×

Habari

MAKONDA ATOA MISAADA KWA WAJAWAZITO WATAKAOJIFUNGUA PASAKA

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo ametoa zawadi ya vifaa tiba vya Mama mzazi kwaajili...

READ MORE

Wafuasi wa Chadema Wakinukisha Mahakamani Kisutu! – Video

  Wafuasi wa CHADEMA waliofurika katika Mahakama ya Kisutu wamezua sintofahamu baada ya kufanya vurugu wakipiga makelele na kuimba wanataka...

READ MORE

Breaking News: Mahakama Yatoa Dhamana Kwa Mbowe na Viongozi Wake

03:00pm: Hatimaye Hakimu ametoa dhamana kwa washtakiwa! Kila mshtakiwa anatakiwa kuwa na wadhamini wawili ambao watasaini bondi ya Sh. Milioni...

READ MORE

Miguna Miguna Apelekwa Kwa Nguvu Dubai Akiwa Usingizini

MWANASIASA  wa upinzani Kenya aliyeidhinisha kiapo cha kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwa ‘Rais wa Wananchi’ Januari Miguna Miguna ametimuliwa...

READ MORE

Mahakama Yatishia Kuwafunga IGP, Waziri Mambo Ya Ndani

Mahakama Kuu nchini Kenya imewataka Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Waziri wa Mambo ya Ndani na Kamishna wa Uhamiaji...

READ MORE

Mjane Aliyemlilia Magufuli Afungwa Jela Miezi Mitatu – Video

MWANAMKE aliyeangua kilio mbele ya Rais John Magufuli wakati wa maadhimisho ya siku ya sheria jijini Dar es Salaam, Februari...

READ MORE

Lowassa Afuata Dhamana ya Mbowe, Wenzake Mahakamani – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake watano wa chama hicho leo wanatarajiwa kurejeshwa...

READ MORE

Mbeya: Maelfu Wamzika Kijana Aliyedaiwa Kuuawa kwa Kipigo cha Polisi

Maelfu ya vijana mbeya wamemsindikiza kwenye makazi ya milele kijana Allen Mapunda (20) aliyekuwa mfanyabiashara wa machungwa mkoani Mbeya anayedaiwa kufariki...

READ MORE

TGNP yakutanisha wadau kujadili Tanzania ya viwanda na mwanamke

TGNP Mtandao imekutanisha wajumbe kutoka makundi mbalimbali ya wadau wa maendeleo wakiwemo wawakilishi kutoka taasisi za umma na serikali na...

READ MORE

TAVITA YAONYA KUHUSU UCHOCHEZI NCHINI

Mkutano huo ukiendelea na waandishi wa habari.    TASWIRA ya Vijana Tanzania (TAVITA) imelaani vikali taarifa za uchochezi zinazofanywa na...

READ MORE

YANAYOENDELEA… CHADEMA WATOA MSIMAMO – VIDEO

IKIWA ni saa 24 tangu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake  wafikishwe mahakamani...

READ MORE

Chadema Wafanya Kikao cha Dhalula Kujadili Kesi ya Mbowe! -Video

Ofisa Habari wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tumaini Makene, amesema Kamati Kuu ya Chama hicho imekutana kwa dhalula...

READ MORE

ZARI ALAMBA SHAVU KAMPUNI YA BONGO, AGOMA KUMZUNGUMZIA DIAMOND

MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ leo amesaini mkataba na kuwa balozi wa Kampuni...

READ MORE

KESI YA TIDO KUSIKILIZWA SIKU MBILI MFULULIZO

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajiwa kusikiliza ushahidi wa upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika...

READ MORE

KUHUSU SINTOFAHAMU WATANZANIA WAISHIO OMAN

Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje kuhusu Watanzania waishio nchini Oman.

READ MORE

BANCABC YATANGAZA PUNGUZO LA RIBA ZA MIKOPO

  BANCABC ambayo ni sehemu ya Atlas Mara iliyosajiliwa katika soko la Hisa London imepiga hatua kwa mara nyingine katika...

READ MORE

HATIMAYE DIAMOND AMALIZANA NA MWAKYEMBE, SHONZA – VIDEO

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz Machi 27, 2018 amekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,...

READ MORE

Mabao ya Samatta, Kichuya Taifa Stars vs Congo (2-0) – Video

  Kikosi cha Taifa Stars kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika mchezo...

READ MORE

MAKONDA: UKIMPA UJAUZITO MWANAMKE DAR UJIPANGE

  JOPO la Wataalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Maofisa Ustawi wa Jamii, Wanasheria pamoja na askari Polisi...

READ MORE

Shika Ndinga ya EFM Yaja kivingine 2018

Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo. KITUO cha Redio cha Efm kimetimiza miaka minne tangu kilipoanzishwa  mwaka 2014,  kikiwa...

