huku kukiwa na jumla ya watahiniwa 485,866 waliosajiliwa...

READ MORE

JPM: CAG Usijifanye na Wewe ni Mhimili, Usibishane na Bunge – Video

Rais John Magufuli amemuapisha Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof....

READ MORE

Majina ya Wanafunzi Waliopata Mkopo Awamu ya Tatu 2019/20

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa orodha ya tatu ya majina ya wanafunzi waliopata mkopo...

READ MORE

NACTE Yatangaza Awamu ya Nne ya Udahili Cheti na Diploma

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linautangazia umma kwamba limefungua dirisha la udahili kwa AWAMU YA NNE na...

READ MORE

NMB yatoa msada kwa shule nne za Kinondoni

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo, ameimwagia sifa Benki ya NMB kwa jinsi inavyojitolea katika miradi ya maendeleo nchini...

READ MORE

Zahera: Simba Haiwezi Kuchukua Ubingwa

WAKATI bado akiwa kwenye presha ya kufukuzwa, kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa haoni dalili za wapinzani wao...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Charlse Kichele Kuwa CAG Mpya

Katibu Mkuu Kiongozi ndugu John Kijazi leo Novemba 3 ametangaza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John...

READ MORE

Yanga: Tunapindua Matokeo leo dhidi ya Pyramids, Misri

PAMOJA na maombi na juhudi za kila namna nje ya uwanja, Yanga leo inahitaji matokeo ya aina tatu tu vinginevyo...

READ MORE

Wanafunzi Kidato Cha Nne Kuanza Mitihani Kesho, UWT Wazungumza – Video

 Kuelekea Mitihani ya Kidato cha Nne Kesho ambayo inatarajiwa kuanzia kufanyika kesho tarehe 4/11/2019 Katibu Mkuu Chama Cha Walimu...

READ MORE

Nape – “Sikulazimishwa Kumuomba Magufuli Msamaha, Wala Sijapoa” -Video

 Mbunge wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amesema kwa sasa ameimarika zaidi kisisasa anakasi na nguvu zaidi kuliko kipindi...

READ MORE

Waziri Mwakyembe Azindua Mbio Za Marathon

Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe amezindua rasmi mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon za...

READ MORE

Wakulima wa Korosho Kunufaika na Huduma za NBC Msimu Mpya wa Ununuzi

  WAKATI wakulima wa korosho wakiendelea na msimu mpya wa korosho kwa mwaka 2019/20 Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)...

READ MORE

Rais Magufuli Ameagiza Ifakara Kuongezewa Kata na Halmashauri

Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza Halmashauri ya mji wa Ifakara kuongezewa kata na halmashauri ya Wilaya ya Kilombero kubadilishwa...

READ MORE

Jinsi ya kujinasua na kizingiti cha ndugu, wazazi kwenye mahusiano!

MOJA kati ya changamoto ambayo vijana wa siku hizi wanakutana nayo ni kitendo cha wazazi kukwamisha mipango ya vijana wao....

READ MORE

Tigo yatangaza kuungana rasmi na Zantel

Kampuni ya Mawasiliano ya MIC Tanzania Public Limited Company (Tigo), leo imetangaza rasmi kuungana na kampuni ya Zanzibar Telecom Public...

READ MORE

Dkt. Ndumbaro Akabidhi Zawadi Mchezo wa Gofu wa Mabalozi Zanzibar

    BENKI ya NBC imedhamini mashindano ya kwanza ya gofu ya mabalozi visiwani Zanzibar huku ikiahidi kuendelea kusapoti sekta...

READ MORE

Breaking: Ghorofa Lateketea kwa Moto Kariakoo – Video

JENGO moja la ghorofa lililopo Kariakoo, Mtaa wa Livingstone na Mkunguni linawaka moto mchana huu wa Jumamosi, Novemba 2, 2019...

READ MORE

Lugola: Siku za ‘Kigogo’ Zinahesabika, Mtaoga ‘Washawasha’ – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema siku za mtu anayejiita ‘Kigogo’ kwenye mitandao ya kijamii ambaye amekuwa akiwazushia...

READ MORE

RC Makonda Apiga Marufuku Kampuni ya Nyanza Kupewa Tenda Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka watendaji wa halmashauri za Mkoa huo huo kuzingatia misingi ya...

