×

Habari

MAELFU WAFURIKA TAMASHA LA ‘KOMAA CONCERT 2018’ DAR

Mr Blue,  akiimba.     Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  jana ameungana na maelfu ya wakazi...

READ MORE

BOT YAPONGEZA HUDUMA MPYA YA NMB

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imepongeza mfumo wa mabadiliko ya kidijitali unaoendelea kuboreshwa katika Benki ya NMB huku ikiahidi kusapoti...

READ MORE

Irene Uwoya Awaka Kumposti Dogo Janja

Mwanamama wa tasnia ya filamu za Kibongo, Irene Uwoya amejikuta akiwaka baada ya kuhojiwa sababu za kutomposti mumewe, Abdulaziz Chende...

READ MORE

PROF. NDALICHAKO AZINDUA VIKARAGOSI KWA MASOMO YA DARASA LA 1 NA II

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknlolojia, Prof. Joyce Ndalichako amezindua mfumo wa masomo ya kielektroniki kwa wanafunzi wa darasa...

READ MORE

JPM Apiga Marufuku Wamachinga Kunyanga’nya Bidhaa

Rais Dkt. John Magufuli amewapiga marufuku viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza kuwanyang’anya bidhaa wafanyabiashara wadogo na...

READ MORE

Benki ya NMB Wazindua Huduma Mpya

  Benki ya NMB mapema wiki hii walifanya uzinduzi wa huduma tatu mpya za Benki hiyo uliofanyika Hoteli ya Hyatt...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI DADA YAKE ALIYELAZWA BUGANDO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Dada yake Monica Joseph Magufuli ambaye amelazwa...

READ MORE

BIRTHDAY YA MONALISA ILIVYOKUWA USIKU WA KUMKIA LEO

  USIKU wa kuamkia leo msanii wa filamu za Kibongo, Yvone Cherry,  ‘Monalisa alifanya sherehe fupi ya kuzaliwa kwake ambapo...

READ MORE

BREAKING NEWS: KOFI ANNAN AFARIKI DUNIA

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa (UN) Kofi Annan (80), amefariki dunia asubuhi leo. Taarifa zilizopatikana mchana...

READ MORE

WATENDAJI WA HALMASHAURI HAMUENDI KWA WANANCHI; MAJALIWA

      WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwepo kwa mabango mengi kwenye mikutano ya hadhara  ya viongozi wakuu kunadhihirisha...

READ MORE

JPM ASAFIRI KWA NDEGE YA BOEING 787-8 DREAMLINER KWENDA MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli leo amesafiri na ndege ya Boeing 787-8 Dream Liner...

READ MORE

Chadema Yateua Wagombea Ubunge, Ukonga, Korogwe na Monduli

  Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), kimetangaza majina ya wagombea wake watakaowania ubunge katika majimbo ya Ukonga, Korogwe Vijijini...

READ MORE

WAJUMBE WAPYA WA BARAZA LA UONGOZI WA TAWLA WAJITAMBULISHA KWA JAJI MKUU

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma  amekitaka Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kufanya tafiti...

READ MORE

Kigwangalla Kuruhusiwa Muda Wowote Muhimbili, JK Amtembelea Tena

RAIS Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtembelea na kumjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika...

READ MORE

MAKONDA AKOSHWA NA TCRA KUWEKA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI, POSTIKODI

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amefungua semina ya kimkakati inayolenga kulifanya jiji la Dar...

READ MORE

MAJALIWA APOKEA MIFUKO 50 YA SARUJI KWA AJILI YA JIMBO LA BUKENE

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa  amemkakabidhi mbunge wa Bukene, Selemani Zedi mifuko 50 ya saruji iliyotolewa na Mbunge wa Viti  Maalum...

READ MORE

JAJI MZUNA AKABIDHIWA OFISI YA MAHAKAMA KANDA YA ARUSHA

  Jaji Mfawidhi mpya wa Mahakama Kuu-Kanda ya Arusha, Mhe. Mosses Mzuna amekabidhiwa rasmi Kanda hiyo ya Mahakama na aliyekuwa...

READ MORE

KATIBU MKUU CCM AWAJIBU UBALOZI WA MAREKANI

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Bashiru Ally,  ametoa msimamo wa chama hicho kuhusu taarifa iiliyotolewa na Ubalozi wa Marekani...

READ MORE

RC na DC Kuweka watu ndani, Mahakama Kuu Yakataa Mapingamizi ya Serikali

Mahakama Kuu imeyapiga chini mapingamizi ya serikali kuzuia kesi ya RCs na DCs kuweka watu ndani bila sababu.   Hapo...