READ MORE

MFANYABIASHARA AUAWA, ATUPWA KISIMANI

  WIMBI la kuuawa na kisha miili kutupwa kwenye vi­sima vya maji wilayani Bu­tiama limezidi kuongezeka baada ya mfanyabiashara mmoja,...

READ MORE

Mauzauza Eneo la Ajali Iliyoua watu 26 Mkuranga

PWANI: Kufuatia watu 26 kufariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya basi dogo (Hiace) lililokuwa likitoka Mkuranga kuelekea Kimanzichana mkoani...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Wapelekwa Mahabusu Segerea

  Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake watano wa chama hicho wamepelekwa katika...

READ MORE

LORI LA MAFUTA LILILOLIPUKA SEKENKE, KIFO CHA DEREVA YAANIKWA – VIDEO

NYUMA ya mlipuko wa lori la mafuta lililoteketea kwenye Mlima Sekenke mkoani Singida, kuna mapya yamefichuka juu ya kifo cha...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Washtakiwa kwa Uasi, Maandamano & Kuhamasisha Chuki

  MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wengine watano wa chama hicho wamefikishwa katika...

READ MORE

Breaking: Mbowe, Wenzake Wafikishwa Mahakamani Kisutu – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe, na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho, wamefutiwa dhamana katika...

READ MORE

Kanuni za Mitandao, Radio na Televisheni Tanzania Zatangazwa, Zisome Hapa

  WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ametangaza kanuni mmbalimbali za sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta...

READ MORE

Mbowe, Mashinji, Mnyika na Wengine Wawekwa Mahabusu Sentro

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe na baadhi ya viongozi wengine waandamizi wa chama hicho...

READ MORE

JPM Awasimaisha Kazi Wakurugenzi Halmashauri Kigoma Ujiji, Handeni – Video

IKULU: Rais Magufuli amewasimamisha kazi Wakurugenzi wa Halmashauri za Kigoma Ujiji na Pangani baada ya kuandikiwa hati chafu kwenye Vitabu...

READ MORE

KHERI JAMES: MNAWAFUNGIA ROMA, DIAMOND, MTAIMBA NYIE? – VIDEO

Kufuatia sakata la kufungiwa kwa baadhi ya wasanii na nyimbo zao, akiwemo Roma Mkatoliki, Diamond Platnumz, Snura na wengine, Mwenyekiti...

READ MORE

HODI JIMBONI: Kutana na Daktari Huyu wa Kipekee – Video

HODI JIMBONI leo inaangazia zaidi katika sekta ya afya ambapo tumezunguka katika baadhi ya Vijiji katika Jimbo la Kibaha vijijini...

READ MORE

CAG Akabidhi Ripoti kwa Rais Magufuli, Aanika Mdudu – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, leo Machi 27, 2018, anapokea ripoti kutoka kwa Mdhibiti na...

READ MORE

MAJIBU YA DAKTARI SIMBA BAADA YA MKUDE KUUMIA JANA

Kiungo mchezaji wa Simba, Jonas Mkude, aliumia jana wakati kikosi hicho kikijiandaa na mazoezi kuelekea mchezo ujao wa ligi dhidi...

READ MORE

Breaking: Abdul Nondo Asimamishwa Masomo Chuo Kikuu

  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa William Anangisye, amemsimamisha masomo Mwenyekiti wa Mtandao wa...

READ MORE

Aliyemuua Mkewe na Kumficha Mbuyuni… Undani ni Huu!

UNDANI wa mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina Bernard Shumba mkazi wa Singida kugundulika na jeshi la polisi mkoani humo kuwa...

READ MORE

Nabii Mtoto Asema Hajafungiwa Huduma

  KIONGOZI wa Kanisa la Bethel Ministry nchini,Nabii Daniel Daniel Shilla anayedaiwa ana utajiri mkubwa wa fedha ambaye habari zilienea...

READ MORE

WATU 6 WA FAMILIA MOJA WALIOKUFA MKURANGA WAZIKWA DAR – VIDEO

WATU sita ambao ni ndugu wa familia moja wakiwa miongoni mwa watu 26 waliofariki kwa ajali ya gari usiku wa kuamkia...

READ MORE

Luundo atoka Canada kumfuata Bushoke Dar  

  STAA wa Muziki wa Harakati, Luundo Dunia amemfungia safari upya mkali wa Bongo Fleva, Bushoke kwa ajili ya kufanya...

READ MORE

TANZIA: MWANDISHI NANA MOLLEL AFARIKI DUNIA

MWANDISHI wa habari wa siku nyingi, Nana Steven Mollel amefariki dunia leo jioni Jumatatu, Machi 26, 2018 akiwa Hospitali mkoani...

READ MORE

Niyonzima, Mbonde Waanza Mazoezi Rasmi

KIUNGO machachali wa Simba, Haruna Niyonzima ambaye alikuwa ameingia kwenye hofu ya kukosa msimu kucheza mzima amejiunga na wachezaji wenzake...

READ MORE