×

Habari

Mama Kanumba Ala Shavu Burundi

MAMA mzazi wa aliyekuwa staa maarufu wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa juzikati ametimkia nchini Burundi kwa mualiko maalum...

READ MORE

Usikose Kutazama SpotiHausi Leo Alhamisi, Saa 10:00 Jioni

#SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni Ni hapahapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1...

READ MORE

AJISALIMISHA POLISI BAADA YA MAHINDI ALIYOIBA KUNASA MABEGANI – VIDEO

KIJANA Frank Japhet (23), mkazi wa Mbezi, Dar es Salaam, amelazimika kujisalimisha katika Kituo cha Polisi Mlandizi, Kibaha, Pwani, baada...

READ MORE

MSIGWA AMFAGILIA RAIS MAGUFULI ‘KUPELEKA PESA CHADEMA’ – VIDEO

Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amefagilia Rais  John Magufuli...

READ MORE

MLINGA ‘KUMCHOMA’ MWANAFUNZI SINDANO, WAZIRI UMMY: SI SAHIHI

  KUFUATIA picha zilizosambaa mitandaoni zikimuonyesha Mbunge wa Ulanga, Morogoro (CCM), Goodluck Mlinga, kuonekana ameshika sindano kama anamchoma mwanafunzi chanjo...

READ MORE

MAAJABU: Kutana na Mtanzania Anayehudumia Nyuki na Hawamng’ati – Video

Kijana anayefahamika kwa jina la Mwana Mayo, aishiye Mkoani Arusha ameonyesha maajabu yake ya uwezo wa kuwatuliza anapowakamata kuwahudumia lakini...

READ MORE

LIVE BUNGENI: Maswali ya Papo kwa Hapo kwa Waziri Mkuu

Kikao cha 21, mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimeanza leo Mei 3,...

READ MORE

SAKATA LA DNA, NAIBU WAZIRI APIGA STOP

SERIKLI kupitia kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile imekataza Mamlaka ya...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU, MEI 7, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 7, 2018. Ni yale ya...

READ MORE

MUME AMPA KIPIGO HEVI MKEWE, SHUHUDIA KILICHOJIRI – VIDEO

HABARI hii inasikitisha sana! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Mudrick Abdallah amedaiwa kumpa kipigo mwanamke aliyekuwa mkewe, Fatma Addy kiasi...

READ MORE

MBATIA: Tumekumbatia Ujinga, Haya ni Maafa – VIDEO

MSIKIE Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia, akichangia hoja ya bajeti ya wizara wa Elimu, iliyowasilishwa Bungeni na waziri...

READ MORE

JPM: Mtoto Wangu na wa Lukuvi, Hawawezi Kupata Mkopo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuna vigezo muhimu ambavyo huzingatiwa katika utoaji wa...

READ MORE

StarTimes Yampa Wema Shavu Kombe la Dunia

  KAMPUNI ya StarMedia, imetoa shavu la ubalozi kwa staa wa filamu Bongo. Wema Sepetu na wenzake, ambapo atakuwa na...

READ MORE

Wafanyakazi Halotel Watoa Misaada Kwa Watoto MOI

WATOTO wachanga wanaozaliwa na walio na umri chini ya miaka mitano huwa katika athari ya kuzaliwa au kupata magonjwa ambayo...

READ MORE

Steve Nyerere, Aunt Ezekiel Kuibua Vipaji Pangani

  TIMU  ya wasanii wa Bongo Muvi ikiongozwa na msanii wa vichekesho, Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ inatarajiwa kutua Jumamosi wiki...

READ MORE

DKT. MWAKYEMBE AFANYA UTEUZI TASNIA YA FILAMU

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe ametua Bodi Mpya ya Filamu Tanzania. Bodi hiyo itaongozwa na...

READ MORE

JPM: Iringa Kuna Baridi, Lakini Jizuieni, Tupunguze Ukimwi – Video

Rais Dkt. John Magufuli amewasihi wakazi wa mkoa wa Iringa, kuchukua tahadhari kutokana na maambukizi ya ugonjwa hatari wa UKIMWI...

READ MORE

RC Gambo Akicheza ‘Kwangaru’ ya Harmonize! – Video

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, jana aliongoza maelfu ya wananchi mkoani humo kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei...