READ MORE

KUKAMATWA WATUHUMIWA SUGU WA UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linawashikilia watuhumiwa sugu 13 kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha...

READ MORE

Mambo Yanoga Maadhimisho Miaka 20 Ya Twanga Pepeta

MAMBO yanazidi kunoga katika maandalizi ya maadhimisho ya Miaka Ishirini ya Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ ambayo yanatarajiwa...

READ MORE

SAMIA AMWAKILISHA JPM MKUTANO WA SADC NAMIBIA

Viongozi waliokuwa meza kuu ya mkutano huo. Katibu Mkuu Mtendaji wa SADC, Stergomena Tax (kushoto) akizungumza na wanahabari. Samia akisalimiana...

READ MORE

Rais Akataa Kupokea Pensheni ya uzeeni

Aliyekua Rais wa Uruguay Jose Mujica, aliyejulikana kama rais masikini zaidi duniani amesema hatachukua malipo yake ya uzeeni tangu aanze...

READ MORE

Hamisa Mobeto Avuna Mkwanja Mil. 60 Kilainiii! – Pichaz

Maisha yameanza kumnyookea mwanamitindo Hamisa Mobeto kwa kuvuna kweupee shilingi milioni 5.7 kwa mwezi (zaidi ya milioni 60 kwa mwaka)...

READ MORE

WAZIRI MKUU AAGIZA KUKAMATWA KWA MTENDAJI WA KIJIJI CHA BULAGAMILWA

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU wa wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Bw. Francis Zuakuu kumkamata...

READ MORE

MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI MPYA ATAMBULISHWA RASMI

      Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustin Kamuzora, amemtambulisha rasmi Mpigachapa MKuu wa...

READ MORE

NEC: Ubalozi wa Marekani Wametoa Tathmini Wakiwa Nani? – Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema imeshangazwa na taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, jana Agosti 8,...

READ MORE

Sirro: Mwandishi Aliyepigwa Taifa, Alimkaba Askari – Video

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema kuwa mwandishi wa habari aliyepigwa na polisi wakati akitekeleza majukumu...

READ MORE

MAHAKAMA KUU KANDA YA MBEYA YAPATA JAJI MFAWIDHI

Watumishi wa Mahakama Kanda ya Mbeya wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano bila kujali vyeo na kufanya kazi kama timu moja,...

READ MORE

Benki ya Dunia Waikubali Teknolojia ya IP Transit ya TTCL – Video

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linalomilikiwa na serikali, limezindua teknolojia mpya iitwayo IP Transit ambayo ni mahsusi kwa kuziunganisha nchi...

READ MORE

MultiChoice yamwaga Bajaj 27 kwa vijana

Meneja Mauzo wa MultiChoice Tanzania Salum Salum akimkabidhi ufunguo wa Bajaji mmoja wa mawakala wapya wa mauzo wa DStv wa...

READ MORE

Kopa Chap Chap Kupitia NMB KLiK

NMB wamekusogozea huduma zao karibu yako zaidi kupitia NMB KLiK. Furahia huduma bora za kibenki kwa urahisi, haraka bila usumbufu...

READ MORE

RC Chalamila Aagiza Wananchi Wakamatwe na Kuswekwa Ndani

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani wananchi wote wa Kijiji cha...

READ MORE

NEC Yaujibu Ubalozi wa Marekani Sakata la Uchaguzi wa Marudio

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekanusha taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani nchini kwamba katika uchaguzi mdogo uliofanyika Agosti...

READ MORE

Bila Ronaldo, Madrid Yapata Tabu Sana! Yapigwa 4G Fainali

Real Madrid wameanza maisha bila mshambuliaji wao nyota wa zamani Cristiano Ronaldo na meneja Zinedine Zidane kwa kugongwa bao 4-2...

READ MORE

Lowassa Ajiondoa Monduli

KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Fred Lowassa,  jana Agosti 15 amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha wanawania kuteuliwa na...

READ MORE

MZIMU WA KANUMBA WAMTOKEA MTOTO KONGO

WANANDOA kutoka Jamhuri ya Kidemo-krasia ya Kongo, Numbi Mwilambwe (35) na mkewe Ngoy Mfumuabana (30), wameeleza namna mtoto wao mdogo,...

READ MORE

PAKA WA AJABU AZUA BALAA!

MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firahuni. Khadija Ramadhan (67), mkazi wa Mtaa wa Mwigole, Kata ya Mwembesongo mkoani Morogoro,...

READ MORE

MWANAMKE AMUOA MWANAMKE MWENZAKE BONGO

MARA: UKISTAAJABU ya Musa, utayoona ya firauni! Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Ninyangi Sedeki (50), mkazi wa Kijiji cha...

READ MORE