×

Ijumaa

Barakah Da Prince, meneja wake wazinguana

Stori: Musa Mateja UONGOZI wa Kampuni ya Royal Nsyepa uliokuwa ukisimamia kazi za Mwanamuziki Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’, umeamua...

READ MORE

Baby: Acheni kunichuria, sina mimba!

Na Mwandishi wetu Hivi karibuni zilivuja taarifa kuwa, msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ana kibendi ila...

READ MORE

Rubby atimuliwa THT

Na Musa Mateja MREMBO aliyeingia kwa mbwembwe nyingi kwenye game la muziki Bongo, Helen George ‘Ruby’, hatimaye uongozi wa Tanzania...

READ MORE

Wolper awalipua Wadosi wanaowanyonya

Na Mwandishi Wetu Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amewatolea uvivu baadhi ya Wadosi wanaosambaza  filamu zao akidai kuwa wamekuwa...

READ MORE

Chura ya Snura Yauzwa Kama Njugu!

Snura Mushi. STORI:WAANDISHI WETU, WIKIENDA DAR ES SALAAM! Majanga! Wimbo wa Chura wa msanii anayekuja juu kwa kasi, Snura Mushi...

READ MORE

Prezzo amfuata Gigy Bongo!

Prezzo IMEVUJA! Kumbe rapa mwenye jina kubwa Afrika Mashariki, Jackson Makini ‘Prezzo’moja ya ishu zilizomleta Bongo ni pamoja na kukutana...

READ MORE

Baada ya Nay Kuchepuka… Lulu Diva Amgeukia Belle 9

Lulu Diva SIYO siri tena! Baada ya mkali wa Muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuchepuka kwa...

READ MORE

Kidoa Alamba Shavu la Kutangaza Nguo EBM

STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA VIDEO Queen Asha Salum ‘Kidoa’ hivi karibuni ameibua maswali mengi mtandaoni baada ya kutupia picha akiwa...

READ MORE

Wema: Nikitembelea Bajaj kinawahusu nini?

STORI: Imelda Mtema, Wikienda STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka...

READ MORE

Lungi alinanga penzi la Wolper, Harmonize

Jacqueline Wolper na Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA MSANII wa filamu wa kitambo, Lungi Maulanga amelinanga penzi na...

READ MORE

Ishu Ya Kuchoropoa Mimba, Wema Kumfunga Jela Harmonize

Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ STORI: Mwandishi Wetu, Ijumaa Dar es Salaam: Endapo mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu...

READ MORE

Makahaba Wamzidi Nguvu Makonda!

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Issa Mnally na Richard Bukos, , Ijumaa DAR ES SALAAM! Ving’ang’anizi!...

READ MORE

Rama Dee: ‘How come’ Jide awe mpenzi wangu?

Rama Dee Mkongwe wa RnB Bongo, Rama Dee juzikati alipanda kwenye jukwaa na kuimba na Mwanamuziki Lady Jaydee pale Mlimani...

READ MORE

Davina alia filamu za mapenzi kuua soko

Na Gladness Mallya Muigiza wa long time Bongo, Halima Yahya ‘Davina’ ameibuka na kueleza kwamba filamu za mapenzi wanazocheza wasanii...

READ MORE

Jimmy Mafufu agomewa mtoto wa pili

Na Imelda Mtema Msanii wa Bongo Muvi, Jimmy Mafufu amefunguka kuwa watu wengi wanamuulizia kuhusu kutafuta mtoto mwingine na mkewe...

READ MORE

Steve Nyerere: Iyobo ametusitiri kwa Aunt

Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ Na Imelda Mtema Staa wa filamu na vichekesho Bongo, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’, amewavunja mbavu watu...

READ MORE

Kigogo wa Sukari: Magufuli ametunyoosha

Rais John Magufuli Na Ojuku Abraham, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Mfanyabiashara mmoja mkubwa, ambaye hivi karibuni alikutwa na tani...

READ MORE

Huu ndiyo ukweli wa Kitwanga Kuhusu Ulabu

Stori:  Mwandishi Wetu, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Ajali ya kisiasa! Gumzo kuhusu Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ kumtumbua Waziri wa...

READ MORE

Wolper Ahofia Picha Zake za Utupu Kuvuja!!

Jacqueline Wolper. Stori:  Hamida Hassan, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Yamemkuta! Nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper Massawe yuko katika...

READ MORE

U-tommy Boy Wamponza Feza Kessy

Stori: Hamida Hassan, Wikienda Dar es Salaam: Mtangazaji wa Redio Choice FM ambaye ni msanii Bongo Fleva aliyeiwakilisha Tanzania kwenye...