READ MORE

JPM: TUMEPOTEZA WANANCHI WENGI SANA, SASA INATOSHA – VIDEO

  RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amesema Serikali kutokana na vifo vingi vya wananchi vikiwemo vingi vya watoto na akina...

READ MORE

Rais Magufuli: Mambo Haya Wabunge Hawapendi Niyaseme – VIDEO

RAIS Dkt. John Magufuli amewataka wabunge kutumia fedha za mfuko wa jimbo, kutatua baadhi ya changamoto katika majimbo yao ikiwemo...

READ MORE

KANISA LAPIGA MARUFUKU SHELA KWA WAJAWAZITO WAKATI WA NDOA

KANISA Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, limewapiga marufuku wanawake wajawazito kuvaa shela wakati wa kufunga ndoa kwa madai vazi hilo...

READ MORE

Maajabu ya Gari Lililotumbukia Mtoni! – Video

  AMA kweli Mungu mkubwa! Dada mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amepata ajali kufuatia gari lake aina...

READ MORE

Wasanii Kuchangiwa Fedha za Matibabu… Mchawi ni Nani?

HAINA ubishi kwamba tasnia ya Bongo Fleva na Bongo Movies zinaongozwa kwa kupendwa nchini kuliko tasnia nyingine. Kwanza zina mashabiki...

READ MORE

KENYA YAONGEZA MISHAHARA KWA WATUMISHI

SERIKALI ya Kenya imetangaza ongezeko la asilimia 5 kwa kima cha chini cha mshahara ili kuwalinda wafanyakazi na mfumuko wa...

READ MORE

SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR ZAFANA

SHEREHE za Siku ya Wafanyakazi Duniani, leo zimefana jijini Dar es Salaam ambapo Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva, ...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Chief Mkwawa wa Iringa – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kiongozi wa kimila wa kabila la Wahehe...

READ MORE

EWURA YATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA PEROLI NA DIZELI

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji nchini (Ewura) imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta...

READ MORE

ANTY  EZEKIEL KUZINDUA FILAMU YA ‘MAMA’ MEI 13

  Msanii maarufu wa filamu nchini, Anty Ezekiel, anatarajia kuzindua filamu yake mpya aliyoipa jina la ‘Mama’, siku ya Jumapili...

READ MORE

Rais Magufuli Ataka Mama Huyu Apimwe Kizazi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa agizo kwa Mkuu wa Mkoa Iringa na Kamanda...

READ MORE

Mei Mosi: Rais Magufuli Amwagiza Waziri Mkuu Majaliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwashughulikia viongozi wa serikali...

READ MORE

WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU KUTOA HUDUMA KWA UFANISI

  KATIKA  kusherehekea siku ya Wafanyakazi Duniani, wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wameungana na wafanyakazi wote Duniani kwa kujumuika...

READ MORE

BAJAU: BINADAMU WA AJABU WANAOISHI BAHARINI KAMA VYURA

WATU wa kabila la Bajau wanaoishi katika visiwa vya Malay, Mashariki ya Mbali, hutumia muda mwingi wa maisha yao baharini...

READ MORE

LIVE: Hotuba ya Rais Magufuli, Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi – Video

  Rais Magufuli anaongea. -Anaanza na Salaamu kwa wote waliohudhuria mabibi na mabwana. – Nlitegemea kwakuwa kuna machifu hapa hii...

READ MORE

RC Gambo Awaongoza Wafanyakazi Arusha Mei Mosi

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,  leo amewaongoza maelfu ya wananchi mkoani humo kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei...

READ MORE

BILAGO: ‘Ugomvi’ wa Serikali na Shule Binafsi, ni Wivu tu – Video

SERIKALI imetakiwa kuzihudumia vyema shule zake na kuboresha mazingira na miondombinu ya kufundishia ili ziweze kushindana na shule binafsi ambazo...

READ MORE

Ajiua kwa Kunywa Sumu Kisa Kuachwa na Mke

MWANAMUME mmoja mkazi wa Katoro mkoani Geita aliyetambulika kwa jina la Maganiko Nunda amejiua kwa kunywa sumu kufuatia mgogoro ulioibuka...

READ MORE

FAMILIA YA JOHN HECHE YAIKOMALIA POLISI

KUUAWA kwa mdogo wake Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, John Heche Suguta , marehemu Suguta Chacha Suguta (27), mkazi...

READ MORE