×

Habari

STENDI YA MBEZI LUIS YATENGEWA BILIONI 50, KUANZA KUJENGWA ‘SOON’

  STENDI ya Mabasi yaendayo mikoani Ubungo ambayo inahamishiwa Mbezi-Luis jijini Dar es Salaam tayari imetengewa Shilingi bilioni 50 kwa...

READ MORE

MWANASAYANSI GOODALL ALIYEOMBA KUJIUA, YAMETIMIA

MWANASAYANSI wa Uingereza aliyekuwa akiishi Australia, Prof. David Goodall, ameaga dunia baada ya kujichoma sindano yenye sumu iliyochukua dakika moja...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA BALOZI KIDATA NA MAKUNGU

                      JPM baada ya kuwaapisha balozi Kidata na Makungu Ikulu...

READ MORE

Magereza: Rais Magufuli Ndiye Amemtoa Jela Sugu

JESHI la Magereza nchini limesema kuwa, Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa CHADEMA Kanda ya...

READ MORE

HESLB Yaanza Kupokea Maombi ya Mikopo, Diploma Kunufaika – Video

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la maombi ya mkopo kwa wanafunzi hao kwa...

READ MORE

Sugu Azungumza Baada ya Kuachiwa Kutoka Gerezani

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ambaye ameachiwa huru leo Mei 10, 2018 kutoka katika Gereza la Ruanda...

READ MORE

Kituo Kipya cha Mabasi ya Mikoani, Mbezi Dar – Pichaz

Huu ni Mchoro wa Kituo kipya cha Mabasi yaendayo mikoani kitakachoanza kujengwa eneo la Mbezi Louis Jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Mbowe Afunguka Sugu, Masonga Kuachiwa Huru

KUFUATIA kuachiwa huru kwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chadema Nyanda ya Juu Kusini, Emmanuel Masonga kutoka...

READ MORE

Breaking News: Sugu na Masonga Waachiwa Huru

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wameachiwa huru kutoka...

READ MORE

MAJALA: Mawaziri Bora Mtoke Wote, Abaki Rais Magufuli Peke Yake – Video

Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji, amesema Wizara hiyo imeshindwa...

READ MORE

ROSE KAMILI: Waziri Kosa ni Lako, Umeshindwa Kutekeleza – VIDEO

Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema, Rose Kamili, akichangia hoja katika bajeti ya wizara ya Maji na Umwagiliaji, iliyowasilishwa Bungeni...

READ MORE

Naibu Spika Awatimua Bungeni Mnyika na Bulaya

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameagiza Mbunge wa Kibamba Mhe. John Mnyika...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Siku 3 Mafuta ya Kula Yapatikane – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa kampuni za mafuta ya kula nchini kuingiza bidhaa hiyo sokoni na kuonya...

READ MORE

MWIJAGE: Taarifa Rasmi ya Serikali Kuhusu Mafuta ya Kula- Video

Waziri mwenye dhamana ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, amewasilisha Bungeni ripoti juu ya sakata la upungufu wa mafuta...

READ MORE

Airtel yaja na Fursa ya wekeza na Airtel Money Branch

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kupitia Airtel money imedhamiria kuwakomboa Watanzania kwa kutoa ajira kwa kuanzisha ushirikiano...

READ MORE

HECHE: Ziko Wapi Dola Milioni 500, Bora Wakoloni – VIDEO

Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, John Heche, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaj, amesema enzi...

READ MORE

MASALA: Namanga Hali ni Mbaya, Waziri Tusaidie – VIDEO

Mbunge jimbo la Nachingwea Hassan Masala, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji amemuomba Waziri Kamwelwe, amsaidie...

READ MORE

MWAKAJOKA: Hali ni Mbaya Sana, Watu Wanakufa – VIDEO

Mbunge wa CHADEMA katika jimbo la Tunduma, mkoani Songwe, Frank Mwakajoka, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na...

READ MORE

Makonda Amtaka Mkandarasi Kuirudia Barabara kwa Fedha Alizolipwa

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amemtaka mkandarasi aliyejenga barabara ya Kijitonyama inayopita kituo cha Polisi cha...

READ MORE

Keissy: Sijaoga Siku Tatu, Wizarani Kuna ‘Ujambazi’ – Video

MBUNGE wa Nkasi, Ally Keissy, akichangia hoja ya bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji, amefunguka na kudai kuna ubadhirifu...

READ MORE

Bilali Mashauzi Afariki Dunia, Kuzikwa Leo Upanga Dar

MWIMBAJI wa muziki wa taarab wa kundi la  Mashauzi Classic, Bilal Mashauzi, amefariki  jana na atazikwa leo Upanga jijini Dar...

