×

Habari

SERIKALI YAZUA BALAA DAWA ZA NGUVU ZA KIUME!

SIKU chache baada ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kusa­jili na kuthibitisha dawa tano za...

READ MORE

JPM Amteua IGP Mangu Kuwa Balozi Rwanda

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua IGP Mstaafu, Ernest Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu...

READ MORE

Malezi ya watoto wasiachiwe ‘ma-house girl’ pekee  – Meya Ilala

WAZAZI  na walezi wa watoto ambao huwategemea kuwaacha chini ya uangalizi wadada wasaidizi nyumbani maarufu kwa jina la ‘ma-house girl’ wametakiwa...

READ MORE

WAZIRI MKUU ATAKA SULUHISHO LA MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri wa Afya kutoka nchi tisa za Afrika kutoa mapendekezo ya namna ya kutokomeza...

READ MORE

RAIS ATIWA MBARONI KWA KUPOKEA FEDHA ZA KAMPENI KUTOKA KWA GADDAFI

RAIS wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, amekamatwa kwa madai ya kupokea Paundi milioni 42 (sawa na Sh. bilioni 132)...

READ MORE

MFANYABIASHARA MBARONI KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

  MFANYABIASHARA Hariri Mohammed (45) mkazi wa wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam,  amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

KWA MATUKIO HAYA KILA SIKU, WANANCHI: TUMECHOKA!

  KUFUATIA kukithiri kwa matukio ya uhalifu kila siku, wananchi wenye hasira kali wamevamia kituo cha polisi kisha kukizingira, wakitaka...

READ MORE

KIFO CHA TAJIRI SUPER SAMI, MKE MDOGO AMFICHUA MUUAJI! – VIDEO

  MAPYA yameibuka kufuatia kifo cha mfanyabiashara ambaye ni tajiri wa mabasi ya Kampuni ya Super Sami, Samson Josiah almaarufu...

READ MORE

Sakata la Abdul Nondo: IGP Sirro, DCI na AG Waitwa Mahakamani

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetoa wito wa kuwaita Mkrugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI),...

READ MORE

Rekodi ya Madaktari Wanaomtibu Lissu Usipime!

HUU ndio ukweli! Madaktari wawili waliobobea wanaomtibu Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu, Profesa Stefaan Nijs na Profesa Willem-Jan Mertsemakers wa...

READ MORE

TATIZO LA UBAKAJI, ULAWITI KWA WATOTO NI JANGA

VITENDO vya ulawiti na ubakaji kwa watoto vimesababisha hofu kubwa katika jamii za Kitanzania na kuwafanya baadhi ya wazazi na...

READ MORE

IMEFICHUKA! Mzungu Aliyehukumiwa Miaka 26 Jela Atorokea Tanzania

  SIRI imefichuka kuwa, Gareth Johnson (pichani) ni Mzungu anayesakwa kwa udi na uvumba na Serikali ya Uingereza, Kitengo cha...

READ MORE

Dau la Msuva Morocco, Anasajili Simba Nzima

MSHAMBULIAJI wa Difaa El Jadida ya nchini Morocco, Mtanzania, Simon Msuva, amezidi kuongeza thamani yake baada ya dau lake kufikia...

READ MORE

Watendaji wa Serikali, TENMET, APHRC wajadiliana kuboresha elimu

BAADHI ya watendaji wa Serikali, Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) na taasisi ya African Population and Health Research Center (APHRC)...

READ MORE

MWIGULU MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA MWANZA

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Pasaka linalotarajia...

READ MORE

JPM Afungua Mkutano Baraza la Biashara, Ashusha Neema kwa Wadaiwa Kodi – Video

Rais John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC) amefungua mkutano wa 11 wa Baraza hilo...

READ MORE

BANDA ATAJA KILICHOWAKWAMISHA SIMBA, YANGA SC

BEKI Mtanzania, Abdi Banda, anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini katika Klabu ya Baroka, ameitaja sababu kubwa am­bayo imesababisha...

READ MORE

SEMI TRAILER LAVAMIA DUKA, WATATU WANUSURIKA KIFO

  WATU watatu wamenusurika kifo mjini Morogoro baada ya kutokea ajali mbaya ya lori la mizigo, (Semi Trailer) ambalo dereva...

READ MORE

LIVE: Magufuli Akiongoza Mkutano wa 11 na Wafanyabiashara

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anaongoza Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la...

READ MORE

Urusi: Vladimir Putin Ashinda Urais, Agoma Kubadili Katiba

  RAIS wa Urusi, Vladimir Putin ameibuka mshindi kuliongoza taifa hilo kwa muhula mwingine ujao wa miaka sita baada ya...