READ MORE

Panya Road Bado ni Tishio Dar!

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro Jiji la Dar viunga vyake bado linaendelea kukumbwa...

READ MORE

Davina: Hata niachike mara 100, napigania haki

Stori: Imelda Mtema, Wikienda Dar es Salaam: Mwigizaji wa kitambo Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’  amefunguka kuwa, hata watu wakisema kila...

READ MORE

Kisa Chura… Snura anusurika kichapo

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Chura’ juzikati akiwa kwenye shoo iliyofanyika Masasi, Mtwara alijikuta katika wakati mgumu...

READ MORE

Jini Kabula Aibu Yake!

Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’. Aibu yake! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amen-aswa akikata ulabu hadi akawa ‘bwii’...

READ MORE

Diamond, Kiba pasu kwa pasu

Ali Kiba baada ya kusaini mkataba na Kampuni ya Sonny. HUKU mashabiki wa Ali Saleh Kiba wakifurahia mafanikio ya msanii...

READ MORE

Bethidei ya Mama Wema… Idris Adaiwa Kuzuiwa getini

Idris Sultan. Stori:  Hamida Hassan na Mayasa Mariwata, Ijumaa LICHA ya kukana kuwa hakufika kwenye pati ya sherehe ya kuzaliwa...

READ MORE

Aika: Kwa Nahreel sitahitaji kulipiwa mahari!

Aika na mpenzi wake, Nahreel. Wiki hii tunaye mwanadada anayeunda Kundi la Navy Kenzo anayefahamika kwa jina la Aika Mariale....

READ MORE

Jide kumuanika mrithi wa Gardner Leo!

Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee au Jide’ Stori:  Andrew Carlos, Ijumaa Dar es Salaam: Exclusive! Lejendari wa Bongo Fleva kwa...

READ MORE

Vigogo Wawarudisha Watoto Bongo

Rais Dk John Pombe Magufuli. Stori: Mwandishi wetu, Ijumaa Dar es Salaam: BAADHI ya vigogo ambao ni watumishi wa muda...

READ MORE

Kisa talaka… Thea, mike wapelekana kanisani

Mike Sangu na aliyekuwa mkewe, Salome Urassa ‘Thea’. Na Hamida Hassan Mastaa wa Filamu Bongo waliokuwa wanandoa, Mike Sangu na...

READ MORE

Askofu, mkewe wazua timbwili kanisani

Timbwili kanisani.   DAR ES SALAAM: Timbwili! Waumini wa Kanisa la Heaven of Peace Christian Church lililopo Ubungo Kibangu jijini...

READ MORE

Baada ya Sukari… Sasa Hofu Dola Kufichwa Yatanda

Rais John Pombe Magufuli. DAR ES SALAAM: Baada ya baadhi ya wafanyabiashara kumhujumu Rais John Pombe Magufuli kwa kuficha sukari...

READ MORE

Wema, Petit ndani ya bifu

Wema Sepetu. DAR ES SALAAM: Imevuja! Urafiki wa muda mrefu wa muigizaji nyota, Wema Sepetu na mshika kamera wake, Petit...

READ MORE

A-Z Fumanizi la Shilole, Madee!

Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Stori: Gabriel Ng’osha na Sifael Paul YAMEIBUKA tena? Ni takriban mwaka mmoja na ushee tangu skendo ya msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,...

READ MORE

Video ya Wema Akidendeka Yamweka Pabaya

Wema Isaac Sepetu ‘akidendeka’ chumbani na mwanaume. Stori: Imelda Mtema, Wikienda Dar es Salaam: Kipande cha video kilichosambaa kwenye Mitandao...

READ MORE

Penzi la Diamond, Kiba Lamtesa Jokate

Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ Stori: Waandishi wetu, Ijumaa Wikienda Dar es Salaam: Siri imevuja kuwa penzi la vinara wawili wa Muziki wa...

READ MORE

Aika: Nina Wivu Kabambe na Nahreel Acha tu

Memba wa Kundi la Navy Kenzo, Aika Mareale na Emmanuel Mkono ‘Nahreel’. STORI: IMELDA MTEMA, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Memba wa Kundi la Navy...

READ MORE

Johari: Siwezi Kumnadi Bwana’angu

STORI: IMELDA MTEMA, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Staa wa kitambo ambaye ni tunda la Kaole Sanaa, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa watu wengi ‘wanamdiskasi’ kuwa hamwaniki...

READ MORE

Najma Amshangaa Gigy

Najma Datan ‘Naj’ STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Msanii wa Bongo Fleva, Najma Datan ‘Naj’ anamshangaa Video Queen Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwa...

READ MORE