READ MORE

BASEKAHINO THADEO: MGOMBEA UENYEKITI KITIVO CHA CoNAS UDSM

Zifuatazo hapo chini ni sifa na kauli za Basekahino Thadeo: JINA: BASEKAHINO THADEO DEGREE PROGRAMME: BSc in Chemistry, 2nd Year....

READ MORE

Kisa Fumanizi; Imamu wa Msikiti Yamkuta

IMAMU Msaidizi wa Msikiti wa Mahalai, uliopo katika Kijiji cha Mhalaka, Kitongoji cha Kipungili, Kata ya Doma, Wilaya ya Mvomero...

READ MORE

Kimenuka! Spika Ndugai Aicharukia Serikali Sakata la Mafuta – Video

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amemhoji Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles...

READ MORE

Kisa Madini, Msukuma Acharukia! “Tutapelekana Mahakamani” – Video

Mbunge wa Jimbo la Geita Vijini, Joseph Msukuma, ameomba ufafanuzi kutoka kwa Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, kuhusiana na...

READ MORE

MJANE ATUPIWA VIRAGO, AMWANGUKIA MAGUFULI NA MAKONDA

  MJANE aliyejitambilisha kwa jina la Editha Wambura mkazi wa Mikocheni-Viwandani, Dar es Salaam, ambaye amedai alikuwa mmiliki wa Klabu...

READ MORE

Global TV Online Yaungana na Sauti ya Amerika (VoA)

TELEVISHENI ya Mtandaoni, Global TV Online, imeungana na Shirika la Utangazaji la Marekani, Voice Of America (VoA) kwa lengo la...

READ MORE

Kisa Sukari ya Zanzibar, Mwijage Awaka, Ndugai Amgomea – Video

Spika wa Bunge Job Ndugai amelazimika kuingilia kati mvutano ulioibuka bungeni kuhusu tofauti ya bei ya sukari kati ya Tanzania...

READ MORE

Sauti ya Amerika (VoA) Yaitembelea Global TV Online

SHIRIKA la Utangazaji la Marekani, Voice Of America (VoA) limeitembelea Televisheni ya Mtandaoni, Global TV Online katika ofisi zake zilizopo...

READ MORE

Mobisol na StarTimes kuleta shangwe za Kombe la Dunia vijijini  

Meneja Masoko wa Kampuni ya Umeme wa Jua, Seth Matemu (wa pili kushoto) akizungumza jambo.      WAPENZI wa Soka...

READ MORE

SHABIBY: Waziri Bora Uzuie Pesa, Plan Zenu za Ulaji Tu!

Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji, iliyowasilishwa Bungeni na Waziri...

READ MORE

Mkuu wa BBG Amtaka Nkurunziza Kurejesha Matangazo ya VOA

  Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Utangazaji wa Mashirika ya Serikali ya Marekani – BBG –  ambayo...

READ MORE

KENYA KURUSHA SATELAITI YAKE YA KWANZA IJUMAA HII

 KENYA inategemea kurusha satelaiti yake ya kwanza Ijumaa wiki hii kutokea nchini Japan. Satelaiti hiyo inayofahamika kama First Kenyan University...

READ MORE

BUNGE LIVE: Mkutano wa 11- Maswali na Majibu, Dodoma – Video

Kikao cha 24, mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza muda huu Bungeni...

READ MORE

MZEE MAJUTO AACHA WOSIA MZITO!

WAKATI akiwa safarini kwenye matibabu nchini India, mkongwe wa vichekesho nchini kwa zaidi ya miaka 30, Athuman Amri ‘Mzee Majuto’,...

READ MORE

INAUMA SANA, Mtoto Amwagiwa Mafuta ya Moto!

INAUMA sana! Mtoto Minza Jonas (4), mkazi wa Kitongoji cha Madarasa jijini Mwanza amepita kwenye bonde la mauti na maumivu...

READ MORE

Breaking: Lori la Mchanga Laparamia Bodaboda, Laua 3 – PICHA 19

WATU watatu wamefariki dunia papo hapo na wengine takribani 7 kujeruhiwa vibaya  baada ya Lori la mchanga aina ya SCANIA...

READ MORE

KALANGA: Naona Mnatudanganya Tu, Fedha Ziko Wapi? – Video

Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji, iliyowasilishwa Bungeni na...

READ MORE

BULAYA: Kwa Ufisadi Huu, Tunaipeleka Wapi Nchi – Video

Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji,  amesema ukosefu wa maji katika...

READ MORE