READ MORE

LYYN: SIRINGI ILA NAJUA KUSAKA PESA

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni Video Vixen, Irene Louis ‘Lyyn’ amesema kuwa siyo kwamba anaringa kama watu wanavyomchukulia...

READ MORE

Diamond: Alikiba Amenizidi, Harmonize…..!

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefunguka kuhusu ujumbe alioundika hasimu wake, Alikiba kutoshiriki kwenye Tamsha la Wasafi...

READ MORE

Rais Magufuli Asikitishwa na Wizara ya Kilimo

Rais Dkt. John Magufuli amewataka viongozi wa Wizara ya Kilimo, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kubadilika na kuhakikisha...

READ MORE

Aliyemtishia Mwenzake Kumuua kwa Bastola Akamatwa

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mussa Taibu amesema wamemkamata Shabani Hamis Said ambaye anadaiwa kumtishia kwa Bastola dereva...

READ MORE

Binti Mkulima Ashtua Bongo!

KWENYE mitandao ya kijamii Bongo, kuna binti maarufu aitwaye Nicole Joyce Mbaga (26) ambaye anadaiwa kuwa mkulima anayeishi ‘kama malaika’...

READ MORE

Polisi Yaua Majambazi Wanne Kagera

WATU wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamefariki Dunia wakati wakijibizana risasi na Jeshi la Polisi katika eneo la Pori la...

READ MORE

Kundi la IS Latangaza Mrithi wa Abu Bakr al-Baghdadi

KUNDI linalojiita Dola la Kiislamu IS limemtangaza kiongozi wake mpya baada ya kuthibitisha kifo cha kiongozi wake Abu Bakr al-Baghdadi...

READ MORE

Miss Amtuhumu Rais kwa Kumbaka na Kumdharirisha

Aliyewahi kuwa Mrimbwende wa Taifa la Gambia mwaka 2014, Fatou Jallow amemtuhumu aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Yahya Jammeh kwa...

READ MORE

Mtatiro Apania Kuipaisha Tunduru – Video

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro amesema amejipanga vilivyo kuipaisha wilaya hiyo katika nyanja mbalimbali kimaendeleo.  ...

READ MORE

Sirro Amtaka Aliyemtishia Bastola Mwenzake Kuripoti Polisi

MKUU wa  Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amemtaka kijana aliyemtishia mwenzake bastola kuripoti polisi baada ya kuonekana...

READ MORE

ACT Wazalendo Yalalamikia Zoezi la Fomu Uchaguzi S/Mitaa – Video

Siku tatu kabla ya kumalizika kwa muda wa uchukuaji fomu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha ACT-Wazalendo kimedai...

READ MORE

Harusi za Tandika, Baikoko, Mauno Kama YOTEE – Video

Kipindi cha Shughuli Pambe kimebisha hodi hadi Tandika ilikunusanusa zile shughuli za mitaani nakukutana na wanawake wa shughuli mjini, katika...

READ MORE

Tshabalala Alichofanyiwa na Wachezaji Wenzake Noma Sana – Picha

NAHODHA Msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein, ‘Tshabalala’ leo ameonja joto ya jiwe mbele ya wachezaji wake kwa kumpaka matope mwili...

READ MORE

IDRIS Aripoti Polisi Dar leo -Video ipo Hapa

Msanii wa vichekesho, Idris Sultan leo Ijumaa Novemba 1, 2019 saa 2 asubuhi ameripoti Kituo cha Polisi ‘Central’ jijini Dar...

READ MORE

Angalia Mpoki Alivyochagiza Uzinduzi Wa Smart Kitochi

Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom jana ilizindua simu mpya inayokwenda kwa jina la Smarti Kitochi. Akizungumza na wanahabari...

READ MORE

Rais Aingilia Kati Maandamano ya Wanafunzi Chuo Kikuu

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameagiza wanajeshi wanaozingira chuo kikuu cha Makerere kwa lengo la kutuliza maandamano waondoke mara moja...

READ MORE

DC Mtatiro Awacharaza Viboko Wanafunzi Watoro – Video

MKUU wa Wilaya ya Tunduru Ndg. Julius Mtatiro ameendeleza kampeni ya kiwilaya ya kupambana na utoro sugu, nidhamu za wanafunzi...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Novemba 1, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 1, 2019. Ni yale ya...

READ MORE