READ MORE

Abdi Banda Awapa Global Siri ya Mafanikio Yake Sauzi

Akizungumzia juu ya mafanikio yake akiwa Afrika Kusini, Banda amewaambia wafanyakazi wa Global Publishers siri kubwa ni kujituma, kuwa na...

READ MORE

Naibu Waziri Mavunde Kalazwa Morogoro

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa...

READ MORE

Baadilisha Maisha na Mtandao wa simu, Angalia Video Hii

 JUHUDI za kuwaunganisha Watanzania na ulimwengu unaotuzunguka ni muhimu, kwani kuna watu milioni 14 nchini wanaoishi katika maeneo ambayo...

READ MORE

Mzee Mkapa Ataka Mjadala wa Kitaifa

RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini William Mkapa amesema ipo haja ya kuitishwa mjadala wa kitaifa wa kujadili hali...

READ MORE

Ishu Ya Wambura Inaonyesha Ni Jinsi Gani TFF Ilivyo

SOKA la Tanzania lilipata nafuu miaka kumi iliyopita pale lilipoanzishwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutoka Chama cha Soka Tanzania...

READ MORE

MAJI YENYE SUMU YAZUA BALAA!

Maji yanayodaiwa kuwa na kemikali zenye sumu yanayotoka kwenye kiwanda kimoja cha sabuni kilichopo maeneo ya Vingunguti, Barabara ya Tazara...

READ MORE

Mrisho Mpoto Akunwa na Programu ya Waziri Lukuvi

  MWIMBAJI wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto ambaye amekuwa kioo cha jamii kutokana na kazi yake ya nyimbo za...

READ MORE

Vanessa Mdee, Millard Ayo, Wazidua Instagram Bure Ya Vodacom (Picha +Video)

  KAMPUNI ya simu ya Vodacom leo imezindua rasmi huduma mpya ya kutumia Mtandao wa Kijamii wa Instagram bure nchini...

READ MORE

MABAWA APINGA MAANDAMANO YA KWENYE MITANDAO

  MWANAHARAKATI  mzalendo ambaye alipata kuwa gumzo mwaka jana kwenye vyombo vya habari mbalimbali nchini, Laurence Jumanne Mabawa, amejitokeza na...

READ MORE

MWANANCHI KINONDONI ALILIA MSAADA WA MAKONDA

  BAADA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,  Paul Makonda, kushughulikia kero mbalimbali za migogoro ya ardhi na kutolea...

READ MORE

Nabii ‘Mtoto’ Aliyetikisa Dar kwa Mkwanja, Afutiwa Usajili

KIONGOZI wa Kanisa la Bethel Ministry nchini, Nabii Daniel Daniel Shilla, amefutiwa usajili wa huduma hiyo kwa madai ya kujihusisha ...

READ MORE

Mshindi wa Kwanza Spoti Xtra Akabidhiwa Beats by Dre Orijino – Video

  TIMU ya Simba imefanikiwa kuwa ya kwanza kutoa mshindi wa Headphones za kijanja za Beats by Dre katika shindano...

READ MORE

Breaking News: Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania Ajiuzulu

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Theophil Makunga amejiuzulu nafasi hiyo.  VIDEO: Hotuba ya Makonda Uzinduzi wa Kutangaza Utalii...

READ MORE

MAKONDA ATOA KIBALI KWA WASANII KUREKODI MOVIE ENEO LOLOTE  KUTANGAZA UTALII

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaozuia wasanii kurekodi Video za nyimbo...

READ MORE

WAZIRI MKUU ATAKA WANAVYUO WAANDALIWE KUJIAJIRI

WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema ni umuhimu mfumo wa ufundishwaji wa wanafunzi wa vyuo...

READ MORE

SHUHUDIA BASI LILIVYOSOMBWA NA MAJI SERENGETI -VIDEO

WATU wanne wanadaiwa kupotea baada ya basi la Kampuni ya Kimotco walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji ya mto huko Serengeti...

READ MORE

Vilio na Majonzi, Safari ya Mwisho ya Mmiliki wa Super Sami- Picha 11

VILIO, simanzi na majonzi vimetawala kwa mamia ya waombolezaji jijini Mwanza na maeneo jirani wakati wa shughuli ya mazishi ya...

READ MORE

BREAKING NEWS: Trafiki Agongwa Gari Mataa ya Sayansi Dar

OFISA wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani ambaye jina lake halijatajwa amepata ajali ya kugongwa na gari wakati akiongoza magari...

READ MORE